Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Indicate any FCS organized events that your organization benefited from or attended.

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Managing Your Grant (MYG)Sept. 2009Project design,reporting, financial accountability,
Monitoring and Evaluation
Report writing,
financial accountability and books of accounts
Fund raisingMarch 2010Fund raising, Donors accessibility, letters of requests Organizes fund raising activities, write reports
Type of EventWhenLessonsActions Taken
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA RUZUKU.TAREHE 14 - 15/10/2010KUWEKA KUMBUKUMBU ZA FEDHA NA UANDISHI WA RIPOTI.KUTOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI WENGINE WA JUMUIYA NA KUJARIBU KUBORESHA UTARATIBU WA FEDHA KATIKA JUMUIYA.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Tuzo2009Utendaji wa asasi na wajibu kwa jamii katika kuleta mabadlikoya kweliKuimarisha asasi yetu kwa kuongeza watendaji na vifaa ilikutimiza wajibu wetu kwa jamii walengwa.
Kuhudhuria mafunzo ya uendeshaji wa miradi2010Jinsi ya kuandaa taarifa za utendaji na Fedha kwa Asasi Kuboresha taarifa za shirika ilikuwezesha wadau kupata taarisa sahihi kwa maendleo ya jamii.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
MAFUNZO JUU YA MBINU MBALIMBALI ZA UTUNISHAJI WA MFUKO12 HADI 16 APRIL 2010.CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOKABILI AZAKI KATIKA SUALA LA UHAMSISHAJI WA RASILMALI NA UTUNISHAJI MFUKO

DHANA YA UTAFUTAJI WA RASILMALI NA UTUNISHAJI MFUKO ASASI ZA KIRAIA

UADAAJI WA MKAKATI MPANGO WA UTUNISHAJI MFUKO

KANUNI NA MIIKO YA UTAFUTAJI FEDHA NA RASILMALI.

VYANZO VYA MAPATO NA RASILMALI NYINGINEZO.

SHUGHULI MAHSUSI ZA UTUNISHAJI MFUKO.

UANDIKAJI WA ANDIKO LA MRADI NA UUZAJI WA MCHANGANUO.

UTUNISHAJI WA MIFUKO KUPITIA MAKAMPUNI.

KUJENGA UHUSIANO NA KUIMARISHA MSHIKAMANO KATI YA ASASI ZA KIRAIA NA WAFADHILI.

UANDAAJI MPANGO MAWASILIANO NA UTUNISHAJI MFUKO KUPITIA VYOMBO VYA HABARI.


TUMENDIKA MAANDIKO YA MRADI NA KUPELEKA SEHEMU MBALIMBALI.

TUMEFUNGUA MINI STATIONERY KWA AJILI YA WATEJA NA WANACHAMA

WATU BINAFSI WAMECHANGIA ASASI YETU KWA NIA YA KUWASAIDIA YATIMA NA WATOTO WALIOSHINDWA KUJIUNGA NA SHULE ZA SEKONDAR BAADA YA KUFAULU.
KUWAJENGEA WASHIRIKI UWEZO NA STADI ZA KUWEZESHA.21.02.2011 HADI 25.02.2011MAANA NA TOFAUTI YA MENTORING NA COACHING.

DHANA YA MCHAKATO WA UWEZESHAJI (CONCEPTS OF FACILITATION SKILLS)

CHANGAMOTO ANAZOKABILANA NAZO MWEZESHAJI. (FACILITATORS CHALLENGES)

MBINU ZA UWEZESHAJI.(ART OR CULTURE OF FACILITATION)

TABIA ZISIZOKUBALIKA KWA MWEZESHAJI.( UNACCEPTABLE BEHAVOURS)

MBINU ZA UWEZESHAJI ( FACILITATION TECHNIQUES .

NINI MAANA YA MAWASILIANO NA HATUA ZA MCHAKATO WA MAWASILIANO.

MATUMIZI YA MUDA (TIME MANAGEMENT)
WANACHAMA WAMEPEWA MREJESHO NA WAMEANZA KUWEZESHA KATIKA MAKUNDI MBALIMBALI YA WALENGWA.
MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHIMINI KWA ASASI09.HADI 12.03.2011KUJENGA UELEWA WA WATEKELEZAJI KATIKA:

1. UFUATILIAJI NA UTEKELEZAJI MIRADI.

2. TATHIMINI YA MIRADI.

3. UANDISHI WA TAARIFA.

4. UTUNZAJI KUMBUKUMBU MUHIMU ZA MIRADI

5. KUHUSIANISHA JINSIA NA HAKI ZA BINADAMU KWENYE UTEKELEZEJI.
MREJESHO UMETOLEWA KWA WANACHAMA NA TUMEANZA KUTEMBELEA KATA 5 TULIZOFANYIA MRADI.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
1. Capacity Building08.10.2010 to 13.10.20101. Project Formulation
2. Follow-up and Evaluation
3. How to prepare Action Plan and Project Budget
4. Financial Systems
5. Report Writting
All the lessons taught are being used and implemented by JIMOWO such as Budgeting, application all the Financial systems etc.
2. Capacity Building07.02.2011 to 11.02.2011As above As above
Type of EventWhenLessonsActions Taken
usimamizi wa ruzuku7\11\2010kuandaa hadidu rejeakusaini mkataba na foundation.
kupata vyeti vya kuhudhulia mafunzo
utunzaji wa fedha na uandishi wa ripoti ya fedha.7 -11\2011Taratibu na kanuni za fedha
Taratibu za ununuzi na ugavi
Sera na kanuni za ajira na utumishi.
kupata vyeti vya kuhitimu mafunzo
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya usimamizi wa utekelezaji wa Mradi kwa asasi13/12/ 2010 hadi17/12/ 2010-Upangaji na usimamizi wa Mradi
-Ufuatiliaji na Tathmini
Kusimamia na kutekeleza mradi tutakayopewa.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
1.Manage your 1.GrantsTraining (MYG)


1.2007, 2008 and 20101.Financial and Project management

1.PREPARING PROJECTS IN PROFFESINAL WAY
Reporting in standard form

2.Annual Forum

2.20092.Annual report on Building capacity of Civil Society

2.0.Networking with other NGOs,Coverage of sivil societies in Tanzania
2.1.Experience sharing
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku-Namna ya usimamizi wa mradi
-Utunzaji wa mahesabu na kumbu kumbu
-Uandishi wa taarifa ya utekelezaji mradi
-Tume andaa vitabu kwa ajili ya utunzaji wa mahesabu na kumbu kumbu
-Utayarishaji wa voucher za malipo kwa jina la Asasi
Type of EventWhenLessonsActions Taken
SeminaNovemba 2010Kuandaa miradiKushirikisha jamii kuandaa miradi
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Developing project and submit to FCS Dodoma Hotel Nov 2010 FCS make follow up on every step in order to have good proposal.
FCS is unique as can facilitate organization from lower lever, with no funding to those at the higher level
Submit all documents on time
Financial management February 2011 february 2011 Dar es salaam FCS capacity building is on going process . seminar attended and make use of skills and knowledge
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya jinsi ya kusimamia miradi inayopokea Ruzuku kutoka The Foundation for Civil Society,Ukumbi Dodoma Hotel-Dodoma13-17 Disemba,2010•Kuandaa/Kubuni miradi, Ufuatiliaji na Tathimini
•Uchambuzi wa Tatizo na hatua za Mzunguko wa Mradi
•Ubao wa Mantiki
•Ufuatiliaji na Tathimini
•Mpango Kazi
•Bajeti ya Mradi
•Usimamizi wa fedha
•Uandishi wa taarifa
Utekelezaji wa Mradi kwa mujibu wa miongozo na Mfumo wa The Foundation for Civil Society
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Tamasha la Azaki za kiraia27-29 OCT 20091.)Uwajibikaji na uwazi katika uendeshaji asasi za kiraia.)Kuongeza uwazi na uwajibikaji
Kutekeleza mradi wa ari ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana.
Mafunzo ya usimamizi wa fedha28SEPT20092.)Kuongeza uwezo wa mhasibu katika usimamizi na utunzaji wa fedha.2.)Kufanya usimamizi wa fedha na utunzaji wa kumbukumbu za fedha katika asasi ya TEYODEN.
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku2 FEB 20103.)Kuongeza uwezo katika usimazi na fedha za ruzuku.3.)Kufanya utekelezaji wa mradi wa ari ya uwajibikaji,ushriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii na maendeleo.
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathminiMACHI 20104.)Mbinu na taratibu za kufanya tathmini na ufuatiliaji4.)Kuboresha shughuli za Taasisi na miradi ya TEYODEN katika ufuatiliaji na tathmini.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
mafunzo ya usimamizi wa ruzuku yalio fanyika DODOMAnovemba 2010jinsi ya jusiya kusimamia miradikutoa marejesho kwa wenzetu na kufanya mafunzo
mifumo ya usimamizi wa fedha na utunzaji wa fedha7-11/2/2011utunzawa kumbukumbu za fedha
mifumo ya fedha mifumo ya ugavi na ununuzi
kutoa marejesho kwa wenzetu na kutengeneza mifumo ya fedha .
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya usimamizi na utekelezaji wa miradi kwa AZiSE15 - 19 Novemba 2010 - Dodoma> Upangaji na usimamizi wa miradi
>Uchambuzi wa Wadau na Tathmini ya Mahitaji
>Bao la Mantiki
> Ufuatiliaji na Tathmini
>Kuandaa mpango kazi
>Kupanga bajeti ya mradi
>Uandishi wa taarifa
>Usimamizi wa fedha
Baada ya mafunzo hasa the Foundation For Civil Society walitoa ruzuku kwa ajili ya kuendesha mafunzo ya ujengaji uwezo wa asasi
Mafunzo ya kujenga uwezo wa azaki katika masuala ya usimamizi na utunzaji wa kumbukumbu za fedha7-11 Februari, 2011> Umuhimu wa kumbukumbu za fedha
> Taratibu na mifumo ya fedha
> Uandaaji wa bajeti
> Taratibu na mifumo ya fedha
> Kanuni za utawala na utumishi
> Ukaguzi wa mahesabu
Asasi imeanza kutengeneza kanuni za fedha na za utawala
Mafunzo ya Coaching, Mentoring and facilitation SkillsFebruari 21 25, 2011- Dar es salaam> Maana na tofauti kati ya Coaching na mentoring
> Coaching inavyofanya kazi
> Mbinu za uwezeshaji
> Zana za uwezeshaji
> Stadi za mawasiliano fanisi
Asasi imepata mtaalam wa kuendesha mafunzo ndani na nje ya asasi
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Semina elekezidisemba 2009Namna ya kusimamia RuzukuKuendesha mradi na kutoa taarifa ya mradi
Type of EventWhenLessonsActions Taken
manage your grant01-06/02/2010prepare and planing of projectto prepare well organization project
organization development (OD)22-26/03/2010development and management of organizationto made amendment of constitution
financial management19-23/04/2010financial system in organization and recording and keeping of accounts bookto prepare well he organization budget and keeping record.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya DCCDes, 2010Utekelezaji wa mipango mbalimali ya HalmashauriUfuatiliaji wa karibu wa yale yaliyokuwa yamepangwa na kutekeleza au la.
Warsha za Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Social Accountability Monitoring (SAM)Mach 2011Mbinu za Ufuatiliaji wa PET na SAM katinga ngazi mbalimbali za jamii/serikaliKujengewa uwezo wa kufanya SAM/PETS katika ngazi mbalimbali.
Kushiriki wenye warsha ya Jukwaa la KatibaMachi, 2011Namna ya kushiriki kwenye mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKuhakikisha kuwa ushirikimkatika zoezi unakidhi malengo na sheria za nchi.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage your Grants TrainingFebruary,2010-Financial Management
-Program running and Supervision
-How to Monitor program development
-We are keeping all financial reports and have books of Accounts
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage your grantDecember 2008How to manage grants and reportTAYODEA applied skills gained from the training which lead organization to do better in supervision of its projects
Organazationa Development

June 209 Formation and life cycle of organizationWe did minal changes in TAYODEA in terms of structure, we help other organization to restucture their structure, like Usambara Club and other big organization in Tanga like Pless club, Wolea, paralegal etc
Fund raising2008How to write undable proposalsWe used the skills to fundraise from other doners and local funding, the fundraising programme was well succeded as we get ne 3 donnars and expand new internal sources of fund
Annual forum2008/9/10learn from other organization from all over TanzaniaNet working with other organization, like Haki Elimu, Haki kazi, etc. Got new partiners
« Previous questionNext question »

« Back to report