Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

A. Intended Results as per appendix E. Key Performance Indicators in the contract

Increased women access to rights and equal Development opportunities in education, inheritance, employment and leadership by the end of September 2010
1. VIONGOZI NA WANACHAMA WA JUMUIYA YA SKULI ZA MAANDALIZI ZA MADRASA KUWA NA UWELEWA JUU YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA ASASI NA MIRADI.

2. KUWEPO KWA MUONGOZO WA FEDHA NA MPANGO MKAKATI WA JUMUIYA YA SKULI ZA MAANDALIZI ZA MADRASA.
Kamati za shule zinatekeleza majukumu yao hasa katika ufuatilaiji na upangaji wa shughuli za maendeleo za shule na kusimamia na kufuatilia matumizi ya fedha zinazotengwa na pia ushiriki wa wananchi katika kupanga na kusimamia maendeleo na rasilimali za umma katika sekta ya elimu umeongezeka
HALI YA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI KWA MADARASA YA PILI HADI YA SABA KWA KATA ZOTE TANO KWA MWAKA 2011 YAMEONGEZEKA KULINGANA NA MAHUDHURIO YA 2010 KAMA INAVYOONEKANA KATIKA KIAMBATISHO.







MATOKEO YA KATA HIZI MBILI KATI YA KATA 5 ZA MRADI YANAONYESHA MAFANIKIO YA MUDA MFUPI WA MRADI YALIYOTARAJIWA. KATA ZINGINE TATU ZIMEONYESHA MABADILIKO YA MAFANIKIO KAMA HAYA VILEVILE.


1. JIMOWO Leaders and Members acquired improved skills,knowledge in preparation and management of administrative and financial regulations and related laws which have a link to the running of the organisation.
1 kuongezeka kwa uwazi katika uendeshaji wa asasi na matumizi mazuri ya fedha
2 viongozi kuwa na mwelekeo sahihi juu ya utawala bora
3 kuelewa jinsi ya uibuaji wa miradi na usimamizi wake
4 Asasi inafahamika katika ngazi ya kata tarafa na wilaya
-Taarifa za fedha za shughuli zinaandikwa na kusomwa kwa wanachama.
-Kuongezeka kwa idadi ya vikundi vya kutunza na kuboresha mazingira.
-Wanachama wanashirikishwa katika kutoa maamuzi kwenye vikundi vyao.



Increased transparency and efficiency in utilization of funds allocated for healthcare development by 2012

1.Walemavu wamemaliza kunufaika na fursa mbali mbali za kijamii zilizipo katika maeneo yao ifikapo june,2011
2.Jamii ya watu wenye ulemavu wameanza kushirikiana katika kupanga kutekeleza na kufuatilia miradi ya maendeleo katika jamii ifikapo, june 2011
3. Kero na sauti za watu wenye ulemavu zimesikilizwa na kupatiwa ufumbuzi katika vyombo vya kutunga sheria,maamuzi
Viongozi wamepata elimu ya kutosha, na kuwa mafanikio kwa kutoa huduma kwa jamii
As the end of the project it is expected;
Have three years stategic plan
Be able to account financial performance
Be able to write good proposal for funding
•Kuwa na Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa miaka mitano (5), 2011-2015
•Kuwa na mwoongozo utakaotumika kushirikisha wadau katika hatua ya Utekelezaji
•Utekelezaji wa malengo ya asasi kwa Kuzingatia vipaumbele vya Walengwa, Wadau na Mpiango/Mikakati ya Kitaifa
Ari ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika masuala ya kijamii na maendeleo umeongezeka katika kata 12 za Manispaa ya Temeke.
viongozi wa asasi wamepata uelewa wa kusimamia miradi ya asasi.
viongozi na wanachama wamepatauelewa , utunzaji wa mahesabu kumbukumbu za mahesabu
na mifumo ya fedha na kanuni za fedha .
Matokeo tarajiwa ya muda wa kati yalikuwa:
Uwezo wa kiutendaji wa viongozi na wanachama wa asasi ya METI umeimarika ili kuboresha ufanisi wa shughuli za asasi na kufikia malengo yake
-Uwazi katika kuweka taarifa za matumizi ngazi ya kata umeongezeka
-Idadi ya viongozi wa serikali za mitaa wanaotekeleza wajibu wao wameongezeka
-Idadi ya malalamiko yanayowasilishwa kwenye vikao yamepungua
An appropriate effectively and workable organization structure
Matokeo ya Kati ya Mradi yaliyopatikana katika mradi huu kama ilivyotarajiwa ni kama ifuatavyo:-
1. Zaidi ya wananchi 132 walishiriki na kuchangia mawazo yao katika vipindi vya mradi.
2. Mradi umewafikia zaidi ya wananchi 1200 katika kipindi cha utekelezaji wa mradi.
3. Ushiriki wa viongozi wa Serikali ulipatikana kwa washiriki 13 kati ya 88 wa studio.
4. Wananchi walikuwa huru kuchangia mawazo na kutoa ushauri bila woga.
It is expected that upon proper implementation of the project there will be a great change in the restoration of Mount Uluguru Forest Cover,water catchments management and that proper Forest management will be adehered to.
Participation of youth in decision making procees in local government level through propar platform
« Previous questionNext question »

« Back to report