Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

A. Intended Results as per appendix E. Key Performance Indicators in the contract

-Three water catchment areas are conserved by end of March,2012
-Number of trees planted around water sources by end of March,2012
-Number of abandoned farms around water sources by end of March, 2012
-Number of water stakeholders participating in water management forum in Mbulu district by end of March,2012
• Viongozi wa AZAKI 70 watakuwa wamepata mafunzo juu ya uandaaji wa mipango na bajeti ya miradi ya maendeleo ifikapo Disemba 2012.

• Madiwa 27 toka kata 20 Wilayani Liwale watapata mafunzo juu ya wajibu wao na mfumo wa uandaaji wa mipango na bajeti ifikapo Disemba 2012.

• Kuongezeka na kuimarika kwa amasa ya ushiriki kwa jamii katika kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathimini miradi ya maendeleo
Mafunzo yalifanyika Morogoro Manispaa na watafiti 50 walipatiwa Mafunzo.
Participation of youth in decision making process in local government level through proper platform
Improved participation of 390 community members on environmenta management in West District in 29 Shehias by October 2011
A. kuongezeka kwa upatikanaji /umiliki na matumizi ya Ardhi kwa wanawake wa Wilaya ya Lindi kutoka asilimia 30 ya sasa ili kuleta maendeleo kwa wanawake na jamii kwa ujumla ifikapo 2014
1. Kuimarika na kuboreka kwa miundombinu ya barabara za mijini na vijijini katika Halmashauri zote 6 za Wilaya/Manispaa za Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Lindi ifikapo Juni 2012.

2. Kuongezeka kwa uwezo na ushiriki wa wadau wa maendeleo katika kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) za sekta ya barabara za Serikali za Mitaa katika wilaya/Manispaa 6 za Mkoa wa Lindi na kuboreka kwa uwajibikaji na utawala bora katika usimamizi wa fedha na raslimali za sekta ya barabara ifikapo Juni, 2012.
1. Kuongezeka kwa Uwezo na uelewa wa kimaarifa, mbinu na stadi kwa AZAKi za kufanya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamiii (SAM).

2. Kuimarika na kuboreka kwa Ushiriki wa AZAKi na jamii katika kufuatilia Uwajibikaji Kijamii (SAM) katika miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi.

3. Kuboreka kwa Uwajibikaji wa viongozi katika utekelezaji na usimamizi wa miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi.

4. Kuongezeka na kuboreka kwa Uwazi wa viongozi na watendaji wa Halmashauri katika utekelezaji wa miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi.

5. Kuimarika na kuboreka kwa Ushirikiano na mahusiano baina ya viongozi/watendaji wa Halmshauri za Wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi na AZAKi.

6 Kuongezeka, kuimarika na kuboreka kwa Upashanaji na upatikanaji wa habari na taarifa za utekelezaji, usimamizi na ufanisi wa mipango na bajeti za maendeleo.
Kiwango cha jamii kutambua haki za wanawake na kuheshimu mawazo ya mwanamke kuongezeka mfano katika kata ya Lufingo wanawake walipendekeza kuanzisha mradi wa ng,ombe wa maziwa kwa kusaidiwa na ofisi ya mifugo wilaya na mradi wa uanzishwaji wa mashamba ya chai, mawazo yao yalikubaliwa na viongozi wa vijiji na wilaya , na yanashughulikiwa ili kuanzisha miradi hiyo.
1. Inclusion of Old Age People's needs in village, ward, district and regional budget
plans
2. Increased number of old age people who get service as per old age people policy
of 2003
3. Formation of 5 old age people councils at Themi ya Simba village
4. Increased number of old age people who participate in different fora in the
village
Baada ya Mafunzo wote waliohusika walielewa jinsi ya kuendesha Asasi na kutafuta raslimali ikiwa ni pamoja na utunzaji wake.
Participation of youth in decision making process in local government level through proper platform
Ufuatiliaji umefanyika vizuri na kwa ushirikiano.Kwa kuwa tulikuwa tunataka kuona matokeo ya mafunzo,ni kweli kuna mafanikio ya kutosha sana,maana wanavijiji walianzisha vikundi vya mazingira na wakaanzisha vitalu vya miche ambayo kwa sasa ipo tayari kupandwa shambani.
In this project there was only one outcome which is "Focus Tanzania is well governed based on clear plans, policies and procedures by the end of September 2011"
Uwezo wa Wana chama 22 juu ya kutayarisha uandikaji wa michanganuo ya miradi umeongezeka .
1. wananchi kuwa na uelewa wa haki zao na wajibu wao.
1.1 malalamiko ya wananchi juu ya viongozi wao kupungua
1.2 viongozi kutoa taarifa za maendeleo.
1.3 wananchi wengi kujitokeza kushiriki shughuli za maendeleo.
1.4 Wananchi wengi kudai taarifa za maendeleo.
Wanawake wameweza kupata uwakilishi katika ngazi mbalimbali ya vyama vya maendeleo na uzalishaji kwenye vijiji mfano mwanamke mmoja ameweza kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wakulima wa chai katika kata ya Lufingo ambapo kwa miaka mingi walikuwa ni wanaume tu. Vilevile kuna wajumbe 3 wanawake kwenye chama hicho chenye wanachama 20.
improve public coordination practices in the social accountability monitoring and public expenditure tracking survey in Muheza and Korogwe District by December 2011
Asasi imekuwa kutoka hatua ya chini hadi ya juu
1 Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali wanafahamu umuhimu wa utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji na kwamba viongozi wanaelewa wajibu wao katika swala hili.
« Previous questionNext question »

« Back to report