Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
Time Submitted: August 29, 2011 at 12:00 PM EAT

Introduction

Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
cmmut
Uboreshaji wa Utunzaji wa Misitu na Vyanzo vya Maji Katika Milima ya Uluguru
FCS/MG/3//09/091
Dates: Juni,2011-Agosti 2011Quarter(s): Tatu
Elibariki Kweka, S.L.P. 4070,Morogoro,Email elibarikikweka@yahoo.com,cmmut2005@yahoo.com

Project Description

Policy Engagement
Kuhamasisha wananchi ili kuinua uelewa wao juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu na maendeleo yanayotokana na shughuli za uhifadhi ni maswala ya Sera. Mradi huu umelenga kutoa mafunzo kwa wananchi ili wawe na uelewa kwambakuhifadhi mazingira kutawaondoa wao katika umaskini uliotopea.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MorogoroMvomeroMlali na DomaDoma,Kihondo,Msongozi,Mkata Melela60
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female252755
Male353015
Total605770

Project Outputs and Activities

1.Jamii ya watu wa Doma na mlali wanafahamu umuhimu wa uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa vyanzo vya maji.

Jamii imehamasika juu ya uhifadhi wa mazingira na utunzaji wa mazingira pamoja na matumizi ya nishati mbadala
Kufanya Tathmini Shirikishi ikiwahusisha watu 20 wakiwemo baadhi ya washiriki,viongozi wa kata na serikali za vijiji husika,maafisa ugani na viongozi wa dini.
Watu 20 wakiwemo viongozi wa kata, vijiji, baadhi ya washiriki katika semina/warsha,maafisa ugani na viongozi wa dini walikaa kwa siku tatu(3) katika kijiji cha Doma wakifanya tathmini ya mafunzo na midahalo iliyofanyika.Walitaka waone na kupata taarifa juu ya mabadiliko yeyote yaliyoonekana kwa wananchi kutokana na warsha/Semina/midahalo iliyofanyika miezi michache iliyopita.
N/A
Kiasi cha Shs.2,647,100 zilitumika katika shughuli hii.

Project Outcomes and Impact

1 Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali wanafahamu umuhimu wa utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji na kwamba viongozi wanaelewa wajibu wao katika swala hili.
Tathmini ilifanyika vizuri na kugundua kwamba watu wengi wamehamasika hasa kutokana na viongozi kuwa na mwamko katika swala zima la uhifadhi wa mazingira ambapo wanawahimiza watu katika sehemu zao kupanda miti na kuzuia ukataji miti hovyo na uchomaji moto.
Viongozi wanaonekana kuwa waelewa na wafuatiliaji wa shughuli za maendeleo
Kule tu kukaa pamoja na kila kiongozi kutoa taarifa ya kazi yake katika tathmini kama hii kunalazimisha kwa namna moja au nyingine viongozi kuwa na uelewa wa kitu anachotakiwa kukieleza mbele ya wenzake.

Lessons Learned

Explanation
Katika tathmini sisi kama CMMUT tumeona kuwa ni muhimu maana kila kiongozi kazi yake inawekwa wazi; na hivyo kuwafanya wawe makini katika kusimamia utekelezaji wa shughuli tulizokubaliana.Kwa hiyo tathmini ni muhimu kufanyika kwa kila mradi uliotekelezwa

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kwa ujumla hukukuwa na changamoto

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Serikali viongozi wa dini na wanufaikaKwa kuwa hawa ni viongozi kwenye sehemu husika wao ndiyo wasimamizi wa utekelezaji wa shughuli zote za maendeleo.Hivyo ilibidi tukutane pamoja kuangalia mafanikio yaani Tathmini ya utekelezaji wa shughuli tulizojipangia

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kwa ujumla Shughuli muhimu itakayofanyika ni ufuatiliaji wa yale tuliyojipangia katika warsha--MONITORINGXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
Takwimu hizi kmf.walemavu yaani viziwi,wasioona,albino na walemavu wa viungo ni vigumu sana kuzipata maana hata ofisi ya kata haina takwimu hizi Tutazamie katika sensa ijayo au CMMUT itafute utaratibu wa kufanya utafiti na kupta takwimu sahihi na muhimu kama hizi.

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa RuzukuFebruary,2010JInsi ya kujaza fomu ya maombio ya ruzuku kwa usahihi na usimamiozi wa miradi na fedhaKusaini mkataba wa kupata ruzuku

Attachments

« Previous responseNext response »

« Back to report