Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Describe your linkages with other stakeholders

StakeholderHow you worked with them
This project activities was linked up with the office of the Tanga city Director There was the presences of some of the Tanga city heads of department who participated in the project advocacy, sensitizing the community and providing study cases to the public on gender and women development.
The office of the Tanga District Local Government authoritiesThe District Local government staff were also invited and attended the planned project activities. and offered to coordinate the project continuity through their wards based community development officers.
The Tanga Media organizations and Televisions network, the Mwananchi, Mzalendo, Nipashe, Jambo leo and Majira news papers,The Star TV, Tanga TV and the radio One sterioThey advertised and published their project activities in their TVs and newspapers
We also collaborated with our development partners , the NGOs, TASCO, HADO, JUHUDI, WAMO and may other NGOs.They offered and assured the organization that they will incorporate gender development plans in their activities and continue mobilizing the community on gender practices.
StakeholderHow you worked with them
NON-GOVERNMENTAL ORGANISATION CLUSTER.KUTUPATIA MGENI RASMI ILI KUTUFUNGIA MAFUNZO YETU RASMI.
AGAKHAN FOUNDATIONKUTUPATIA MGENI RASMI WA KUTUFUNGULIA MAFUNZO YETU RASMI.
ZANZIBAR MADRASA RESOURCE CENTRE.KWA USHAURI WA HAPA NA PALE KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI NA SHUGHULI ZA JUMUIYA.
.JUMUIYA YA WHITESTAR.KUTUPATIA MKUFUNZI NA USHAURI WA HAPA NA PALE KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI.
StakeholderHow you worked with them
Ofisi ya Afisa elimu msingi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero na Morogoro vijijiniMkutano wa kutambulisha mradi huu wa PETS
-kupata wawezeshaji kwa mafunzo ya kamati za shule.
-kupata maelezo ya mipango na bajeti za Halmashauri kwa maendeleo ya elimu katika vijiji vya mradi.
Waratibu elimu kata na watendaji wa vijiji.-Kuandaa shughuli za mafunzo na kuwaarifu wajumbe.
-Kueleza mipango ya kijiji na ya shule katika maeneo yao.
Waandishi wa habari-Kutoa taarifa kwa wananchi juu ya dhana na mchakato wa kufanya PETS.
Mashirika mengine yasiyo ya kiserikali yanayofanyakazi katika vijiji vya mradiKubadilishana ratiba na mawazo ili kutogongana katika kuwatembelea wanakijiji kwa makusudi ya kutekeleza miradi.
StakeholderHow you worked with them
SERIKALI YA WILAYAWATENDAJI NGAZI YA KATA NA WILAYA WALIHUSISHWA TANGU HATUA ZA AWALI KWA NJIA YA KUTOA TAKWIMU ZA HALI HALISI YA ELIMU KUANZIA NGAZI YA KATA, WILAYANI NA MKOANI.

WAMESHIRIKISHWA KATIKA UTAMBULISHO WA MRADI,MAFUNZO,UHAMASISHAJI, UANDAAJI WA MPANGO SHIRIKISHI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MRADI. MKUU WA WILAYA AKIWA MGENI RASMI WAKATI WA UFUNGUZI.
IDARA YA ELIMU WILAYANI NA MKOATUMEWASHIRIKISHA KATIKA KUANDAA NA KUTOA BAADHI YA MADA ZILIZOKUWA ZIMEKUSUDIWA KATIKA HATUA MBALIMBALI ZA MRADI.

TUMEKODI MAJENGO YA VITUO VYA WALIMU ILI KUBORESHA MAHUSIANO NA KUWAONGEZEA KIPATO.
WATENDAJI WA NGAZI YA WILAYA, KATA NA SHULE WAMESHIRIKISHWA KATIKA HATUA YA UIBUAJI WA MRADI, UHAMASISHAJI, MAFUNZO, MAANDALIZI YA MPANGO SHIRIKISHI NA UFUATILIAJI WA MANDELEO YA ELIMU KWA KARIBU ZAIDI.
ASASI ZISIZO ZA SERIKALI.ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI NA MTANDAO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI VIMESHIRIKISHWA WAKATI WA UTAMBULISHO WA MRADI.



TAASISI ZA DINI NA SIASAWAMESHIRIKISHWA KATIKA HATUA ZA AWALI KATIKA KUTAMBUA MAENEO YAMRADI NA WALENGWA WA KATA HUSIKA.

WAMESHIRIKI MIKUTANO YA UHAMASISHAJI NA MAFUNZO.
MADIWANIWAMESHIRIKISHWA KATIKA MIKUTANO YA UTAMBULISHO WA MRADI, UHAMASISHAJI NA MAFUNZO.
StakeholderHow you worked with them
Area CommissionerThe Area \commissioner allowed the District Administrative Secretary (DAS) to officiate the opening of our semminar
The Member of Parliament (MP) Mr. Abood AzizAllowed his TV and Radio crews to cover the opening session of our seminar
The Morogoro Union of Non-GovernmentalOrganisations (UNGO)Participated in our seminar and gave us their experiences and consultation on how to operate our organisation
The Ward education Officer and Community Development Officer Participated fully in our seminars
Other NGOs like MKITUNDA /TunajaliWe exchanged our experiences with them
StakeholderHow you worked with them
maendeleo ya jamii tuliweza kupata ushauri kutoka kwa afisa maendeleo ya jamii anayeshughulika na NGO jinsi ya kuwafikia wanawake wajane walio mbali na huduma yetu.
mtendaji wa kata aliweza kutushauri kusaidia na watoto ambao wapo mikononi mwa wanawake wajane kwamba shilika linaombwa kufikilia hilo ili hao watoto nao waweze kupata huduma stahiki.
katibu tarafa huduma zetu ziwafikie kwa haraka wanawake wajane waishio vijijini maana huko ndiko kuna ukiukwajiwa haki za wanawake wajane.
StakeholderHow you worked with them
Serikali ya kijiji, kata,tarafa na wilaya.Tulitoa taarifa kuhusu kufanyika kwa mradi huu ambapo katika mafunzo ya awali watendaji wa kata wanachama wa BAENET walishiriki. Mafunzo yalifunguliwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Bahi kwa niaba ya Mkurugenzi Wilaya ya Bahi na hatimaye kufungwa na Mhe Diwani wa kata ya Bahi ambapo mafunzo yalifanyikia.
Idara ya maendeleo ya jamii wilaya ya Bahi pamoja na baadhi ya asasi za kiraia wilayani Bahi ikiwemo BANGONETWawakilishi toka idara ya maendeleo ya jamii na BANGONET walihudhuria sehemu ya mafunzo katika utekelezaji wa mradi huu.
StakeholderHow you worked with them
Policy Forum- Exchanging Brochures carrying SAM education
Same Network of Non Governmental Organizations Experience sharing
Better Living Advocates Experience sharing
StakeholderHow you worked with them
SHIVIWATA-MorogoroTulipata vipeperushi
Halmashauri ya wilaya KilosaWawezeshaji
Viongozi wa vijiji na Vitongoji Utambuzi wa washiriki wa mafunzo
Wenyeviti wa vijijijKufungua mafunzo
Mbunge wa Kilosa Kunga mafunzo
StakeholderHow you worked with them
Mahusiano ni kuwa uamuzi na asasi nyingine katika kupanga mipango ya maendeleo ma mazingiraTumeshirikiana kufanya andiko la mazingira
StakeholderHow you worked with them
Kinondoni Municipality

trained us on stategic planning/project write up and networking in HIV.AIDS activities.
Other non governmental organization invited them to share experience and skills in project write up and stategic palnning
ward leaders know what the organization is doing in their community
leaders and volunteers and drama groups project stake holder the are all part of the organization
StakeholderHow you worked with them
Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) 1Kushiriki kwa Afisa Mipango wa Mkoa Bw. Brown Kintungi katika ufunguzi wa Warsha akiwa Mgeni Rasmi kwa Kutoa hotuba ambayo imetupa mwelekeo mpya wa kuimarisha na kuborsha ushirikiano na Serikali katika ngazi ya Mkoa katika utekelezaji wa Malengo asasi
Ofisi ya SIDO (M) Pwani Ushiriki wa Meneja wa SIDO (M) Bi. Agness Yessaya katika warsha ya Siku tano ya kuandaa mpango mkakati wa Pwani-DPA na kutoa mchango wa mawazo kuhusu hursa ya Pwani-DPA kushirikiana na SIDO katika kuchangia kupunguza umasikini wa Kipato kwa Wanawake na Vijana kupitia shughuli za kujiongezea kipato
Halmashauri ya Mji wa Kibaha Ushiriki wa Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Bi.Siwema Cheru na Kutoa mchango wa Mawazo kuhusu fursa ya Pwani DPA kushiriki na kuchangia kuhamasisha na kuinua ushiriki wa Wananchi katika mikutano ya mipango ya Maendeleo katika maeneo yao
Community Development Agenda Countrywide (CDAC) Kushiriki kwa M/kiti mtendaji wa CDAC akiwa Mtaalamu/Mshauri wa Kuongoza mchakato mzima wa uaandaaji wa Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Pwani-DPA
Wawakilishi wa asasi za kiraia kutoka wilaya za Mafia ,Rufiji,Mkuranga,Kisarawe,Bagamoyo, Kibaha mjini na Vijijini Ushiriki wao katika kutoa michango ya mawazo kuhusu masuala muhimu nay a Kipaumbele yanayopaswa kushughulikiwa na asasi za kiraia katika kipindi cha miaka mitano ijayo
StakeholderHow you worked with them
1.) TAMASHA •Tulitumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii
•Ushauri wa namna ya kutekeleza mradi kwa ufanisi
•Kubadilishana uzoefu katika utekelezaji wa miradi
2) WIZARA KAZI AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA •Tumetumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii
•Ushauri kuhusu ushiriki na ushrikishwaji wa vijana
3. TBC 1•Tuliaandaa kipindi cha vijana kuzungumzia ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kimaendeleo.
4.)Tanzania Daima Kuandika taarifa ya shughuli za TEYODEN katika Gazeti
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE•Ushauri wa namna ya utekelezaji wa mradi na ushiriki wa vijana
StakeholderHow you worked with them
Anglican church sumbawangawalititukodishia ukumbi
wawezeshaji wawili walitoka anglican
ofisi ya mkurugtenzi wa manispaa ufunguzi wa mafunzo
ofisi ya mkuu wa mkoamwezeshaji mmoja alitoka ofisi ya mkuu wa mkoa
StakeholderHow you worked with them
Idara ya Maendeleo ya jamii jiji la MwanzaKusaidia kuwapata wawezeshaji wa mafunzo kwa kuzingatia uwezo na uzoefu wao na kwa gharama nafuu
StakeholderHow you worked with them
Serikali ya Halmashauri ya wilaya na Serikali kuuKupata miongozo mbalimbali
Mtandao wa mkoaMsimamizi mkuu wa AZAKI ndani ya mkoa
Vyombo vya sheri kama mahakama na polisikuwashrikisha katika mambo mbalimbali ya kisheria
JamiiWamiliki wakuu wa shughuli za AZAKI na kushiriki kwenye mafunzo mbalimbali
StakeholderHow you worked with them
The organization collaborates with local government Chairperson from local government was opening our training
JEBA society -Bagamoyowe collaborates with JEBA society for consultation during project implementation and gain more experience.
StakeholderHow you worked with them
Halmashari ya Manispaa Dodoma, na Halmashauri za Wilaya za Bahi, Chamwino, Kondoa, Kongw, Kondoa na MpwapwaBaadhi ya watumishi wa Halmashauri hizo walikubali kushiriki kwenye shghuli za Mradi bila vikwazo.
Asasi za Kiraia zilizopo Dodoma.Zimeunga sana Mkono shughuli za MED.
Wananchi wa Kawaida.Wametoa changamoto kwa MED kujizatiti katika kuhakikisha inawafikia na kuyafikisha mawazo na ushauri wao katika vyombo vya habari ili yapatikane mabadiliko ya kweli.
StakeholderHow you worked with them

The government
-The technical personnel(Forest) facilitated the whole workshop
-The Mvomero district government gave us a permission to run the workshop
-Inauguration of the workshop was done by the Divisional Officer
CHAVITA -Morogoro branchKnowing that in the society there are such dissbled people, we invited CHAVITA leaders in the region to bring a challenge to the community so that they recognize such groups.
StakeholderHow you worked with them
District Councils of Mkinga, Pangani and Muheza1. Use their offices for collection of application forms in ward level
2. Planning together the date of Election
3. Supervising the election in respective wards
« Previous questionNext question »

« Back to report