Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

B. Eleza kwa kifupi mradi wenu unakidhi namna gani malengo ya eneo muhimu ulilochagua hapo juu.

This project sought to increase women access to equal development opportunities for sustainable community livelihood by organizing awareness training to 30 Tanga District Central and Local Government Leaders, Conduct Community based participatory need assessment to 83 women and women groups organization members by January 2010.

Organized training to 40 training of Trainers,TOTs on the the 2003 national women and Gender development policy and its relevant development opportunities and resources by February 2010.

Empower and engage a total of 48 wards development committees members (WDC) on the policy implementation by March 2010,

Strengthen the abilities of 140- women to combat community based development challenges by May/June 2010 and sensitize community awareness through Posters,T-shirts,Caps and Audio visuals shows by July 2010.
MRADI HUU UMELENGA ZAIDI UIMARISHAJI WA ASASI YETU KWA KUSAIDIA KATIKA KUTOA MAFUNZO MBALI MBALI KWA WANACHAMA NA VIONGOZI WA ASASI ILI KUWAJENGEA NA KUWAONGEZEA UWEZO WA KUIONGOZA ASASI KISAYANSI ZAIDI. MAFUNZO YALIYOTOLEWA NI HAYA YAFUATAYO:

1. UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA ASASI.
2. USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA MIRADI.
3. USIMAMIZI NA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU ZA FEDHA.
4. KUANDAA MPANGO MKAKATI.

MBALI YA MAFUNZO HAYO MRADI PIA ULIISAIDIA JUMUIYA YA ZPMO KUANDAA MPANGO MKAKATI NA MUONGOZO WA FEDHA WAKE.
Mradi huu unalenga kuiwezesha jamii/wananchi kuimarisha misingi ya utawala bora na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma kwa kujenga uwezo wa kufuatilia fedha na rasilimali za umma na pia kufanya zoezi la ufuatiliaji wa matumizi hayo ili kusimamia na kuwawajibisha watendaji katika sekta ya elimu wilayani Mvomero na Morogoro vijijini na kuongeza ufanisi na ubora wa sekta ya elimu kwa ujumla
1. KATIKA KIPENGELE CHA SERA, MRADI HUU UNAJIHUSISHA KATIKA KUBAINI UELEWA WA JAMII NA WADAU MBALIMBALI JUU YA SERA YA ELIMU, USHIRIKI WAO KATIKA UTEKELEZAJI WAKE, FURSA NA CHANGAMOTO ZINAZOCHANGIA KUSHUKA KWA ELIMU WILAYANI LINDI NA KWA PAMOJA KUBUNI MIKAKATI BORA YA KUINUA KIWANGO CHA UANDIKISHWAJI MAHUDHURIO NA UTOAJI WA ELIMU BORA.

2. KIPENGELE CHA UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI, MRADI UNAKUSUDIA KUAMSHA UELEWA WA JAMII, WADAU MBALIMBALI NA WATENDAJI KATIKA NGAZI MBALIMBALI JUU YA WAJIBU WAO KATIKA KUSIMAMIA MAENDELEO YA WATOTO WAO.

The project was able to conduct seminars on the major problems which JIMOWO was encountering in managing itself. These included problems on management and professional aspects.
kuongezeka kwa uwazi katika uendeshaji wa asasi na kuwa na matumizi mazuri ya fedha.
viongozi kuwa na mwelekeo sahihi juu ya uongozi na utawala bora wa asasi.
kuongezeka kwa uwezo wa kuibua , kuandaa na kusimamia miradi.
Asasi kujulikana na kukua katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya.
Kuwajengea uwezo viongozi wa mitandao ya mazingira katika ngazi ya wilaya na kata katika kusimamia majukumu ya asasi.
A s this project is about Social Accountability Monitoring(SAM)-The aim is to improve good governance in healthcare in SAME and MWANGA districts respectively ;through Resource management,PETS,Ethics,corruption control in health,ETC-and this addresses the key foundation result area



Mradi unakidhi malengo kwani watu wengi wa jamii ya walemavu hasa walioko vijijini haiwaitambui sera ya walemavu wala haki zao za msingi wanazostahiki kupata.,ikiwemo haki za kupata elimu,fursa za kiuchumi, fursa za huduma rafiki za miundo mbinu ya shule,hospitali na ofisi za umma kwa ujumla hazitoi fursa sawa kwa watu wenye ulemavu. Lakini pia kwa kukosa uwelewa juu ya sera ya watu wenye ulemavu na haki zao imekuwa ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya jamii ya watu wenye ulemavu kiuchumi,kisiasa,kitamaduni na kukosa fursa za kushiriki na kushirikishwa katika vyombo vya maamuzi. Hivyo basi Mradi kwa dhati kabisa unakidhi malengo tuliyo yachagua.
RIPOTI YA MRADI
Shughuli; mafunzo yamefanyika kwa viongozi 20 wa asasi kama yalivyopangwa kutekelezwa katika mkataba. mafunzo yamewaendeleza na kuwajengea uwezo viogozi 20 kwa kuwawezesha kumudu na kutekeleza wajibu wao. mafunzo haya yamefanyika kama ifuatavyo hapa chini tangu tarehe 11/3/2011 - 17/3/2011
(a) Kanuni na miongozo ya fedha
(b) Usimamizi wa fedha
(c) Kubuni na kuandaa maandiko ya mradi
(d) Utawala bora na uandaaji mipango mikakati
(e) Uendelezaji na usimamizi wa asasi
(f) Mafunzo haya ymesimamiwa na wawezeshaji wanne (wa kiume 2, wakike 2) pamoja na waudumu 2 wa huduma kwenye mafunzo

GHARAMA ZILIZOTUMIKA KWENYE MAFUNZO YA KUJENGEA UWEZO VIONGOZI 20
1. Tarehe 11/3/2011 - Kanuni na miongozo ya fedha gharama Tshs. 797,050/=
2. Tarehe 14/3/2011 - usimamizi wa fedha gharama Tshs. 797,050/=
3. Tarehe 15/3/2011 - kubuni na kuandaa maandiko ya mradi Tshs. 797,050/=
4. Tarehe 16/3/2011 - utawala bora uandaaji mipango mikakati Tshs. 797,050/=
5. Tarehe 17/3/2011 - uandaaji n ausimamizi wa asasi gharama Tshs. 797,050/=
JUMLA Tshs. 3865250/=

MANUNUZI VIFAA VYA OFISI
Ununuzi wa laptop ya Mkurugenzi Tshs 850,925/=
Ununuzi wa viti 5 vya plastic vya ofisi Tshs 83,825/=
TATHIMINI NA UFUATILIAJI Tshs 200,000/=
JUMLA KUU Tshs 5,000,000/=

Ruzuku ilichelewa kutufikia, mradi ulitakiwa kuanza mapema tangu tarehe 1/1/2011 hadi tarehe 31/3/2011 ndio maana mafunzo yamefanyika mfululizo ndani ya siku 5 kama ilivyo kwenye mkataba.

Matokeo: Mafunzo ya kujengea uwezo viongozi 20 wa asasi yameleta uelewa na kuwa ufanisi katika utekelzaji,kusimamia na kubuni miradi ili kuboresha na kuwafikia walengwa ambao ni jamii

Mafanikio: Viongozi 20 wa asasi wamepata mafanikio kwa kuthaminishwa kwa kujengewa uwezo katika kutoa huduma kwa jamii, kuwafanya wawajibike kuibua na kubuni miradi endelevu.

Changamoto: Viongozi kutopatiwa mafunzo ya mara kwa mara, pia kutopata semina za pamoja na asasi na taasisi za serikali na kutopata uwezesho au ruzuku yenye kukidhi hitaji

Mahusiano: Mafunzo walioyapata viongozi yamewajengea uwezo na kuwapatia mahusiano mazuri kati yao na asasi nyingine, jamii na serikali. Pia wamepata ujasili wa kuwa na ukubali wa kurekebishwa panapobidi, kuondoa ubinafsi na ubaguzi wa kijinsia.

Mipango: Wana asasi wamekubaliana kuwa mipango endelevu ili kuzidisha kubuni miradi endelevu kwa utekelezaji wa huduma za jamii.

Walengwa: Viongozi wa asasi kuwa na umoja, uadilifu kwa kushirikiana na jamii na mshirika ya umma na asasi ya serikali ili kufikia ufanisi bora kwa kuhudumia jamii ambao ndio walengwa haswa.

Nawasilisha

Deogratias B. Rwechungura
Mratibu
MUWOYOPORO - NGO
Musoma - Mara

The capacity strengthening for the period of three months was able equip staff and leaders knowledge ans skills and be able to
developing three years strategic plan
Education on financial management and
project write up. So it is expected the staff and leaders will be able ensure the growth of the organization.
Pwani-DPA ni miongoni mwa asasi changa kitaasisi zilizonufaika na Mpango wa uendelezaji na Uimarishaji wa Sekta ya AZAKi nchini Tanzania kupitia The Foundation for Civil Society (FCS) kwa kuwezesha kupata ruzuku ya Usajili (RDG) katika kipindi cha mwaka 2008 iliyosaidia kuwezesha kupata usajili na Kufungua Akaunti Benki,jambo lililopelekea kufungua Ushirikiano na Asasi kama vile TEN/MET,CVM/APA-PSI katika utekelezaji wa Malengo ya asasi yetu, hivyo kutokana na matokeo haya, tuliona ili kuendelea kutekeleza malengo yetu kwa mujibu wa Vipaumbele vinavyozingatia mchango wa mawazo kutoka kwa wadau muhimu na walengwa wenyewe, Pwani-DPA tuliona kuna umuhimu mkubwa wa kutekeleza mradi huu ili Wanachama na Wadau kushiriki na Kumiliki mchakato katika hatua ya Kubuni, Kupanga, Kutekeleza na Kupima matokeo na ufanisi wa malengo na Mipango ya asasi kwa maendeleo endelevu na kuepuka kuwekeza rasilimali katika mipango isiyozingatia matokeo chanya kwa Kuongozwa na usemi usemao " Kushindwa kupanga ni Kupanga Kushindwa"
Foundationa inataka kuhakikisha kuwa taasisi za umma zinafanya kazi katika mazingira ya uwazi na kwamba watu wanaelewa haki zao za msingi.The Foundation pia husaidia asasi ambazo zinakuza uelewa wa watu kuhusu haki zao na majukumu yao lakini pia kuimarisha ushirikiano katika masuala ya upatikanaji wa haki za binadamu.

Lengo la TEYODEN katika mradi huu ni kuongeza uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kupata haki zao za kushiriki katika shughuli za kijamii na za kimaendeleo katika ngazi ya kata na wilaya.Hatua hii itawafanya vijana kuwa na mchango katika maendeleo ngazi kata,wilaya na taifa kwa ujumla.
Ni kutoa mafunzo kwa viongozi 6 wanachama 14 wa asasi.
mafunzo ya:usimamizi wa miradi , utawala bora ndani ya asasi usimamizi wa fedha na utayarishaji wa kumbukumbu za fedha
Asasi ya METI ina lengo la kutoa huduma kwa makundi ya watu wanaoishi katika mazingira magumu hususan vijana wa miaka 6 - 17. hawa ni wale ambaohawamo katika mfumo wa jumla wa maendeleo wala hawafaidiki sna na maendeleo ya jamii. ili kufikia lengo hili kwa ufanisi, asasi yapaswa kuwa na uwezo wa kuyatekeleza haya. Haya yatawezekana tu kama viongozi na wanachama wa asasi yetu itapata uwezo wa kutekeleza majukumu yake. Ndiyo maana ya kuomba mafuno ya ujengaji uwezo kwa viongozi nas wanachama wa asasi kwa njia ya mafunzo katika nyanja za utawala bora, usimamizi wa fedha, kuibua na kuandika maandiko miradi, kuandaa mipango mikakati na pia kupata gharama za kusaidia kuendesha shughuli za utawala
Mradi unakidhi malengo ya eneo lililochaguliwa kwa sababu mradi ulishirikisha wadau wote (viongozi wa asasi za kiraia) ambao ndiyo wahusika wakuu wa mradi na washiriki katika mafunzo.Aidha mradi unalenga kuwapaia elimu viongozi wa AZAKI juu ya PETS huu ni utekelezaji wa sera.
After undergoing the training the leaders and volunteers of the organization have developed skills in organization development as well as financial management skills,financial regulation manual,organization profile,organization structure and developed organization brochures and finally the leaders have squired advanced skills in monitoring and evaluation of AFAP activities,the post training evaluation of the participants in this project have shown a good understanding and expanded knowledge on the part of examinees, thus the project in question has met standard of the addressed key result areas.
Mradi unawawezesha wananchi wote kushiriki katika kufikisha ujumbe kwa Serikali kuhusiana na Uboreshaji wa Elimu, Demokrasia na Utawala Bora kupitia vipindi vya Radio.

Environmental issues are complecated ones in which case their results can not be realised so immediately.The project seek to hold workshops, seminars, trainings and community meetings to ensure that inhabitants along mount Uluguru understands the policy that governs all issues of environmental conservation and how they could alleviate poverty through the policy.
In this establishement stage, we did election of youth parliament in 3 districts, named Muheza, Mkinga nad Pangani, where total of 134 members of the youth parliament 67 male and 67 female elected from 67 wards. in every ward there is now election of youth committees which facilitating by elected members of youth parliament, every committee shall have 10 members to make total of 1340 youth who are involved in youth forums in their localities
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti