Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: AntiPoverty and AIDS Organization
Time Submitted: September 28, 2011 at 10:06 AM EAT

Introduction

Anti Poverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA ASASI KUANDIKA MIRADI
FCS/RSG/1/10/228
Dates: September 2011Quarter(s): !st Qrt
Stella Otto, S.L.P.468 Morogoro, stellaotto34@yahoo.com

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa Miradi. Uwzo wa shirika utakuwa umeongezeka juu ya jinsi ya kuandika michanganuo wa miradi


Morogoro Morogoro Kata 29 wanachama 22
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MorogoroKata 29 zote za Manispaa ya MorogoroMorogoro wanachama 22
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female11Wanachama
Male11Wanachama
Total228

Project Outputs and Activities

Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa miradi umeongezeka.
Mafunzo juu ya Uandikaji miradi ya Asasi ya jamii.
Idadi ya watu 22 wakiwemo wanachama na viongozi walifundishwa jinsi ya kuendesha ASASI katika njia ya kuibua na kuandika miradi warsha ya siku tano iliyofanyika katika ukumbi wa RED CROSS Morogoro.
Mradi wa mafunzo ulitekelezwa kama ulivyopangwa
Kiasi cha Tsh.1,664,000/= zilitimika kwa shughuli hii.

Project Outcomes and Impact

Uwezo wa Wana chama 22 juu ya kutayarisha uandikaji wa michanganuo ya miradi umeongezeka .
Matokeo yataonekana baada ya muda kidogo kupita.
Viongozi na wanachama wamepata elimu ya uibuaji na uandikaji miradi ambayo hawakuwa nayo lakini bado mapema kuona matokeo au mabadiliko.
Ratiba ilifuatwa

Lessons Learned

Explanation
Mafunzo juu ya uibuaji na uandikaji miradi kwa ajili ya Asasi ni jambo gumu kwa kila mwanachama kuelewa haraka hivyo inahitajika kurudia mafunzo haya mara kwa mara. Wana chama nao wanahitajika kufanya mazoezi kila wakati.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kwanza kabisa kulikuwa na mfumuko mkubwa wa bei ambao ungetufanya tushindwe kufikia malengo

Tulitumia michango ya wanachama ili kukabiliana na mfumuko huu wa bei.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Serikali Kufungua mafunzo na mgeni mwalikwa kuturuhusu kufafanya mafunzo
CMMUT Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI
YDFKutoa mafunzo ya mazoezi

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kutoa mafunzo juu ya utunzaji wa rasilimali za shirka na aina zakumbukumbu ya fedha na taratibu za manunuzi kuthibiti uharibifu na kuongeza uwajibikaji.October
Kundika taarifa ya mwishoOctober

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total0(No Response)
People living with HIV/AIDSFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
YouthFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
OtherFemaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
MaleHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Total(No Response)(No Response)
Taarifa hii haikuwa rahisi kupata

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Usimamizi wa RuzukuFeb 2011Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabuTumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010 Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Utunzaji wa kumbukumbu za fedha
Feb,2011
Nov. 2010Utunzaji wa vitabu vya fedha Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report