Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

A. Outputs as shown in appendix E. Key Performance Indicators in the contract

1.1 Twenty four members of VWUC’s are aware of their roles and responsibilities and have acquired water sources management techniques by end of March, 2012.
1.2 Twenty four members of VWUC’s are aware of National water policy by end of
March,2012.
1.3 Forums for waters stakeholders in Mbulu districts established by March,2012

• Viongozi wa AZAKI watakuwa wamepata mafunzo juu ya uandaaji wa mipango na bajeti ya miradi ya maendeleo ifikapo Disemba 2012.

• Madiwa 27 toka kata 20 Wilayani Liwale watapata mafunzo juu ya wajibu wao na mfumo wa uandaaji wa mipango na bajeti ifikapo Disemba 2012.

• Kuongezeka na kuimarika kwa amasa ya ushiriki kwa jamii katika kupanga, kutekeleza, kufuatila na kutathimini miradi ya maendeleo
Zoezi la Ufuatiliaji wa Awali limefanyika na kufanikiwa katika kata 22 za Wilaya ya Mvomero na Morogoro (V) na matokeo yake kuwekwa bayana.
Increased participation of youth in Local Government Authority planning process
255 Community Members of West District in 29 shehias are sensitized on Environmental Management by October 2011.
viongozi 50 wa Serikali za mitaa katika kata 20 za manispaa na Lindi Vijijini wamepata uelewa juu ya utoaji wa maamuzi sahihi katika upatikanaji wa haki ya kumiliki Ardhi kwa wanawake katika kudai na kutetea haki zao.


wanawake 40 wa manispaa na Lindi vijijini wamepata mafunzo ya siku 3 juu ya sera na sheria ya Ardhi No 4 & 5 ya mwaka 1999 haki na wajibu wao katika kudai na kutetea haki zao za kumiliki Ardhi
1. Viongozi na Watendaji 42 wa Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi wameongezewa uelewa kuhusu ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na raslimali za umma za sekta ya barabara.

2. Kuongezeka na kuimarika kwa uwezo wa AZAKi, Vyombo vya Habari na Jamii katika kufanya Ufuatiliaji wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Umma (PETS) katika sekta ya barabara za Serikali za Mitaa.

3. Kamati 6 zenye washiriki 30 za Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi zimefanya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na raslimali za umma katika sekta ya barabara.

4. Wadau 150 toka Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi wameshiriki Mikutano 6 ya mirejesho ya taarifa za ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) katika sekta ya barabara za Serikali za Mitaa.

5. Machapisho ya Mabango 500, Kalenda 582 na Fulana (T-Shirts) 200 vyenye ujumbe wa kuhamasisha jamii kufuatilia matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) za sekta ya barabara za serikali za mitaa vimechapishwa na kusambazwa katika Halamshauri 6 za Wilaya/Manispaa Mkoani Lindi.

6. Vipindi 12 na Matangazo mafupi 34 ya redio yameandaliwa na kurushwa kwa wananchi wa Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi na kwingineko kuhusu umuhimu wa jamii kufuatilia matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) katika sekta ya barabara za Serikali za Mitaa.

7. Walengwa na wadau 180 toka Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi wameshiriki ufutiliaji na tathmni za maendeleo ya utekelezaji wa mradi na kubainika kwa mafanikio, mapungufu, changamoto na kuwepo kwa mikakati ya kuboresha utekelezaji wa mradi.

8. Walengwa na wadau 30 toka Halmashauri 6 za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi wameshiriki tathmini ya mwisho wa utekelezaji wa mradi na kubainika kwa mafanikio (matokeo na mabadiliko), mapungufu, changamoto zilizojitokeza na mikakati ya kuhakikisha mradi unakuwa endelevu imeibuliwa.
1. Wawakilishi 30 wa AZAKi toka wilaya ya Lindi wamejengewa uwezo na uelewa wa maarifa, mbinu na stadi za kufanya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamii (SAM) katika miradi na shughuli za maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ifikapo Desemba, 2011.

2. Viongozi/watendaji 20 wa Halmashauri za Wilaya/Manispaa Lindi na wawakilishi 20 wa AZAKi wamejadiliana, kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu kuhusu uandaaji, utekelezaji, usimamizi na tathmini za miradi na shughuli za maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ifikapo Desemba, 2011.

3. Ushirikiano na mahusiano baina ya viongozi/watendaji wa Halmashauri 2 za wilaya/manispaa Lindi na wawakilishi wa AZAKi vimeimarika na kuboreka ifikapo Desemba, 2011.

4. Ushiriki wa walengwa/wadau katika ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji mradi umeongezeka na kuboreka katika Halmashauri za wilaya/manispaa Lindii ifikapo Desemba, 2011.
Kufanyika kwa mkutano wa utetezi na uhamasishaji kwa wanawake 45 na wanaume 15 katika kata za Lufingo,Kyimo,Bujela,Kisondela,Mpuguso na Bulyaga
1. Old age policy of 2003 is introduced to the community and implementation of what
is in the policy is done towards the end of October, 2011
2. Existence of old age people councils with the capacity to discuss and demand their
basic needs as stipulated in old age policy of 2003
3. Increase in number of old age people in different platform which advocates for
their rights
Wanachama na viongozi wanajua na kuelewa jinsi ya kuendesha asasi kwa njia inayotakiwa
Increased participation of youth in Local Government Authority planning process
Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali sasa wanafahamu umuhimu wa kuhifadhi na utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji.`
Output: 1. FOTA has clear Vision, Mission statement, organization's structure, regulations, strategic plan and management resources manuals (financial, Human resources, procurement, Code of ethics, strategic plan and monitoring and evaluation tools).

Indicators
1. Clear Vision, Mission statements, plans and procedures are in place.
2. Clear financial, Human resources, procurement policies, code of ethics and M & E tools are in place.

Output: 2. FOTA capacity strengthened financially and with lobbying techniques.

Indicators
1. Number of FOTA people with skills in lobbying and fundraising techniques.
2. Presence of financial regulations.
Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa miradi umeongezeka.
- wananchi 340 wamepata mafunzo ya Elimu ya Uchaguzi
- kuchaguliwa kwa viongozi bora baada ya chaguzi mbalimbali
- wananchi 340 wamepata mafunzo juu ya athari za rushwa wakati wa uchaguzi.
Mkutano juu ya utetezi wa haki za wanawake kwa viongozi 60 wa kata na vijiji umefanyika.

Increased awareness of 120 Districts wards based SAM oversight management and monitoring team by the end of
Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya utawala bora umeongezeka
1.Jamii ya watu wa Doma na mlali wanafahamu umuhimu wa uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa vyanzo vya maji.

Jamii imehamasika juu ya uhifadhi wa mazingira na utunzaji wa mazingira pamoja na matumizi ya nishati mbadala
« Previous questionNext question »

« Back to report