Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Pwani Development Promotion Agency
Time Submitted: March 25, 2011 at 4:24 PM EAT

Introduction

PWANI DEVELOPMENT PROMOTION AGENCY
Pwani-DPA
Kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (5), 2011-2015
FCS/RSG/2/10/060
Dates: 21 Disemba, 2010Quarter(s): 31 Machi,2011
Mathew G. Chungu, S.L.P 30431 Kibaha,Pwani

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Pwani-DPA ni miongoni mwa asasi changa kitaasisi zilizonufaika na Mpango wa uendelezaji na Uimarishaji wa Sekta ya AZAKi nchini Tanzania kupitia The Foundation for Civil Society (FCS) kwa kuwezesha kupata ruzuku ya Usajili (RDG) katika kipindi cha mwaka 2008 iliyosaidia kuwezesha kupata usajili na Kufungua Akaunti Benki,jambo lililopelekea kufungua Ushirikiano na Asasi kama vile TEN/MET,CVM/APA-PSI katika utekelezaji wa Malengo ya asasi yetu, hivyo kutokana na matokeo haya, tuliona ili kuendelea kutekeleza malengo yetu kwa mujibu wa Vipaumbele vinavyozingatia mchango wa mawazo kutoka kwa wadau muhimu na walengwa wenyewe, Pwani-DPA tuliona kuna umuhimu mkubwa wa kutekeleza mradi huu ili Wanachama na Wadau kushiriki na Kumiliki mchakato katika hatua ya Kubuni, Kupanga, Kutekeleza na Kupima matokeo na ufanisi wa malengo na Mipango ya asasi kwa maendeleo endelevu na kuepuka kuwekeza rasilimali katika mipango isiyozingatia matokeo chanya kwa Kuongozwa na usemi usemao " Kushindwa kupanga ni Kupanga Kushindwa"
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
PwaniKibahaKibaha,Kisarawe,Mkuranga,Zote za Wilaya za Mkoa wa PwaniVyote vya kata za Wilaya za Mkoa wa PwaniWanufaika wa
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female9(No Response)
Male16(No Response)
Total25(No Response)

Project Outputs and Activities

Viongozi,Wanachama,Watumishi na Wadau 25 wa asasi wamepata wamepata mafunzo ya staid za uandaaji wa Mpango Mkakati
•Kuandaa taarifa taarifa zilizowasaidia wawezeshaji katika kuongoza mafunzo
•Kuainisha ukumbi na kuthibitisha
•Kualika Washiriki
•Kuandaa na kuendesha warsha ya Siku tano (5) ya kuandaa mpango Mkakati wa miaka mitano 2011-2015
•Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa Mradi
•Gharama za Utawala
•Kutoa Vivuli vya Katiba na Andiko la mradi ,Idadi ya watu waliohusika ni watatu (3)
•Mawasiliano kwa njia simu na Mazunguzo,Idadi ya watu waliohusika ni Mtu mmoja (1)
•Kuandaa barua za Mialiko na kuzisambaza kwa Washiriki wa Warsha,Idadi ya Watu waliohusika ni watatu (3)
•Mafunzo ya staidi za uandaaji wa Mpango Mkakati kwa Kupitia Maana ya Mpango Mkakati, Malengo, Dira Dhamira,Amali za Asasi, Masuala na Vipaumbele na Mpango Kazi wa Mwaka, Idadi ya Watu waliohusika ni Ishirini na tano (25)
•Kujaza fomu za utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji na Fedha,idadi ya watu waliohusika ni wane (4)
•Kulipa posho kwa mratibu na mhasibu,Maji, Umeme,Idadi ya Watu waliohusika na Wanne (4
Hakuna tofauti iyotokea na kuathiri shughuli za Mradi
•Kutoa Vivuli vya Katiba na Andiko la mradi ,Idadi ya watu waliohusika ni watatu (3)
• Mawasiliano kwa njia simu na Mazunguzo,Idadi ya watu waliohusika ni Mtu mmoja (1)
•Kuandaa barua za Mialiko na kuzisambaza kwa Washiriki wa Warsha,Idadi ya Watu waliohusika ni watatu (3)
•Mafunzo ya staidi za uandaaji wa Mpango Mkakati kwa Kupitia Maana ya Mpango Mkakati, Malengo, Dira Dhamira,Amali za Asasi, Masuala na Vipaumbele na Mpango Kazi wa Mwaka, Idadi ya Watu waliohusika ni Ishirini na tano (25)
•Kujaza fomu za utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji na Fedha,idadi ya watu waliohusika ni wane (4)
•Kulipa posho kwa mratibu na mhasibu,Maji, Umeme,Idadi ya Watu waliohusika na Wanne (4)

Project Outcomes and Impact

•Kuwa na Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa miaka mitano (5), 2011-2015
•Kuwa na mwoongozo utakaotumika kushirikisha wadau katika hatua ya Utekelezaji
•Utekelezaji wa malengo ya asasi kwa Kuzingatia vipaumbele vya Walengwa, Wadau na Mpiango/Mikakati ya Kitaifa
•Viongozi kutambua wajibu wao katika kushiriki katika kupanga na kusimamia utekelezaji wa Mipango na Miradi ya Asasi
•Viongozi,Wanachama, Watumishi na wadau kutambua mchakato wa uaandaji wa Mpango Mkakati
•Kuongezeka kwa Kiwango cha uwajibikaji wa Watumishi, Viongozi na Wanachama katika majukumu na Shughuli za Asasi
•Kuongezeka kwa utaratibu wa ubadilishanaji wa taarifa zinazohusiana na programu za asasi yetu kutoka ngazi ya Mkoa na Ngazi ya Wilaya kupitia wawakilishi alioshiriki kwenye warsha ya Kuandaa Mpango Mkakati kutoka wilaya za Bagamoyo, Kisarawe,Mkuranga,Rufiji,Kibaha Mjini na Vijijini na Mafia
•Kuimarika kwa Upashanaji habari zinazohusiana na mipango ya maendeleo kutoka ofisi za Mipango katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Wilaya
(No Response)

Lessons Learned

Explanation
Mradi huu wa Kuandaa Mpango mkakati wa asasi umeonekana ni Mradi muhimu sana si kwa asasi changa kitaasisi kama Pwani-DPA tu bali kwa asasi yoyote yenye dhamira njema ya kuchangia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika sekta yeyote ile na hili lilijidhihirisha wazi kwa Washiriki wa warsha hii,ambao walitoa ushuhuda kwamba ushiriki wao haukuwa tu kutoa mchango wa mawazo kuhusu mwelekeo wa Pwani-DPA bali wamejitambua umuhimu wa kuwa na mpango Mkakati katika asasi zao kwani asasi njingi zilionesha kutekeleza mipango na malengo ya asasi zao bila kuwa na Mpango Mkakati jambo ambalo linapelekea kutokuwa na fursa ya kupima ufanisi na Mafanikio ya Asasi kwa Kipindi fulani
Umuhimu wa Kujenga mahusiano mazuri yenye mwelekeo wa Kimaendeleo na wadau hasa serikali na asasi zake, hili lilijidhihirisha wazo wakati afisa mipango wa Mkoa wa Pwani Bw. Brown Kintungi na Meneja wa SIDO Mkoa Bi. Agness Yessaya walipokuwa wanachangia katika mjadala wa Warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Pwani-DPA,Walisema,"Kimsingi serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na Asasi za Kiraia katika kuchochea maendeleo katika sekta mbalimbali la msingi ni kuwa na mipango mizuri ambayo inaweza kuhusishwa katika mipango ya Maendeleo katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Wilaya nanyi kama asasi mkasaidia katika ngazi ya Utekelezaji na Serikali ikafanya kazi ya Uratibu tu"
Changamoto kwa asasi za Kiraia hasa zile Changa Kitaasisi kama Pwani-DPA,kuandaa majarida yatakayosaidia kusambaza kazi zinazofanyika kwa walengwa na wadau ili kujitangaza zaidi na kutambuliwa katika maeneo ya utekelezaji wa Programu na Miradi mbalimbali
Umuhimu wa kujenga uwezo wa mapato ya ndani ya asasi kwa ajili ya uendelevu wa utekelezaji wa malengo ya asasi
Katika hatua ya utekelezaji wa Masuala na Malengo ya Pwani-DPA,kupitia warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa miaka mitano 2011-2015 kwa Mkoa wa Pwani tumeazimia kuwekeza katika kujenga uelewa wa jamii kwa maana ya kujitambua na kudai haki zao katika mchakato wa Maendeleo kupitia majukwaa ya Mijadala ya Maendelea na Sera itakayoitwa Sera na Maendeleo " SEMA" majukwaa ya mijadala hii ya kila mwezi yatanzishwa na kuendelezwa katika makao makuu ya Wilaya zote za Mkoa wa Pwani lengo ikiwa ni kuwaleta pamoja wananchi na Viongozi wao katika ngazi ya Wilaya kujadili utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika maeneo na yanayojitokeza kuwasilishwa kwenye mamlaka husika kwaajili ya kutafutiwa Ufumbuzi

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kuchelewa kupatika kwa Ruzuku kwa wakati kulingana na mzunguko wa Mradi kwa mujibu wa Mwoongozo wa Ruzuku Kusubiri maelekezo na taarifa mbalimbali zinazohusiana na mchakato wa Ruzuku kutoka FCS
Washiriki wengi kuliko lengo letu kuvutiwa kushiriki warsha na Mafunzo ya uandaaji Mpango MkakatiKuwaruhusu kushiriki kwa kugharamia wenyewe baadhi ya gharama zilizokuwa nje ya uwezo wa Mradi
Mfumuko wa bei uliathiri kwa kiasi Fulani bajeti ya shughuli za MradiAsasi ilichangia baadhi ya gharama ya Shughuli za Mradi

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) 1Kushiriki kwa Afisa Mipango wa Mkoa Bw. Brown Kintungi katika ufunguzi wa Warsha akiwa Mgeni Rasmi kwa Kutoa hotuba ambayo imetupa mwelekeo mpya wa kuimarisha na kuborsha ushirikiano na Serikali katika ngazi ya Mkoa katika utekelezaji wa Malengo asasi
Ofisi ya SIDO (M) Pwani Ushiriki wa Meneja wa SIDO (M) Bi. Agness Yessaya katika warsha ya Siku tano ya kuandaa mpango mkakati wa Pwani-DPA na kutoa mchango wa mawazo kuhusu hursa ya Pwani-DPA kushirikiana na SIDO katika kuchangia kupunguza umasikini wa Kipato kwa Wanawake na Vijana kupitia shughuli za kujiongezea kipato
Halmashauri ya Mji wa Kibaha Ushiriki wa Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Bi.Siwema Cheru na Kutoa mchango wa Mawazo kuhusu fursa ya Pwani DPA kushiriki na kuchangia kuhamasisha na kuinua ushiriki wa Wananchi katika mikutano ya mipango ya Maendeleo katika maeneo yao
Community Development Agenda Countrywide (CDAC) Kushiriki kwa M/kiti mtendaji wa CDAC akiwa Mtaalamu/Mshauri wa Kuongoza mchakato mzima wa uaandaaji wa Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Pwani-DPA
Wawakilishi wa asasi za kiraia kutoka wilaya za Mafia ,Rufiji,Mkuranga,Kisarawe,Bagamoyo, Kibaha mjini na Vijijini Ushiriki wao katika kutoa michango ya mawazo kuhusu masuala muhimu nay a Kipaumbele yanayopaswa kushughulikiwa na asasi za kiraia katika kipindi cha miaka mitano ijayo

Future Plans

(No Response)

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale9(No Response)
Male16(No Response)
Total25(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya jinsi ya kusimamia miradi inayopokea Ruzuku kutoka The Foundation for Civil Society,Ukumbi Dodoma Hotel-Dodoma13-17 Disemba,2010•Kuandaa/Kubuni miradi, Ufuatiliaji na Tathimini
•Uchambuzi wa Tatizo na hatua za Mzunguko wa Mradi
•Ubao wa Mantiki
•Ufuatiliaji na Tathimini
•Mpango Kazi
•Bajeti ya Mradi
•Usimamizi wa fedha
•Uandishi wa taarifa
Utekelezaji wa Mradi kwa mujibu wa miongozo na Mfumo wa The Foundation for Civil Society

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report