Haya ni mabaki ya nyumba aliyokuwa akiishi bwana yahya suleimani,mkazi wa kigogo katika manispaa ya kinondoni.
nyumba hii ilibomoka na mafuriko
yaliyotokea mwishoni mwa mwaka jana jijini dar es salaam.
hili ni eneo tu la nyumba ambayo imeathirika na mafuriko kigogo kati,manispaa ya kinondoni.