Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

C. Other outcomes/changes originated from implementing the project

-Three catchment areas are conserved using bylaws drafted as a result of this project.
-There is a dialogue among the water users regarding those human activities around water sources
-The forum for water sources management at the district level is established and lively
Asasi za Kiraia kujitambua uwepo wao na fursa walizonazo katika kuchangia ufanisi wa michakato mbalimbali ya mipango kwa mujibu wa mifumo ya mamlaka za serikali za mitaa mfano.
Asasi za Kiraia hadi mwisho wa semina kwa makundi yote zimeonyesha uelewa wao namna ya kuchangia ufanisi wa mipango na bajeti na hivyo kuahidi kutoa ushirikiano wa dhati kwa Serikali za Mitaa ngazi za; Mitaa, Vitongoji, Vijiji na Kata ili kuhakikisha miradi yenye tija kwa wananchi inaibuliwa pamoja na kuboresha dhana ya utawala bora na uwajibikaji katika maendeleo kwa kuandika na kuwasilisha maandiko miradi kwa wafadhili mbalimbali.
Uwezo wa wajumbe katika kuhoji maswali umeongezeka na hata sehemu zile walizotoka wameweza kuhojiwa sana.kuhusu kufanya dodoso.
Positive promises from district commissioners of Kilindi, Pangani Tanga and Handeni, on how youth parliaments will be used to foster development in their districts and entire nation: example Hon Betrice Shelukindo promised to take Kilindi Youth Parliament to National assembly in Dodoma to learn how Bunge conducted, dupute Mayor of Tanga City promised to contribute 100,000 to Tanga City bunge fund
Increased colaboration and networing between CODECOZ and West District leadership.

1. CODECOZ Chairperson appointed to attend District Food Securiy Commettee.
2. CODECOZ Executive Secretary appointed to be a member of District Development Commettee.
Kwa kutumia waandishi wa habari gazeti la Habari Leo la tarehe ........... limewaasa viongozi / maafisa wa Ardhi Lindi ambao wamekuwa naurasimu mkubwa katika utoaji wa Ardhi na hati, suala ambalo husababisha hati yao ya msingi ( kwa vile ujumbe huu umefika kwa wahusika tunahisi mabadiliko yatafanyika.
1. Wadau wa maendeleo waliounda kamati za PETS za kila wilaya/Halmashauri kuwa na shauku na hamasa kubwa ya kufuatilia matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) katika sekta ya barabara zilizopo chini ya serikali za mitaa licha ya muda wa kufanya hivyo kuwa bado haujafikia.
1. Viongozi/watendaji wa Halmashauri za wilaya/manispaa wametambua kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana pasipo kushirikishwa walengwa na wadau wa maendeleo husika.

2. AZAKi na wawanchi wamefahamu kwamba pasipo ushiriki wao kamilifu katika michakato ya mipango na bajeti za maendeleo itakuwa ni vigumu kufikiwa kwa maendeleo ya kweli na yaliyo endelevu.
Wanawake wengi wamejitokeza katka kujiunga kwenye vikundi mbalimbali vya ujasiriamali na maendeleo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.
1. Formation of village old people council with members from five (5) sub village
councils facilitated by TOACT from the 5 sub village councils anticipated by the
project.
2. Implementation of meetings for old age people and identification of their needs
Positive promises from district commissioners of Korogwe, Mkinga and Lushoto, on how these youth parliaments will be used to foster development in their districts and entire nation
Mabadiliko yatakayotokana na upandaji wa miti tutaanza kuyaona miezi minne ijayo
1. Developed the new project, for mini grant, which focuses on national HIV/AIDS policy to people living with HIV/AIDS.

2. Increased working morality among staffs, members and volunteers. Every one is now eager to ensure FOTA becomes very successful in serving the community and maintaining it's sustainability.

3. Improved thinking capacity and working confidence among FOTA members, staffs and volunteers. This can be proved through the way they are thinking, giving constructive contributions and working procedures in place.
Viongozi na wanachama wamepata elimu ya uibuaji na uandikaji miradi ambayo hawakuwa nayo lakini bado mapema kuona matokeo au mabadiliko.
mabadiliko mengine yataonekana baada ya shughuli za chaguzi mbalimbali kufanyika baada ya kufanyika kwa semina hii.
Badiliko jingine kubwa ni wanawake kuwa na umoja katika kudai haki zao na kutokuwa na woga kwani vikundi mbalimbali vya kiuchumi vimeanzishwa kwa lengo la kumkwamua mwanamke kiuchumi na kusaidiana hasa pale ambapo kuna aina yoyote ya ukandamizaji juu ya wanawake katika maeneo yao.
it is earl to see the real outcome/changes, but the project gave us to understand the situation in those areas, where we interviewed 200 people and observing the situation in those areas, (see photos)
Viongozi na wanachama wamepata elimu ambayo hawakuwa nayo.
Viongozi wanaonekana kuwa waelewa na wafuatiliaji wa shughuli za maendeleo
« Previous questionNext question »

« Back to report