Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
Time Submitted: October 12, 2011 at 5:36 PM EAT

Introduction

Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
CMMUT
Uboreshaji wa Utunzaji wa Misitu na Vyanzo vya Maji katika Milima ya Uluguru
FCS/MG/3/091
Dates: August-OctobaQuarter(s): NNE
ELIBARIKI KWEKA

Project Description

Policy Engagement
Kuhamasisha wananchi ili kuinua uelewa wao juu ya kuhifadhi misitu na vyanzo vya maji ni maswala ya Sera.Mradi huu ulilenga kutoa mafunzo kwa wananchi ili wawe na uelewa kwamba kuhifadhi misitu kutawaondoa katika umaskini uliotopea.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MorogoroMvomeroMlali na DomaDoma ,Kihondo,Msongozi,Mkata,Melela,Mlali, Peko,Manza,Homboza,Kiperaza,5770
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female472755
Male733015
Total1205770

Project Outputs and Activities

Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali sasa wanafahamu umuhimu wa kuhifadhi na utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji.`
Ufuatiliaji na tathmini ya matokeo ya mafunzo na midahalo iliyofanyika.
Waratibu wawili kutoka CMMUT wakifuatana na afisa misitu wa wilaya ya Mvomero walitembelea vijiji 9 vya Tarafa ya Mlali ili kufuatilia matokeo ya mafunzo yaliyokwisha fayika.
Shughuli zimefanyika kwa wakati wake
Tshs. 3,800,000/=

Project Outcomes and Impact

Ufuatiliaji umefanyika vizuri na kwa ushirikiano.Kwa kuwa tulikuwa tunataka kuona matokeo ya mafunzo,ni kweli kuna mafanikio ya kutosha sana,maana wanavijiji walianzisha vikundi vya mazingira na wakaanzisha vitalu vya miche ambayo kwa sasa ipo tayari kupandwa shambani.
Hakukuwa na mabadiliko
Mabadiliko yatakayotokana na upandaji wa miti tutaanza kuyaona miezi minne ijayo
N/A

Lessons Learned

Explanation
Katika kuutembelea viijiji,tumeona kuwa wananchi wako tayari kama wakielekezwa na kuwezeshwa katika utekalezaji wa shughuli yeyote ya maendeleo

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Hakukuwa na changamota wakati huu wa ufuatiliaji

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Katika utekelezaji wa shghuli ya ufuatiliaji,mara zote tumeshirikiana na wataalam wa idara ya misitu ya wilaya ya Mvomero Tulitembea wote kama ilivyopangwa na ukweli Afisa misitu yeye ndiye alikuwa na jukumu la kuelezea mambo ya utaalam katika utunzaji wa vitalu vya miche na jinsi ya kuipanda miche hii mashambani

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Shughuli za utekelezaji wa mradi kama ilivokuwa imepangwa itakuwa imekamilika.Kilichobaki ni kuandika taarifa ya mwisho wa mradi husika.

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
Kupata takwimu hizi sasa hivi siyo rahisi mpaka wakati wa sensa au tupange kuzipata takwimu hizi kwa kupitia mradi maalum

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa RuzukuFebruari,2010Jinsi ya kujaza fomu ya maombi kwa usahihi na usimamizi wa mradi husika na fedha.Mkataba ulisainiwa na kupata ruzuku

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report