Injira
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Describe any experience and ideas that you obtained from implementing the project

Explanation
We have learn that more elderly people especially disadvantage older women, are still vulnerable, are not aware , accessible to their rights and rights violation and cannot make an informed choice and decision
The community and especially the teenage girls are interested in the national policy,except for the lack of proper platform or safe space to discuss issues related to their social economic and cultural needs

We have also learn't that, there is purely lack of constitutional and policy awareness on the majority of the community, as this readings and literature are never communicated to them as they don't take the trouble to learn about the constitution rights in areas that affects them and their lives.
Explanation
VIONGOZI WA JUMUIYA HAWAKUWA NA TAALUMA YA KUTOSHA YA UONGOZI NA USIMAMIZI WA JUMUIYA INAYOTAKIWA KABLA.
VIONGOZI NA WANACHAMA WA JUMUIYA YOYOTE WANAPASWA WAWE WABUNIFU ZAIDI NA ZAIDI KATIKA KUJUA MATATIZO YA JAMII WANAYOIFANYIA KAZI NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI..
MASUALA YA KUMBUKUMBU NA UTUNZAJI WA FEDHA KATIKA JUMUIYA YANAHITAJI UMAKINI WA ZIADA ILI KUEPUSHA UBADHIRIFU WA FEDHA,MIGOGORO NA KUPARAGANYIKA KWA JUMUIYA HUSIKA.
MASWALA YA FEDHA KATIKA JUMUIYA LAZIMA YAWE NA MUONGOZO MAALUMU AMBAO WATU WATAUFUATA ILI KUWA WAZI ZAIDI NA KUONDOA SHAKA NA MWANYA WOWOTE WA UPOTEVU WA RASILIMALI NA UFISADI..
MPANGO MKAKATI UNAIRAHISISHIA MNO JUMUIYA KUWEZA KUFANYA SHUGHULI ZAKE VYEMA NA KWA MAFANIKIO YANAYOPIMIKA.
Explanation
Kamati za shule na jamii vijijini hawajui haki zao za msingi za kufahamu na kuhoji mapato na matumizi ya fedha na rasilimali za umma.

Walimu wakuu na walimu wengine katika shule hasa zile za vijijini wanatumia mwanya huu wa kutokufahamu kwa wajumbe na jamii juu ya mapato na matumizi ya fedha na rasilimali za umma kutumia vibaya yaani nje ya makusudi halisi ya fedha au rasilimali husika.
Shule na vijiji hazina mipango ya maendeleo na hivyo kutokuwa na vipaumbele vya utendaji.mwanya huu unawapa nafasi fedha toka wilaya kutumika nje ya vipaumbele vya shule/vijiji.
Utekelezaji wa Mpango wa MMEM katika ngazi za vijiji vilivyo mbali na miji na barabara kuu hasa ujenzi wa vyumba vya madarasa upo chini sana kwa idadi na ubora.
Wanakijiji wakielimishwa wana uwezo wa kuelewa na kutenda.
Explanation
KUWEPO NA KUIMARIKA KWA MAHUSIANO NA MASHIRIKIANO MAZURI KATI YA SHIRIKA LETU LA CINO,WANANCHI,ASASI ZINGINE NA MAMLAKA ZA SERIKALI KATIKA NGAZI MBALIMBA HUSUSAN IDARA YA ELIMU NA MAENDELEO YA JAMII.
WALIMU, WATENDAJI KATA NA WANANCHI KWA UJUMLA BADO HAWAJAJENGEWA UWEZO WA KUTOSHA KUHUSU SERA YA ELIMU,UMUHIMU NA FAIDA YA ELIMU KWA WATOTO WAO.
ADHABU NDOGO TENA ZA KULINDANA ZINAZOTOLEWA KWA WANAFUNZI AU WAZAZI WANAOCHANGIA UTORO NA MIMBA ZA UTOTONI HAZIJATATUA TATIZO LILILOPO ITAKIWAVYO.
WANANCHI NA WATENDAJI HASA NGAZI YA KATA WAKIWEMO WALIMU HAWAPATI MAPEMA TENA KWA UFASAHA TAARIFA ZA MABADILIKO KATIKA UBORESHAJI WA ELIMU IKIWA NI PAMOJA NA MITAALA NA VITABU VIPYA KWA WAKATI.
MUDA WA MAFUNZO KATIKA MRADI HUU UMEKUWA MDOGO SANA KIASI AMBACHO MAMBO MENGI YANAHITAJIKA KUTOLEWA KWA WALENGWA ILI KUBORESHA UTOAJI WA ELIMU WILAYANI LINDI.
WATENDAJI KATA AMBAO WAMEPEWA MAJUKUMU MAKUBWA YA KUSIMAMIA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE NDANI YA KATA WANAONEKANA KUZIDIWA NA MAJUKUMU HAYO MAHALI PENGINE WENGI WAO KUTOKUWA NA UELEWA WA KUTOSHA JUU YA MAMBO YA MSINGI; MF SERA YA ELIMU NA PIA SHERIA YA ELIMU.
Explanation
Government officials eg. the Area Commissioner and the District Administrative Officer were overwhelmed by the project. Due to the magnitude of the problem in Morogoro they confessed that no NGO in Morogoro District has so far addressed the problem
Participants were eager and showed high interest to learn because all were ignorant on the subjects which were taught.
The Mass media were cooperative in the project and offered free advertisement
Lack of participant's loss of income compensation allowance demoralized their participation/regular attendance to the seminars
Participants commended the Organisation's decision to offer them with Certificates of Attendance.
The budget was limited. Some of the activities were strained
Explanation
utunzaji wa fedha kwa usalama fedha isiyo ya lazima haisitahili kukaa ofisini lazima ipelekwe benki,kutumia kanuni za fedha kunapunguza manung'uniko ndani ya asasi.
kila kiongozi kujua madaraka yake na mipaka yake ya kiutendaji maamuzi yanafuata ngazi na mamulaka .
kuandaa na kuibua miradi ndani ya asasi,pia wanachama wamekuwa na uwezo wa kuibua miradi
Asasi kutambulishwa katika ngazi ya kata tarafa na wilaya, ushirikiano umeongezeka kutoka ngazi za kata wilaya na tarafa kwa kutusaidia utendaji wetu katika kuwafikia wanawake wajane
Explanation
Katika mafunzo ya usimamizi wa fedha tumejifunza mambo mengi sana ambayo kimsingi aidha wengi wetu hatukuwa na uelewa mzuri au tulikuwa hatujui kabisa.Miongoni mwa mambo mapya tuliyojifunza ni pamoja na:
-Maana ya usimamizi wa fedha
-Umuhimu wa usimamizi wa fedha
-Namna ya uandikwaji wa vitabu vya fedha
-Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa vitabu vya fedha
-Namna za usimamizi wa fedha
-Miundo mbali mbali ya usimizi wa fedha
-Utayarishaji wa hati za malipo
-Mifano ya hati za malipo
-Namna ya kujaza hati za malipo
-Uingizaji wa hati za malipo kwenye kitabu cha fedha
-Uhifadhi wa hati za malipo
-Kulinganisha malipo yaliyofanyika na fedha zilizo baki kwa mwezi
-Maana ya bajeti
-Aina za bajeti
-Uandaaji wa bajeti
-Misingi ya upangaji wa bajeti
-Utoaji taarifa za miradi ya fedha
-Mambo ya kuzingatia katika utoaji wa taarifa za miradi
-Umuhimu wa utoaji wa taarifa za fedha.
Katika mafunzo ya uandaaji wa mchanganuo wa mradi au andiko la mradi,tumepata picha halisi ya nini andiko linahitaji ili likamilike. Kimsingi mambo yote yalikuwa ni mapya kwetu na tumejitahidi kuyaelewa vizuri. Miongoni mwa mambo tuliyojifunza ni pamoja na:
-Maana ya Mchanganuo au Andiko la mradi.
-Hatua za kufuata katika uandaaji wa mchanganuo wa mradi.
-Kubainisha wafadhili na kutambua taarifa muhimu zinazotakiwa kwenye mchanganuo wa mradi
-Taarifa muhimu zinazoelezwa katika mchanganuo wa mradi.
-Uandishi wa ukurasa wa mbele katika mchanganuo wa mradi.
-Maana ya ukurasa wa mbele
-Umuhimu wa uandishi nadhifu wa ukurasa wa mbele
-Taarifa muhimu zinazotakiwa kuonekana kwenye ukurasa wa mbele wa mchanganuo wa- mradi
-Uandishi wa muhtasari wa mradi
-Maana ya muhtasari wa mradi
-Umuhimu wa kuandika muhtasari nadhifu wa mradi
-Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa muhtasari wa mradi
-Uchambuzi wa tatizo
-Mambo ya kuzingatia katika uchambuzi wa tatizo
-Kutumia mti wa tatizo na mti wa malengo kufanya uchambuzi wa tatizo
Katika mafunzo ya uongozi wa vikundi na uendeshaji asasi, mambo mapya tuliyojifunza ni pamoja na misingi ya utawala bora, majukumu ya kila mwanakikundi na umuhimu wa utekelezaji wa kanuni na taratibu za asasi.
Explanation
Social Accountability Monitoring(SAM) is a new experience to the community -much efforts are needed in order to gets impacts

We observed that government leaders must be involved in all five stages in SAM
Health committees and ward health boards are not well formed in Same and Mwanga Districts

There is poor commitments from political leaders on prioritizing health sector in Same an Mwanga districts
Explanation
Uzoefu wa kwanza ni kwamba watu wengi wa jamii ya watu wenye ulemavu hususani waishio vijijini hawajui haki zao za msingi na hivyo kupelekea kukosa fursa nying za kiuchumi,kisiasa na kitamaduni
Hakuna mipango mathubuti ya serikali ya kusaidia jamii ya watu wenye ulemavu ,na hata muundo wa sera ya watu wenye ulemavu haukuwa shirikishi. Sera yenye haitambuliki kwa walemavu., na baada ya sera kuundwa bado serikali haijatunga sheria juu ya utekelezaji wa sera husika
Tume jifunza kwamba walemavu wengi hawapati fursa za kiuchumi kutokana na wao wenyewe kuwa na elimu duni juu ya haki zao nyingi za msingi.Hawapati elimu ya kutosha,Hawawezeshwi na mafunzo mengi yamekuwa yakitolewa kwa jamii isiyo kuwa yenye ulemavu na walemavu kubakia kutengwa kama omba omba. Ipo haja ya serikali na wadau wengine mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali kutenga na kupanga mkakati wa mipango yao kwa kuzingatia fursa na nafasi ya jamii ya watu wenye ulemavu kimaendeleo.
Mafunzo kama haya yanahitajika sana kwa jamii ya watu wenye ulemavu,hivyo basi ipo haja yaendelee kutolewa maeneo mengi kwani yana nufaisha haja na matakwa ya watu wa jamii yenye ulemavu
Explanation
Kuwa na miongozo ya fedha
Kuwa na usimamizi mzuri wa fedha, na kutunza kumbukumbu
Kuweza kujua kuandaa maandiko ya miradi
Kujua utawala bora na uandaaji mipango mikakati
kujua uendeshaji na usiamizi wa asasi
Kuondoa tofauti za kijinsia
Explanation
We had good experience because while the organization was building capacity among leaders and volunteers at the same time the Foundation for Civil Society invited us for similar trainings ie financial management in Dar es salaam so we had time to share experience, strength challenges and able to strengthening skills among ourselves
We team spirit is good for development of our organization
It is possible for the organization to grow if we all work hard and build network
The three skills we learned are major backbone of the organization- stategic planning , project write up and financial management.
Explanation
Mradi huu wa Kuandaa Mpango mkakati wa asasi umeonekana ni Mradi muhimu sana si kwa asasi changa kitaasisi kama Pwani-DPA tu bali kwa asasi yoyote yenye dhamira njema ya kuchangia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika sekta yeyote ile na hili lilijidhihirisha wazi kwa Washiriki wa warsha hii,ambao walitoa ushuhuda kwamba ushiriki wao haukuwa tu kutoa mchango wa mawazo kuhusu mwelekeo wa Pwani-DPA bali wamejitambua umuhimu wa kuwa na mpango Mkakati katika asasi zao kwani asasi njingi zilionesha kutekeleza mipango na malengo ya asasi zao bila kuwa na Mpango Mkakati jambo ambalo linapelekea kutokuwa na fursa ya kupima ufanisi na Mafanikio ya Asasi kwa Kipindi fulani
Umuhimu wa Kujenga mahusiano mazuri yenye mwelekeo wa Kimaendeleo na wadau hasa serikali na asasi zake, hili lilijidhihirisha wazo wakati afisa mipango wa Mkoa wa Pwani Bw. Brown Kintungi na Meneja wa SIDO Mkoa Bi. Agness Yessaya walipokuwa wanachangia katika mjadala wa Warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Pwani-DPA,Walisema,"Kimsingi serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na Asasi za Kiraia katika kuchochea maendeleo katika sekta mbalimbali la msingi ni kuwa na mipango mizuri ambayo inaweza kuhusishwa katika mipango ya Maendeleo katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Wilaya nanyi kama asasi mkasaidia katika ngazi ya Utekelezaji na Serikali ikafanya kazi ya Uratibu tu"
Changamoto kwa asasi za Kiraia hasa zile Changa Kitaasisi kama Pwani-DPA,kuandaa majarida yatakayosaidia kusambaza kazi zinazofanyika kwa walengwa na wadau ili kujitangaza zaidi na kutambuliwa katika maeneo ya utekelezaji wa Programu na Miradi mbalimbali
Umuhimu wa kujenga uwezo wa mapato ya ndani ya asasi kwa ajili ya uendelevu wa utekelezaji wa malengo ya asasi
Katika hatua ya utekelezaji wa Masuala na Malengo ya Pwani-DPA,kupitia warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa miaka mitano 2011-2015 kwa Mkoa wa Pwani tumeazimia kuwekeza katika kujenga uelewa wa jamii kwa maana ya kujitambua na kudai haki zao katika mchakato wa Maendeleo kupitia majukwaa ya Mijadala ya Maendelea na Sera itakayoitwa Sera na Maendeleo " SEMA" majukwaa ya mijadala hii ya kila mwezi yatanzishwa na kuendelezwa katika makao makuu ya Wilaya zote za Mkoa wa Pwani lengo ikiwa ni kuwaleta pamoja wananchi na Viongozi wao katika ngazi ya Wilaya kujadili utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika maeneo na yanayojitokeza kuwasilishwa kwenye mamlaka husika kwaajili ya kutafutiwa Ufumbuzi
Explanation
Viongozi wa serikali wanatoa mchango mkubwa wa mawazo na nguvu zao kama wanashirikishwa vyema katika mradi kuanzia hatua za mwanzo za mradi.
Kuna faida kubwa kufanya kazi kama timu katika utekelezaji wa miradi.Sio mtu mmoja katika asasi kuhodhi kazi zote za mradi.
Vijana wakiwezeshwa na wakijiwezesha wanaweza kutoa machango mkubwa na kuchangia maendeleo ya Taifa.
Vijana wana ari na moyo kutaka kuzitambua haki zao na kuzifuatilia ila huwa wanasubili kuanzishiwa mambo ili wao waendelee na tunaamini mwanzo umepatikana.
Explanation
Tumejifunza jinsi ya kuandaa na kusimamia miradi.
Tumejifunza mifumo ya utawala gbora ,usimamizi ulio wazi ,uwajibi kaji ndani ya asasi.
Tumejifunza utunzaji wa kumbukumbu za fedha ,ujazaji wa daftari la fedha{anlysis book}
uandaaji wa fom ya maombi ya fedha uandikaji wa hati ya malipona uandaaji wa bajeti.
Tumejifunza mwongozo na kanuni za fedhana ,utawala wa fedha ndani ya asasi na mifumo ya fedha.
Tumejifunza mifumo ya ununuzi na ugavi ,.pamoja na hati zitumikazo wakati wa ununuzi.
Hati zitumikazo katika kuandaa malipo
Explanation
Mafunzo haya yamekuwa ya msaada sana kwa asasi yetu ambayo kimsingi bado ni changa sana. Viongozi na wanachama wa METI wamejengewa uwezo n auelewa katika kuendesha asasi kwa misingi ya utawala bora. Kila mmoja amejiona ni wa muhimu katika asasi badala ya fikra za zamani kwmaba wenye asasi ni viongozi tu.
Baada ya mafunzo watendaji wakuu wa asasi pamoja na wajumbe wa bodi wameelewa vizuri majukumu na nafasi zao katika asasi hasa katika masuala ua utawala na udhibiti wa mapato na matumizi ya fedha na raslimali nyingine za asasi. Asasi sasa itaendeshwa kitaalamu na siyo kwa mazoea tu
Explanation
Mikakati ya serikali na utoaji wa dhana ya PRTS
Muundo wa serikali za mitaa
Mchakato wa mipango ya bajeti za serikali za mitaa
Ufuatiliaji wa wa matumizi na rasilimali za umma(PETS)
Stahili na haki za msingi wa kisheria na fedha za PETS
Hatua za msingi na methodolojia za PETS
Explanation
The name of organization must be related to the activities of the organization
Vision and mission must relate to the objectives of the organization
Organization structure must also meet the needs of the organization
Partnership is a wide spectrum ie it must include societies,companies,Government organs,private sectors,UN bodies,Diplomatic bodies and well wishes individuals.
Board of directors is the mainstay of the organization development
Members must be ready to fulfill their responsibility thus must be ready to volunteers in order to bring organization development.
Explanation
Baadhi ya watumishi wa Serikali kuwa waoga katika kushiriki kuzungumzia masuala muhimu hasa yanayozihusu sekta wanazozifanyia kazi Mf. Elimu, Afya nk.
Wananchi wengi wako tayari kujitokeza kuzungumzia kero mbalimbali zinazo wakabili katika maeneo yao ila bado hawajapata fursa hiyo kutokana na kutokuwepo kwa miradi ya kutosha kuwapa nafasi ya aina hiyo.
Fursa zaidi zinahitajika ili kuwapa wananchi nafasi ya kuwasilisha mawazo yao kwa watunga sera.
Explanation
During the implementation and discussions it was learned that people were perfoming human activities in catchment areas and along the river banks without knowing the outcomes.This was adressed properly during the workshop.Moreover it was learned that due to the absence of by-laws governing environmental resources in the whole ward ,people would just come in these villages pretending to have permits from higher authorities and harvest forest product leaving the villagers woundering not knowing what to do.
Inhabitants,not knowing the outcome would perform human activities in the forests just in order to have their daily bread.In a long discussion, it was learned that having alternative projects which are environmental friendly would concerve the forests and hence the biodiversity as well as alleviating poverty.
Explanation
Increasing of seriousness of the young people in election of youth parliament, example in one ward in Mkinga District youth were collected by using 5 trucks (FUSO) to come to the election
Serious competition among youth groups, which every one try had to make sure that their contesters are win
Participation of councilors in election of Youth parliament in their wards,
Fear of government when youth create their own free forum, example Mkinga District Commissioner questions why we are establish youth forum, we realise that district interagency making closer follow up of youth parliament

Changes is possible when you follow the right channels, during and after election we received many calling from well wishes in those districts where election took place to congratulate us, all said we are to gether with Bunge to make change, two villages where they did not conduct village meetings for three year, they agreed to conduct meeting when leaders enfluenced by Member of youth parliament in Kipubwi ward and Kwalugulu
« Previous questionNext question »

« Back to report