Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Eleza kama asasi yako imewahi Kuhudhuria Shughuli zozote ambazo zimeandaliwa na The Foundation.

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Managing Your Grant TrainingMarch 2008Financial books of accounts
Project administration
/management
Plan of action
Project Reporting
Project reporting
Managing Finances

Reporting
Information sessionJune 2011Muheza , Foundation For Civil society Grant application writing Project Reporting

FCS Project design
Annual ForumJune 2009Women/youth involvement in national election
Transparency and accountability
Involving women in Decision making processes and especially on the Environmental management
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Matamasha ya AZAKi2009 na 2010Umuhimu wa kufanya kazi kwa umahiri na ubunifu mkubwa ili kupata ufanisi na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.Kuhamasisha AZAKi kuwa wabunifu na kuchapa kazi kwa umahiri na ustadi mkubwa ili kupata mafanikio makubwa.
Maonesho ya AZAKi Bungeni2006, 2007, 2008, 2009Umuhimu wa kufanya kazi karibu na wabunge ili kuwashawishi mabadiliko katika sera na sheria mbalimbaliKuwashawishi baadhi ya wabunge kuwa karibu na AZAKi ili wasaidiwe katika kutambua na kukabiliana na changamoto za maendeleo katika majimbo yao.
Mikutano ya Upashanaji habari za ruzuku toka FCS2005 na 2008Jinsi ya kuandaa na kuwasilisha maandiko miradi yenye sifa, vigezo na ubora unaohitajika na kukubalika na FCS na wadau wengine Kuendeleza jitihada za FCS kujenga uwezo wa AZAKi changa juu ya uandishi wa miradi yenye ubora na vigezo stahili.
Mkutano kuhusu Jukwaa la Katiba Tanzania2011Umuhimu wa kusoma Katiba ya Muungano na kuelewa marekebisho tofauti (14) yaliyokwisha kufanyikaKuhamasisha AZAKi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uandaaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG)2009Maarifa, mbinu na stadi za kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kwa ufanisi.Kutumia maarifa, mbinu na stadi zilizotolewa kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kiufanisi.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya siku 6 ya usimamizi wa ruzukuKuanzia Tarehe 27/6/2011 hadi tarehe 01/7/2011Usimamizi wa miradi,Uchambuzi wa tatizo na malengo.katika mzunguko wa ,mradi,Usimamizi wa fedha,Uandaaji wa bajeti, Uandaaji taarifa kufuatana na mfumo wa FCS.Kutoa mikataba kwa shughuli za miradi tulizoziombea ruzuku toka FCS.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo usimamizi wa Ruzuku2010Uandishi wa Mradi

Usimamizi wa Fedha
Maarifa yametumika katika kutekeleza mradi huu.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Tamasha la nane la monesho ya azaki za kiraimay 2010Tulijifunza na kuona jinsi asasi mbalimbali zinavyo fanya kazi ,lakini pia tulijua wajibu/majukumu ya asasi za kiraia katika kukuza demokrasiaKatika uchaguzi mkuu wa 2010 kwa kushirikiana na shirika ForDIA tulishiriki katika mradi wa RAIA MAKINI 2010; ambapo tulitoa elimu kwa mpiga kura katika wilaya 5 za mkoa wa Tanga ambazo ni:- Korogwe,Muheza, Mkinga,Tanga mjini na Lushoto
Mafunzo juu ya kusimamia ruzuku yaliyoendeshwa mjini Dar-es-salaam[ Belinda Hotel]Desemba 2008-Namna ya kubuni miradi
- Kutunza kumbukumbu za fedha
- kufanya ufuatiliaji na tathimini
-kuandaa taarifa ya utekelezaji wa mradi
Tumekuwa tukitumia maarifa tuliyo yapata kuandika miradi na kuituma kwa wafadhili mbalimbali ambapo baadhi imefanikiwa kupata ufadhili.
Mafunzo juu ya kusimamia ruzuku za miradi yaliyo fanyika Dodoma HotelFebruary 2010

------------//----------------


-----------//--------------
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA RUZUKU 06/10/ 2009USIMAMIZI WA MRADI UTEKELEZAJI WA MRADI
WARSHA YA KUPASHANA HABARI 2008RUZUKU ZINAZOTOLEWA NA FOUNDATION KWANZA KUFANYA MAOMBI YA MRADI
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya usimamizi wa RuzukuDecember 20101. Utunzaji na usimamizi bora wa fedha
2. Kuandaa miradi kwa mti wa matatizo na mti wa suluhisho
Kutengeneza mfumo mzuri zaidi wa matumizi ya fedha katika shirika
Tamasha la asasi za kiraiaMei 20101. Vigezo vilivyotumika katika kupata mshindi wa Tuzo ya Asasi bora.
2. Maonesho ya shughuli za Asasi mbalimbali
Kujipanga kwa ajili ya kupata tuzo ya Asasi bora 2011
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG)Februari, 2010Namna ya kutekeleza na kusimamia mradi kikamilifu na ipasavyoKutekeleza mradi kwa kuzingatia maarifa na stadi zilizowezeshwa
Ufuatiliaji na tathmini ya maendeleo ya utekelezaji MradiAprili, 2011.Namna ya kutekeleza na kusimamia mradi kikamilifu na ipasavyo na utunzaji wa kumbukumbuKufanya marekebisho ya utunzaji wa kumbukumbu za mradi na asasi kiujumla.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
mafunzo ya usimamizi wa ruzukuAgosti Umuhimu/Usimamizi wa fedha
- udhibiti wa fedha
- Utenganishi wa majukumu
Madaraka na mipaka yake
- Uandaaji na uhifadhi wa kumbukumbu za mahesabu
- Uandaaji w taarifa ya fedha-foundation.
kutekeleza mafunzo hayo kwa vitendo, kwa kuandaa vitabu vya kumbukumbu za fedha, na nyaraka nyingine kama voucher, fomu ya kuombea fedha, na mikataba ya wawezeshaji .
kuweka kumbukumbu vizuri
Uandishi wa taarifakufuata hadidu za rejea za somo hili na kuzitekeleza kwa vitendo wakati wa uandishi wa taarifa zetu za shirika.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku2009Namna ya kutumia fedha wakati wa kutekeleza mradi
Jinsi ya kuandika ripoti ya maendeleo ya mradi na ya fedha kila robo ya mwaka
tumefundishwa ,tumeelewa na tunaendelea kufanyia kazi mafunzo hayo
Organization Development(OD)2010Namna ya kusimamia malengo ya shirika na mipango mikakatitunaendelea kusimamia mipango ya shirika kadiri ilivyowekwa ndani ya katiba na sheria ndogondogo zinazowekwa na kamati ya utendaji ya JEBA
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Tamasha la tuzo la asasa zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa miradi iliyofadhiliwa na FCS na tulipata cheti2006/2007 AICC Arushakuwa waangalifu na kutekeleza miradi kwa makini kufuatano na mlivyoombeaUtekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi yetu
Usimamizi wa fedha na utekelezaji wa mradi2009 Dodoma Hotelkusimamia fedha kwa makini na kutekeleza miradi kwa kufuata mpangokazi na shughuli kama mlivyopanga na kuweza kutekeleza mradi kwa ufanisiImetusadia kutekeleza mradi miradi yetu mbalimbali kwa ufanisi
Usimamizi wa fedha za miradi na utekelezaji2006Ukumbi wa maaskofu kurasini Dar es SalaamUsimamizi wa fedha na miradi namna kutekelezaIlitusaidia sana kwa kutupa mwanga mzuri ambao ndiyo inatusaidia na sasa katika kutekeleza miradi mbalimbali.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya Usimamizi wa RuzukuDecember 2010Maana ya bajeti na umuhimu wake, uchambuzi wa bajeti, uandishi wa taarifa,Usimamizi wa fedha,Mpango kazi wa mradi, uandaaji wa taarifa za fedha, uandaaji na uhifadhi wa vitabu vya fedhaKuboresha taarifa za fedha na taarifa za shughuri za mradi.
Tamasha la asasi za kiraia2007Kuheshimiwa kwa matakwa na sauti za wananchi ili kuepusha kuvunjika kwa jumuiya ya afrika masharikiKuelimisha wafanyakazi wa asasi na jamii juu ya umuhimu wa jumiya ya afrika mashariki
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Training24-25 April 2008Financial and record keeping, Record cycle, Basic of report writing,Logframe & Monotoring and EvaluationUsing the skills I learnt to prepare reports we submmit to FCS.
Tamasha la ASASI (Ubungo Plaza)27-29 Oktoba 2009Mikakati ya Utendaji ya FCS inavyolenga CSOsFCS siyo mfadhili wa CSOs bali ni Mshirika wa CSOs katika kuiletea jamii maendeleo na kuzijengea uwezo asasi.Imekuwa rahisi kwetu kushirikiana nayo katika mambo mengi.
Mafunzo12-13 Nov.2009Tathmini ya Uwezo wa AZaKiTunaitumia kujitathimini
MafunzoNjuweni HotelPETSTrained Councillors,CSOs and Council Workers on PETS skills and later they conducted practical PETS on EDUCATION and HEALTH ni their respective Councils and presented their findings to the councils commettee for education,health and water.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo yaliyofanyika DodomaTarehe 8/10/2009Mwongozo wa utekelezaji na usimamizi wa mradiMwongozo ulitumika katika kusimamia mradi
Mafuzo yaliyofanyika DSMTarewhe 19/3/2010Mafunzo ya fund raisingElimu ilitumika katika kusimamia mradi
Mafunzo yaliofanyika DSM































































DSM
Tarehe 19/5/2011Mafunzo ya uthibiti wa fedha za mradiElimu ilitumika katika kusimamia mradi
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya usimamizi wa ruzukuAprili 2009Mbinu na stadi za kusimamia utekelezaji wa mradi kwa ufanisi.Kusimamia utekelezaji wa mradi kwa ufanisi.
Mafunzo ya usimamizi wa fedha2010Mbinu na stadi za kusimamia fedha za mradi kiufanisi. Fedha za ruzuku ya mradi zimesimamiwa kiufanisi.
Tamasha la Asasi za KiraiaMei, 2010Kubadilishana uzoefu, habari na taarifa mbalimbali kuhusu sekta ya AZAKiWadau mbalimbali wa AZAKi wa maeneo tofauti ya Lindi wamefikiwa na taarifa mbalimbali kuhusu AZAKi.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Manage Your Grants Training A MONTH BEFORE THE CONTRACT SIGNINGHOW TO MANAGE THE ORGANIZATION FUNDING AND PROPOSAL WRITINGCONTROL OF ORGANIZATION FUNDING, WRITING PROPOSAL TO OTHER DONORS
Annual ForumAT THE END OF THE YEAR 2009 AND 2010MEETING WITH OTHER ORGANIZATIONS BUILDS NETWORKING AND SHARING OF EXPERENCEESTABLISHED NETWORKING WITH OTHER ORGANIZATIONS
Information SessionA WEEK BEFORE SIGNING OF THE CONTRACT
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Manage Your Grants Training (MYG)13th - 17th December, 2010Project Preparation/Proposal, Monitoring and Evaluation, Project Action Plan, Project Budget, Report Writing, Manage Grant, Applying the Knowledge on Implimentation of the Project: Increase Accountability in Local Government Budget Process.
Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Annual ForumJune 2010How FCS function and communicate with its stakeholder.Improved communication with FCS.
Manage your GrantDecember 2010Importance of networking among the CSOs in Tanzania.Established communcation with participants from other CSOs.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti