Kama una kazi, inakuchukua dakika ngapi kutoka nyumbani mpaka ofisini?
Kabla ya mafuriko: Sina kazi | Sasa: (Hakuna jibu) |
Kabla ya mafuriko: 20 | Sasa: 45 |
Kabla ya mafuriko: Sina kazi | Sasa: (Hakuna jibu) |
Kabla ya mafuriko: 40 | Sasa: 95 |
Kabla ya mafuriko: 50 | Sasa: 180 |
Kabla ya mafuriko: Sina kazi | Sasa: (Hakuna jibu) |
Kabla ya mafuriko: Hana kazi | Sasa: (Hakuna jibu) |
Kabla ya mafuriko: 20 | Sasa: 70 |
Kabla ya mafuriko: Saa 1 | Sasa: Saa 1 |
Kabla ya mafuriko: dk 10 | Sasa: muda umeongezeka sana kutokana na miundo mbinu kuharibiwa |
Kabla ya mafuriko: dk 10 | Sasa: hadi dk 40 |
Kabla ya mafuriko: uko kawaida | Sasa: haujabadilika |
Kabla ya mafuriko: kawaida | Sasa: kawaida |
Kabla ya mafuriko: mida ya kawaida | Sasa: inachukua muda |
Kabla ya mafuriko: dk 15 | Sasa: zaidi ya saa moja |
Kabla ya mafuriko: mida ya kawaida | Sasa: hakuna njia |
Kabla ya mafuriko: kawaida | Sasa: saa zimeongozeka kutokana na kuzunguka |
Kabla ya mafuriko: masaa ya kawaida tu | Sasa: muda umeongezeka sana |
Kabla ya mafuriko: 30 | Sasa: 80 |
Kabla ya mafuriko: Saa 1 | Sasa: Saa 1.30 |
« Rudi nyuma kwenye ripoti