Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)
Time Submitted: March 15, 2011 at 5:19 PM EAT

Introduction

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)
MED
Kuongeza Uelewa kwa Jamii juu ya Elimu, Demokrasia na Utawala Bora
MED/HE/RP/01/2010
Dates: 1 Aprili 2010 - 30 Novemba 2010Quarter(s): -
Davis J. Makundi
S.L.P. 3388 Dodoma
Simu: 0784 813523/0759 815044/ 0718 362277
E-mail: makundi2001@yahoo.com

Project Description

Governance and Accountability
Mradi unawawezesha wananchi wote kushiriki katika kufikisha ujumbe kwa Serikali kuhusiana na Uboreshaji wa Elimu, Demokrasia na Utawala Bora kupitia vipindi vya Radio.

(No Response)
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)

Project Outputs and Activities

Mradi umewezesha kufanyika kwa vipindi 22 vya muda wa nusu saa (dk. 30) kwa kila kipindi vilivyoshirikisha washiriki 88 kutoka katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dodoma. Kila kipindi kilikuwa na washiriki wanne (4) walioshiriki moja kwa moja katika studio za Radio Kifimbo FM; ambapo wachangiaji wa nje ya studo 48 walipiga simu au kutuma SMS na kuchangia mada husika.
Mradi ulitarajia kutekeleza shughuli ya kuendesha vipindi 13 vya radio.
Kwa kipindi chote cha utekelezaji wa Mradi; MED ilifanikiwa kuendesha vpindi 22 ambavyo ni ongezeko la vipindi (9) zaidi ya vile vilivyokubalika katika katika Mkataba.
Mkataba baina ya HakiElimu na Radio Kifimbo FM ulikuwa wa kufanyika kwa vipindi 13 tu. Kufuatia wananchi wengi kufurahishwa na mada za vipindi ambavyo MED ilikuwa ikiviendesha kwa uhisani wa HakiElimu; uongozi wa Radio Kifimbo ulikubali ombi la MED la kuendelea kushirikishwa kwenye studio za KFM ili kuendesha vipindi pale nafasi inapopatikana.

Kwa hali hiyo MED ilifanikiwa kupata nyongeza ya vipindi hivyo 9.
Jumla ya kiasi cha sh. 1,140,000/= (Milioni Moja na Elfu Tisini na Tano tu) kilitumika katika mradi huu kama ifuatavyo:-
1. Kuchangia gharama za Matangazo Studio Sh.390,000
2. Nauli za washiriki Sh.310,000
3. Gharama za kujikimu Sh.295,000
4.Gharama za Mawasiliano Sh. 50,000
5. Kuandaa taarifa na dharura Sh. 50,000
SH. 1,095,000/=

Project Outcomes and Impact

Matokeo ya Kati ya Mradi yaliyopatikana katika mradi huu kama ilivyotarajiwa ni kama ifuatavyo:-
1. Zaidi ya wananchi 132 walishiriki na kuchangia mawazo yao katika vipindi vya mradi.
2. Mradi umewafikia zaidi ya wananchi 1200 katika kipindi cha utekelezaji wa mradi.
3. Ushiriki wa viongozi wa Serikali ulipatikana kwa washiriki 13 kati ya 88 wa studio.
4. Wananchi walikuwa huru kuchangia mawazo na kutoa ushauri bila woga.
Baadhi ya mabadiliko yaliyoletwa na mradi ni pamoja naserikali kukubali kushiriki katika mada balimbali zilizokuwa zikitolewa na mradi huu.

Hamasa zaidi kwa wananchi kutaka kushiriki kwenye vipidi ambapo wengi walituma maombi kwa njia ya simu, e-mail au kufika moja kwa moja ofisini wakitaka kushirii na kuwasilisha masa zao.
Mchango wa wananchi uliongeza uwajibikaji kwa viongozi wa Serikali kutoka kwenye maeneo mbalimbali.
Uhuru na fursa walioipata wanachi wa kawaida katika kuelezea kero zao na kuchangia mawazo katika vipindi hivi ilisaidia kwa kasi mabadiliko hayo.

Lessons Learned

Explanation
Baadhi ya watumishi wa Serikali kuwa waoga katika kushiriki kuzungumzia masuala muhimu hasa yanayozihusu sekta wanazozifanyia kazi Mf. Elimu, Afya nk.
Wananchi wengi wako tayari kujitokeza kuzungumzia kero mbalimbali zinazo wakabili katika maeneo yao ila bado hawajapata fursa hiyo kutokana na kutokuwepo kwa miradi ya kutosha kuwapa nafasi ya aina hiyo.
Fursa zaidi zinahitajika ili kuwapa wananchi nafasi ya kuwasilisha mawazo yao kwa watunga sera.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kukosekana kwa rasilimali fedha za kutosha.Kutafuta rasilimali fedha kutoka kwa wadau/wahisani mbalimbali.
Kukosekana kwa elimu ya kutosha kwa wananchi katika kutetea haki zao za msingi.Elimu zaidi inahitajika hasa kwa kuwahamasisha ili watambue kuwa kujitetea ni Haki yao ya Msingi.
Uwezo mdogo wa MED katika kutafuta rasilimali fedha na watu kwa ajili ya kuongeza ufanisi ndani ya shirika.Kuendelea kutafuta Rasilimali watu wa kujitolea katika kutatua tatizo lililopo.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Halmashari ya Manispaa Dodoma, na Halmashauri za Wilaya za Bahi, Chamwino, Kondoa, Kongw, Kondoa na MpwapwaBaadhi ya watumishi wa Halmashauri hizo walikubali kushiriki kwenye shghuli za Mradi bila vikwazo.
Asasi za Kiraia zilizopo Dodoma.Zimeunga sana Mkono shughuli za MED.
Wananchi wa Kawaida.Wametoa changamoto kwa MED kujizatiti katika kuhakikisha inawafikia na kuyafikisha mawazo na ushauri wao katika vyombo vya habari ili yapatikane mabadiliko ya kweli.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendelea kutafuta udhamini wa vipindi zaidi vya Radio katika Robo mwaka ya kwanza. .Jan-Mach, 2011
Kuendelea na shughuli za vipindi vya radio katika robo ya pili hadi ya nne.Apr - Des, 2011
Kuendelea kutafuta rasilimali fedha na watu.
Robo ya 1 - 4
Jan -Des 2011an -Des 2011an -Des 2011
MED kuendelea na mchakato wa kupata usajiliJan - Apr, 2011

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale120600
Male172860
Total2921460
Mradi ulifikia watu zaidi ya 1752 moja kwa moja pasipo kuchambua kama wako kwenye makundi maalum au la.

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya DCCDes, 2010Utekelezaji wa mipango mbalimali ya HalmashauriUfuatiliaji wa karibu wa yale yaliyokuwa yamepangwa na kutekeleza au la.
Warsha za Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Social Accountability Monitoring (SAM)Mach 2011Mbinu za Ufuatiliaji wa PET na SAM katinga ngazi mbalimbali za jamii/serikaliKujengewa uwezo wa kufanya SAM/PETS katika ngazi mbalimbali.
Kushiriki wenye warsha ya Jukwaa la KatibaMachi, 2011Namna ya kushiriki kwenye mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKuhakikisha kuwa ushirikimkatika zoezi unakidhi malengo na sheria za nchi.

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report