Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: AntiPoverty and AIDS Organization
Time Submitted: August 30, 2011 at 2:49 PM EAT

Introduction

AntiPoverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA ASASI
FCS/RSG/1/10/228
Dates: August (Monthly)Quarter(s): (No Response)
Stella Otto,S.L.P.468 Morogoro, stellaotto34@yahoo.com

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya dhana ya utawala bora na uendeshaji wa asasi tumekidhi maeneo tuliyochagua
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MorogoroMorogoroKata 29 zote za Manispaa ya MorogoroNIL22
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female11(No Response)
Male11(No Response)
Total220

Project Outputs and Activities

Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya utawala bora umeongezeka
Mafunzo juu ya Uendeshaji wa Asasi na Utawala Bora
Idadi ya watu 22 wakiwemo wanachama na viongozi walifundishwa jinsi ya kuendesha ASASI katika njia ya utawala bora,warsha ya siku tano iliyofanyika katika ukumbi wa RED CROSS Morogoro.
Hakukuwa na tofauti yeyote iliyojitokeza katika utekelezaji
Kiasi cha Tsh.1,664,000/= zilitimika kwa shughuli hii.

Project Outcomes and Impact

Asasi imekuwa kutoka hatua ya chini hadi ya juu
Matokeo haya yataonekana baada ya warsha kufanyika na muda kidogo kupita
Viongozi na wanachama wamepata elimu ambayo hawakuwa nayo.
Hakuna tofauti

Lessons Learned

Explanation
Baada ya kupata mafunzo haya, wanachama na viongozi wamejua wajibu wao katika maendeleo ya Asasi.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kwanza kabisa kulikuwa na mfumuko mkubwa wa bei ambao ungetufanya tushindwe kufikia malengoTulitumia michango ya wanachama ili kukabiliana na mfumuko huu wa bei.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
SerikaliKutupa kibali cha kuendesha mafunzo
CMMUTWalishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Mafunzo ya Uibuaji na uandikaji wa miradi kwa viongozi na wanachamaSeptemba

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
Kwa wakati huu ni vigumu kupata takwimu sahihi. Tutakapoanza utekelezaji wa mpango mkakati wa ASASI wa miaka 5 tutawezakupata takwimu hizi zote.

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabuTumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Utunzaji wa kumbukumbu za fedhaF eb,2011Utunzaji wa vitabu vya fedha ,,

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report