Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Human Development Organization
Time Submitted: September 22, 2011 at 6:57 PM EAT

Introduction

HUMAN DEVELOPMENT ORGANIZATION
HUDEO
ELIMU YA UCHAGUZI
FCS/MG/3/09/029
Dates: Decemba hadi February, March hadi May, June hadi Agosti 2011Quarter(s): 1st, 2nd & 3rd
SAMSON NYAMLE
P.O.BOX 161
NJOMBE

Project Description

Governance and Accountability
Mradi umewezesha viongozi wa sehemu husika na ngazi mbalimbali kujua wajibu wao kama viongozi, na lengo zima la kuwa kiongozi ni kuwatumikia wananchi na sio kwa manufaa yao binafsi.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
IringaNjombeLupondeMiva,Igola,Lusitu,Luponde,Lugenge,Madobole.60
IringaNjombeUwembaIhalula,Utalingolo,Magoda,Uwemba,Njoomlole,Makanjaula,Kirenzi,Kisilo,Mfereke.60
IringaNjombeKifanyakifanya,Utengule,Lwangu,Iboya,Ihanga,Itipula,Mgala,Lilombwi,Mikongo,Liwengi.60
IringaNjombeYakobiIdunda,Yakobi,Limage,Nundu,Igominyi.60
IringaNjombeIwungiloIgoma,Iwungilo,Ngalanga,Uliwa.60
Iringa
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female86258
Male198594
Total284852

Project Outputs and Activities

- wananchi 340 wamepata mafunzo ya Elimu ya Uchaguzi
- kuchaguliwa kwa viongozi bora baada ya chaguzi mbalimbali
- wananchi 340 wamepata mafunzo juu ya athari za rushwa wakati wa uchaguzi.
1.1kutambua washiriki wa kata za luponde,
uwemba,yakobi,kifanya na iwungilo.

2.1kuchapa na kudurufu mada 5 zenye
kurasa 10 kwa ajili ya washiriki 300

3.1 kuendesha semina ya Elimu ya uchaguzi
kwa wananchi 300 wa kata za luponde,
uwemba,yakobi,kifanya na iwungilo kwa
muda wa siku 25.
Semina ya Elimu ya Uchaguzi ilifanyika kwa muda wa siku tano katika kata tano (5) za Luponde, Uwemba, Iwungilo, Yakobi na Kifanya, kuanzia tarehe 08-24/02/2011 na tarehe 03-12/03/2011. Jumla ya washiriki ilikuwa ni 284, Masaa nane yalitumika kwa semina na masaa mawili yalitumika majadiliano, kwa ajili ya chakula na mapumziko kwa wakufunzi, walengwa na uongozi mzima wa HUDEO.
Walengwa wakuu walikuwa ni Viongozi wa Serikali za Vijiji, Vijana, Wanawake, Wafanyakazi wa Serikali, Viongozi wa Madhehebu ya Dini, na Viongozi ngazi ya Kata.
Mada zilizotolewa kwa semina ni kama ifuatavyo:-
• Demokrasia katika Uchaguzi.
• Haki na Wajibu wa Mpiga kura.
• Sifa za Kiongozi Bora.
• Rushwa Katika Uchaguzi.
• Uchaguzi na Maendeleo.

Midahalo na mikutano imefanyika kwa siku moja kwa kila kata.
Hakukuwa na tofauti zozote.
1.1kutambua washiriki wa kata za luponde,
uwemba,yakobi,kifanya na iwungilo...................... Tshs. 900,000.00

2.1kuchapa na kudurufu mada 5 zenye
kurasa 10 kwa ajili ya washiriki 300..................... Tshs. 550,000.00

3.1 kuendesha semina ya Elimu ya uchaguzi
kwa wananchi 300 wa kata za luponde,
uwemba,yakobi,kifanya na iwungilo kwa
muda wa siku 25...................................................Tshs. 17,114,445.00

4. posho mratibu wa mradi...................................Tshs. 1,200,000.00
5.posho kwa mhasibu...........................................Tshs. 1,080,000.00
6.posho kwa karani wa ofisi..................................Tshs. 900,000.00
7.posho kwa mtunza ofisi......................................Tshs. 480,000.00
8.chakula kwa wanasemina...................................Tshs. 2,115,913.00
posho kwa wawezeshaji........................................Tshs. 880,000.00
usafiri......................................................................Tshs. 1,350,000.00
stationery.................................................................Tshs. 341,200,00
ukumbi.....................................................................Tshs. 300,000.00
umeme na mlinzi.....................................................Tshs. 150,000.00
vipeperushi...............................................................Tshs. 264,000.00

Project Outcomes and Impact

1. wananchi kuwa na uelewa wa haki zao na wajibu wao.
1.1 malalamiko ya wananchi juu ya viongozi wao kupungua
1.2 viongozi kutoa taarifa za maendeleo.
1.3 wananchi wengi kujitokeza kushiriki shughuli za maendeleo.
1.4 Wananchi wengi kudai taarifa za maendeleo.
wananchi waliopata mafunzo wameonyesha uelewa na kufanikiwa kupeleka yale waliyo jifunza kwa wenzao waliopo kijijni.
mabadiliko mengine yataonekana baada ya shughuli za chaguzi mbalimbali kufanyika baada ya kufanyika kwa semina hii.
hakuna

Lessons Learned

Explanation
wananchi wengi imeonyesha hawakujiandikisha wala kupiga kura katika uchaguzi uliopita, na hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo na wala hawakutambua kuwa ni haki yao ya msingi na ya kikatiba, na ni mustakabali wa maisha yao na ya taifa zima.
Maoni ya wanasemina yameonyesha rushwa ipo kwa kiwango kikubwa katika shughuli za uchaguzi, na imechagia sana kupata viongozi wabovu, na kujenga mazingira ya ushabiki wa vyama na kusahau ajenda za kimaendeleo.
kwa maoni yao wanasemina, wanaona hawana nafasi ya kusimamia kwa ukaribu rasilimali za taifa ikiwemo miradi iliyopo ndani ya meneo yao
kutoijua katiba ya nchi ni tatizo kubwa na ndiyo chanzo cha kutojua haki zao za msingi na kutojua wajibu wa viongozi wa kuwatumikia wananchi wao kadri ya katiba na miongozo mingine muhimu katika kusimamia maendeleo

Challenges

ChallengeHow it was overcome
kwa kuwa shughuli nzima inafanyika ngazi ya kata na kuhusisha wawakilishi toka taasisi mbalimbali, hatukuweza kuwafikia moja kwa moja wananchi wote walio chini kabisa kijijini.kwa kutumia wananchi waliopata semina wameweza kuwafundisha wenzao walio kijijni yale yote waliyoyapata katika semina.
kwa kuwa elimu ya mambo ya uchaguzi imo ndani ya katiba wananchi walitaka kuijua katiba na lengo la kutaka kushiriki kikamilifu katika mchakato wa katiba mpyakwa kushirikiana na mwezeshaji tuliweza kuongezea katika mada na kugusia kidogo suala la katiba. na baada ya hapo tutaangalia uwezekano wa kuwapelekea mafunzo ya mchakato wa katiba mpya.
washiriki kudai hawashirikishwi kikamilifu juu ya usimamaizi wa karibu wa rasilimali za taifa ikiwemo miradi inayowahusu katika maeneo yaomafunzo yaliyotolewa yamewapa mwamko mpya wa namna ambavyo wanatakiwa washirki katika kuibua miradi na kushiriki wakati wa utekelezaji.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Ofisi ya Mkurugenzi wa mji kupitia Idara ya maendeleo ya jamii-kwa kuturuhusu kufanya shughuli hii bila pingamizi lolote
-pia kuwaruhusu mabwana na bibi maendeleo wa kata kuwa nasi bega kwa bega katika kufanikisha shughuli nzima.
viongozi wote wa ngazi ya kata na vijiji - kutuandalia washiriki na kushiriki nao bega kwa bega katika muda wote wakati wa utekelezaji mradi.

Future Plans

(No Response)

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
mafunzo ya usimamizi wa ruzuku2009namna bora ya kusimamia ruzuku zinazotolewa kwa faida ya walengwa.utunzaji wa hesabu na kumbukumbu za fedha zamradi.kuandaa vitabu vyote muhumu vya kutunzia mahesabu.
mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathmini2010umuhimu wa kufanya tathmini na ufuatiliji wa mradi
wakati gani unaotakiwa kufanya ufuatiliaji
njia bora za kufanya tathmini
kuandaa na kutekeleza taratibu nzuri za kufanya tathmini na ufuatiliaji wa shughuli za mradi.

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report