Log in

Latest updates

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT
Miongoni mwa washiriki wa mafunzo, wakiwa katika makundi ya majadiliano kuhusu mada zilizoongelewa na wawezeshaji.
3 hours ago
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT
OLAI ni Asasi inayohusiana ENVAYA kwa kupeana habari mbalimbali zihusuzo mashirika yasiyokuwa ya kiserikali duniani, na kuweza kujua shughuli zifanywazo na mashirika hayo kwa ajili ya kuiletea jamii maendeleo na hatimae kuyaboresha maisha yao.
6 hours ago
BAKWATA WILAYA YA GAIRO
BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA Wilaya ya Gairo linawata kheri na baraka katika kusherehekea Idd l'fitri. Ibada ya ya Suna ya Idd kiwilaya itafanyika katika msikiti mkuu wa wilaya Masjid Rahmaan uliopo Gairo Unguu road kuanzia saa 1.30 asubuhi. Akizungumza na waumini wa masjid Rahmaan jana mwezi 29 ramadhan Sheikh wa... Read more
10 hours ago
Chalinze Community Development Centre
Viongozi wa Asasi ya CHACODE ni kama ifuatavyo; – Thadei Hafigwa-Mkurugenzi Mtendaji Severin Blasio-Kaimu Mkurugenzi Ahmed Mkila-Katibu Gelasius Lisakafu-Mhasibu Alphoncia Mbuya-Mwekahazina John Kidasi-Mjumbe Jackline Autho-Mjumbe Yustina... Read more
15 hours ago
AFRICAN RURAL PRESS IN ACTION
ARUPA REPORT ABOUT ATTENDING ON THE SOLAR DRYER TRAINING AT DONET ON 24 JULY 2014 – We as ARUPA, were invited to attend solar dryer training at Dodoma Environment... Read more
19 hours ago
Youth Vision Care (YOVC)
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT
Olai inaendelea kuutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wananchi, wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya vijiji kuhusu sheria ya Ardhi Na. 5 ya vijiji ya mwaka 1999 katika kata 5 za mradi
yesterday
Mohispac Foundation
Rev Makenya a Director of the Mohispac Foundation poses with volunteer Emily Benken from USA.
5 days ago
Mohispac Foundation
Mohispac Foundation updated its Volunteer page.
Volunteer in Mohispac Foundation Tanzania – East Africa – We asking for different kind of volunteers who will be happy to work with us with any skill or proffessional.We are happy to have any person from any country around the world as we know people have different ideas so we are there... Read more
5 days ago
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI
mala nyingi unapo kuwa unajito kwa jambo furani huwa mengi yana tokea ambayo ni mema na mabaya hivyo naomba nitoe angalizo kwa wote wanaojitolea kusaidia jamii tusikate tamaa kwa changamoto zitakazo tukuta zaidi yake ni kujitoa zaidi kwani hicho ndicho kipimo cha ushidi wetuuu
5 days ago
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI
TUPO KATIKA KUTEKELEZA MRADI WA TUITETEE KUPITIA SHIRIKA LA AMREF LENGO IKIWA HAKI ZA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA,KUFANYA UTETEZI NA KUFAYA HUDUMA RAFIKI KWENYE VITUO VYA AFYA KUWA NI KAWAIDA KWA VIJANA PIA NA KUPELEKA HABALI NA TARIFA KWA JAMII KUPITIA SANAA SHIRIKISHI (TAMTHILIA YA NUSURA)
5 days ago
ZANZIBAR SOCIETY FOR THE PREVENTION OF CRUELTY TO ANIMALS (ZSPCA)
COMMUNITY SUPPORT INITIATIVES - TANZANIA
SAVE THE CHILDREN CHRISTIAN MINISTRY
ALIGHT A CHILD ACADEMY is a children school established by Save the Child Christian ministry (SCCM) at Kihesa Kilolo in Iringa.
6 days ago
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI)
Support of scholastic materials, school uniforms and equipments for vocational students
6 days ago
Mwanza Youth and Children Network-MYCN
MY CITY MY VOICE YOUTH RESEARCHERS TRAINING – At the beginning of May 2014 Mwanza was the training ground for up and coming youth researchers. As part of the My City My Voice... Read more
7 days ago
UMOJA WA KUSAIDIANA UKONGA (KUWAMA)
THE SEARCH FOR LAND BEGGINS – The first off Dar-es-salaam official KUWAMA Executive Committee’s trip in search for land for the last 24 years of its existence at last took off on 17th July 2014. The targeted areas were Mpukuka and Nyamwage Villages in Rufiji District. – Speaking to the writer of this... Read more
July 20
KASULU SPORTS ACADEMY
TERRITORIAL CENTRE FOR VULNERABLES ASSISANCE
Mr Byaeta O. Mwenembuka: Chairman Mbulwa Ponga: Manager Abale Mwenembuka: Advisor Ponga Jeremy: Advisor Mshimbe Mwenelokole: Secretary to the Board.
July 16
Show more updates