Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Kama una kazi, inakuchukua dakika ngapi kutoka nyumbani mpaka ofisini?

Kabla ya mafuriko: Dakika 3Sasa: Siendi kabisa
Kabla ya mafuriko: Dakika 30Sasa: Dakika 60
Kabla ya mafuriko: Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe.Sasa: 0
Kabla ya mafuriko: ofisi ilikuwa nyumbaniSasa: sina ofisi
Kabla ya mafuriko: nusu saa hadi saa 1Sasa: nusu saa hadi saa 1
Kabla ya mafuriko: masaa 2hadi 3Sasa: masaa 2 hadi 3
Kabla ya mafuriko: sikuwa na kazi Sasa: hadi sasa
Kabla ya mafuriko: sikuwa na muda maalum Sasa: sina kazi
Kabla ya mafuriko: saa1hadi 2 inategemea hali ya usafiriSasa: 1 hadi 2 kutegemea hali ya usafiri
Kabla ya mafuriko: saa moja na nusuSasa: saa moja na nusu
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti