Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

D. Kama kuna tofauti zozote ni kwa sababu gani?

There was an increased number of the community members from 16,275 to 16,519 due to the large number of the Secondary schools students from the respective wards based secondary schools
Tofauti iliyopo ni idadi ya wajumbe wa warsha za mafunzo katika vituo ambapo tulitegemea kila kituo washiriki wangekuwa 50 lakini kulikuwa na tofauti kama ifuatavyo:-Langali-50,Mlali-49, Mvomero-44, Mhonda-54,Mkuyuni-51
SHUGHULI ZOTE ZILIZOPANGWA ZILFANYIKA KAMA ILIVYO KUSUDIWA ISIPOKUWA KULIKUWEPO NA UCHELEWAJI WAKATI WA KUANZA NA KUMALIZA MRADI KUTOKANA NA FEDHA KUCHELEWA KULETWA TOKA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY.
The reasons for the difference between the target group and actual attendance was that one Leader could not attend because she was on maternity leave while two members were on official safari.
tofauti ipo kwa upande wa bajeti ya maji
bei iliyopo sokoni ni tofauti na bei iliyopo kwenye bajeti hivyo ilibidi maji yanunuliwe chini ya gharama zilizopo kwenye bajeti na kubakia sh. 6000 kama bei iliyopo kwenye bajeti ingetumika kama ilivyopangwa ingeliitaji kuongeza fedha kutoka mahali pengine ambavyo ni kukiuka mashariti ya mkataba.
-- Ongezeko la fedha Tshs 4500/= kutokana na makosa ya kimahesabu katika andiko la mradi katika Jumla ndogo Na 1

--Ongezeko la fedha Tshs716200/= kutokana na makosa ya kimahesabu katika andiko la mradi kwa vipengele 3.1, 3.2, 3.3, 3.4,3.10 na 3.11.

-- Matumizi yaTshs 46400/= katika vipengele 4.8 na 4.9 ambapo gharama za chai na chakula kwa mwezeshaji zilisahaulika na ongezeko la vipengele 4.15 na 4.16 kutokana na kusahaulika kwa bajeti ya maji na soda.

-- Matumizi ya Tshs 46400/= katika vipengele 5.8 na 5.9 ambapo gharama za chai na chakula kwa mwezeshaji zilisahaulika na ongezeko la vipengele 5.15 na 5.16 kutokana na kusahaulika kwa bajeti ya maji na soda.

--Matumizi ya Tshs 50000/= kukodi ukumbi ambapo gharama halisi kwa siku ni Tshs 120000/= kwa sasa. Katika vipegele 6.5, 6.6, 6.7 na 6.8 mwezeshaji hakujumuishwa hali iliyosababisha matumizi ya jumla ya Tshs 6700/=. Jumla ya fedha za ziada zilizotumika katika kifungu namba 6.0 ni Tshs 56700/=.

--Matumizi ya Tshs 335000/= kutokana na ongezeko la bei katika vipengele 7.3, 7.7 na 7.8. Matumizi ya Tsh 10200/= kutokana na ongezeko la mahitaji ya barua za kiofisi katika kipengele 7.6. Mabadiliko katika kipengele 7.10 kutokana na ongezeko la gharama za internet na uandaaji taarifa yamesababisha nyongeza ya matumizi ya Tshs 26800/=
Kutokana na fedha iliyokuwepo na mahitaji ya ofisi kama yalivyo ainishwa katika nyongeza ya vipengele 7.12 hadi 7.18 Tshs 226000/= zilitumika.
Hivyo mabadiliko na nyongeza ya vipengele katika baadhi ya shughuli za mkataba zimepelekea nyongeza ya matumizi ya jumla ya Tshs 720700/= zilizogundulika kuwepo nje ya mchanganuo wa matumizi ya fedha za mradi.
-Kumbi zilianishwa kama ilivyo pangwa na hapa kuwa na tofauti yoyote
-Mada 6 na manual 135 kwa washiriki zilitayarishwa
-Hakuna tofauti yoyote iliyotokea isipokuwa tu mafunzo yalichelewa kuanza ,badala ya kuanza saa 2.00 kamili asubuhi kama barua za mialiko zinavyoonyesha yalianza saa 3.00 kamili asubuhi, Sababu kubwa ni kwamba washiriki walikuwa wana tafuta Hela za Kiingilio katika semina wakidhani kwamba ili waweze kuingia katika semina lazima walipie ada, kwa uzoefu kwamba siku za nyuma walipokuwa wanaitwa kuja kwenye mafunzo ama semina na ,mashirika au taasisi zingine wamekuwa wakilazimishwa kuchangia ghara za Mafunzo kwa kutozwa pesa.
-Mada zilizo wasilishwa ni pamoja na:

Sera ya watu wenye ulemavu
Mipango ya maendeleo kwa watu wenye ulemavu
Mkataba wa haki za watu wenye ulemavu
Fursa za kiuchumi kwa watu wenye ulemavu
Vikwazo vya maendeleo na kero kubwa kwa watu wenye ulemavu




Hakuna tofauti iyotokea na kuathiri shughuli za Mradi
Ni shughuli moja tu ya ufuatiliaji na tathmini ambayo haikufanyika kwa kuwa aliyekuwa amepangwa kufanya hivyo (mtaalam wa nje ya asasi) hakuweza kupatikana. Asasi inafanya jitihada za kumpata mwingine kwa kazi hiyo katika kipindi cha robo ijayo.
Mkataba baina ya HakiElimu na Radio Kifimbo FM ulikuwa wa kufanyika kwa vipindi 13 tu. Kufuatia wananchi wengi kufurahishwa na mada za vipindi ambavyo MED ilikuwa ikiviendesha kwa uhisani wa HakiElimu; uongozi wa Radio Kifimbo ulikubali ombi la MED la kuendelea kushirikishwa kwenye studio za KFM ili kuendesha vipindi pale nafasi inapopatikana.

Kwa hali hiyo MED ilifanikiwa kupata nyongeza ya vipindi hivyo 9.
The only difference that could be noted is that of delay of funds which resulted into the implementation of the project.
The activies supposed to be conducted from October to Decembers 2010 instead of January to March 2011, the reason was delay of fund from Foundation for Civil Society
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti