Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Kama una kazi, inakuchukua dakika ngapi kutoka nyumbani mpaka ofisini?

Kabla ya mafuriko: Sina kazi ya ofisini, nafanya biashara ndogondogo.Sasa: 0
Kabla ya mafuriko: Mimi ni mama wa nyumbani, ila nilikuwa nauza maandazi na mchicha. Sasa: 0
Kabla ya mafuriko: 60mntsSasa: 1:30 mnts
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti