Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Development of Widow Women and Counseling (DEWIWOCO)
Time Submitted: April 11, 2011 at 3:52 PM EAT

Introduction

development of widow women and counselling(DEWIWOCO)
DEWIWOCO
kujengea uwezo asasi
kumb.FCS\RSG\1\10\049
Dates: january 31hadi machi 31Quarter(s): kipindi cha 1
wilbert mulagwa njarabi

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
kuongezeka kwa uwazi katika uendeshaji wa asasi na kuwa na matumizi mazuri ya fedha.
viongozi kuwa na mwelekeo sahihi juu ya uongozi na utawala bora wa asasi.
kuongezeka kwa uwezo wa kuibua , kuandaa na kusimamia miradi.
Asasi kujulikana na kukua katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
TaboraNzega Nzega magharibiNyasa18
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female14(No Response)
Male4(No Response)
Total18(No Response)

Project Outputs and Activities

kuongezeka kwa matumizi na usimaizi wa fedha na Asasi ina kanuni,mwongozo wa fedha na kumbukumbu za fedha zinaandaliwa kwa wakati na kutunzwa kwa usahihi
Kila kiongozi wa asasi anajua wajua wajibu wake na mipaka yake kiutendaji na maamuzi miongozo ya uendeshaji wa Asasi imeandaliwa na inajulikana na wote
Kuongezeka kwa uelewa juu ya uandaaji,uibuaji na usimamizi mzuri wa miradi ya asasi na asasi inaandaa na kutekelezamiradi kwa ufanisi.
Asasi imeongeza ufanisi na kazi za asasi zinatambuliwa katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya.
kujifunza juu ya utunzaji mzuri wa fedha kuwa na kanuni na miongozo ya usimamizi wa fedha.
mafunzo ya siku tano juu ya oungozi na uendeshaji wa asasi,
mafunzo ya siku 5 juu ya uandaaji na uibuaji na usimamizi wa miradi.
mikutano ya kuitambulisha asasi katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya kuonesha nini asasi inafanya na malengo yake ni yapi.
1 semina ya utunzaji wa fedha ,kanuni na miongozo ya usimamizi wa fedha semina hii iilifanyika katika ukumbi wa keni hall Nzega, washiriki 18 viongozi wa asasi
2 semina ya uongozi na uendeshaji wa asasi, viongozi kuelewa wajibu wao na mipaka yao ya kazi shughuli ilifanyika katika ukumbi wa kei hall Nzega washiriki 18 na ilihusu viongozi wa asasi
3 semina ya uandaaji na uibuaji na usimamizi wa miradi ,viongozi walielewa jinsi ya kubuni miradi semina ilifanyika katika ukumbi wa keni hall Nzega washiliki 18 ilihusu viongozi wa asasi
4 semina ya kuitambulisha asasi katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya waliweza kujumuika na walielewa kazi za asasi na malengo yake viongozi toka serikalini 4 wanachama na viongozi toka asasi 14 jumla 18
tofauti ipo kwa upande wa bajeti ya maji
bei iliyopo sokoni ni tofauti na bei iliyopo kwenye bajeti hivyo ilibidi maji yanunuliwe chini ya gharama zilizopo kwenye bajeti na kubakia sh. 6000 kama bei iliyopo kwenye bajeti ingetumika kama ilivyopangwa ingeliitaji kuongeza fedha kutoka mahali pengine ambavyo ni kukiuka mashariti ya mkataba.
1 utunzaji wa fedha sh.963,600\=
2 uongozi na uendeshaji wa asasi sh. 1,257,600\=
3 uandaaji na uibuaji na usimamizi wa miradi sh. 1,257,600\=
4 washa ya kuimalisha asasi katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya sh. 1,016,400\=

Project Outcomes and Impact

1 kuongezeka kwa uwazi katika uendeshaji wa asasi na matumizi mazuri ya fedha
2 viongozi kuwa na mwelekeo sahihi juu ya utawala bora
3 kuelewa jinsi ya uibuaji wa miradi na usimamizi wake
4 Asasi inafahamika katika ngazi ya kata tarafa na wilaya
Kanuni za fedha zimetungwa na zinatumika ndani ya asasi
kanuni za manunuzi na ugavi zimetungwa na zinatumika.
kila kiongozi anajua wajibu wake na mipaka ya uongozi wake pia hakuna muingiliano wa kiutendaji.
wanachama wameanzisha miradi ya ufugaji kuku na kufyatua tofari.
Asasi inafahamika katika ngazi ya wilaya kata hadi wilaya.
uwajibikaji katika asasi umeongezeka
umoja na mshikamano wa viongozi wa asasi umeongezeka.
kabla ya kupata mradi umoja na mshikamano haukuwepo,uwazi katika shughuli za asasi haukuwepo matumizi ya fedha hayakuwa na udhibiti wa kutosha lakini baada ya mradi hayo yote hayakuwepo na asasi imenufaika.

Lessons Learned

Explanation
utunzaji wa fedha kwa usalama fedha isiyo ya lazima haisitahili kukaa ofisini lazima ipelekwe benki,kutumia kanuni za fedha kunapunguza manung'uniko ndani ya asasi.
kila kiongozi kujua madaraka yake na mipaka yake ya kiutendaji maamuzi yanafuata ngazi na mamulaka .
kuandaa na kuibua miradi ndani ya asasi,pia wanachama wamekuwa na uwezo wa kuibua miradi
Asasi kutambulishwa katika ngazi ya kata tarafa na wilaya, ushirikiano umeongezeka kutoka ngazi za kata wilaya na tarafa kwa kutusaidia utendaji wetu katika kuwafikia wanawake wajane

Challenges

ChallengeHow it was overcome
bajeti iliyoandaliwa haikuhusisha malipo kwa washiriki wa semina badara yake walipewa chakula na vinywaji hii ilisumbua kwani wanachama walidai kupoteza mda wao wa kufanya shughuli za kuongeza kipato nakuja kwenye semina hivyo walidai kulipwa.mratibu wa mradi aliwaeleza kwa ufasaha zaidi juu ya umuhimu wa mafunzo na kusamanisha mafunzowatakayopata ni mtaji mkubwa utakao wanufaisha na kuweza kupata maendeleo .
kwasababu mafunzo hayo yatawasaidia kupata uwezo wa kutatua migogoro ya kifedha, utawala bora na kupelekea kupata maendeleo hapo ndipo wanachama waliweza kuelewa na kuendelea na mafunzo kama yalivyo pangwa.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
maendeleo ya jamii tuliweza kupata ushauri kutoka kwa afisa maendeleo ya jamii anayeshughulika na NGO jinsi ya kuwafikia wanawake wajane walio mbali na huduma yetu.
mtendaji wa kata aliweza kutushauri kusaidia na watoto ambao wapo mikononi mwa wanawake wajane kwamba shilika linaombwa kufikilia hilo ili hao watoto nao waweze kupata huduma stahiki.
katibu tarafa huduma zetu ziwafikie kwa haraka wanawake wajane waishio vijijini maana huko ndiko kuna ukiukwajiwa haki za wanawake wajane.

Future Plans

(No Response)

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale13(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total13(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale1(No Response)
Male4(No Response)
Total5(No Response)
hawa ni miongoni mwa viongozi wa asasi wasio wajane wala wagane

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
usimamizi wa ruzuku7\11\2010kuandaa hadidu rejeakusaini mkataba na foundation.
kupata vyeti vya kuhudhulia mafunzo
utunzaji wa fedha na uandishi wa ripoti ya fedha.7 -11\2011Taratibu na kanuni za fedha
Taratibu za ununuzi na ugavi
Sera na kanuni za ajira na utumishi.
kupata vyeti vya kuhitimu mafunzo

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report