Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Onyesha picha za athari za mafuriko kwenye mtaa wako (ikiwezekana):

Picha hii inaonyesha maji yanayotumiwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na watoto wakiogelea hapo hapo.
Picha hii inaonyesha mazingira halisi ya makazi ya watu wa kata ya Bugidadi eneo la mto Kizinga- Mbagala.
Haya ni mabaki ya nyumba aliyokuwa akiishi bwana yahya suleimani,mkazi wa kigogo katika manispaa ya kinondoni. nyumba hii ilibomoka na mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa mwaka jana jijini dar es salaam.
hili ni eneo tu la nyumba ambayo imeathirika na mafuriko kigogo kati,manispaa ya kinondoni.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti