Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Indicate any FCS organized events that your organization benefited from or attended.

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Training December, 2011Manage your grant training MiDA Tanzania reviewed its grant application and fitted it according to the requirements of FCS while keeping its objective
Training June, 2010Project Design MiDA Tanzania lost the first application in 2010 and was later on invited to participate in the project design training. The organization refined its application and in 2011 we filled the application forms and submitted to FCS and we got the funding for 2012 project which is the one MiDA Tanzania is currently report on.
Training 19th March, 2012Fundraising and resource mobilization training Project Coordinator from MiDA Tanzania is invited to participate in the resources mobilization training the results of the training are used to come up with a fundraising plan for the organization.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Kushiriki warsha ya upashanaji wa habari juu ya uombaji ruzuku The foundation for civil society.June 2009-Nachingwea mjini Kutambua malengo ya kuanzishwa kwa The foundation na maeneo wanayofadhili na wasiofadhili pia namna ya kuomba na muda wa kuwasilisha maombi.Kufanyia marekebisho andiko letu la PETS lililorudishwa The foundation kwa awmu mbili mfululizo na hatimaye kupata ufadhili.
Kuhudhuria mafunzo ya usimamizi wa ruzuku kwa AZAKI zilizopata ufadhili kutoka The foundation.October-2009 Dodoma mjini-Dhana ya ushirikishaji katika hatua za uandaaji wa mradi
-Bao la mantiki
-Uandishi wa taarifa utekelezaji na za kifedha
-utunzaji na uandishi kumbukumbu za fedha
umuhimu wa ufuatiliaji na tathimini ya mradi
Viongozi kwa ushirikiano wa pamoja tumesimamia mradi na kutoa ripoti kwa wakati kama ilivyokusudiwa kwa mujibu wa mkataba
Kushiriki mafunzo ya utunishaji wa mfukoMarch-2010 Mbezi beach Dar es SalaamMambo ya msingi wakati wa kuandaa mradi mfano;
Namna ya kubaini tatizo,uchambuzi wa wadau,hatua za kufuata wakati wa uchambuzi wa mti wa matatizo,Bao mantiki,uandishi wa bajeti n.k.
Kuandaa andiko jipya ambalo limepata ufadhili kutoka The foundation na limetokana na utekelezaji wa mradi uliopita
Kushirirki mafunzo ya usimamizi wa ruzuku(M&E)Desemba-2011-Mambo ya msingi wakati wa kuandaa mradi
-Namna ya kubaini tatizo
-Uchambuzi wa wadau na hatua ya kufuata wakati wa uchambuzi wa mti wa matatizo
-Bao mantiki
-Uandishi wa bajeti
-Uandishi wa taarifa ya utekelezaji na fedha
Kurekebisha baadhi ya viambatanisho ikiwamo bao mantiki,mpango kazi,mpango wa ufuatiliaji wa matokeo na hatimaye kusaini mkataba wa mradi huu wenye namba FCS/MG/3/11/110.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage your grantDecember 2008How to manage grants and reportTAYODEA applied skills gained from the training which lead organization to do better in supervision of its projects
fund raisingJune 2008How to write fundable proposalsWe used the skills to fund raise from other Donna and local funding, the fundraising programme was well succeeded as we get new 3 Donna and expand new internal sources of fund
Organizational development 2009Formation and life cycle pf organizationWe did small changes in TAYODEA in terms of structure, we help other organization to restructure their structure, like Usambara Club and other big organization in Tanga like Press club, WOLEA, paralegal etc
Annual forum 2008/09/10/11learn from other organization from all over TanzaniaNet working with other organization, like Haki Elimu, Haki kazi, etc. Got new partiners
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Financial ManagementSeptember 2011Doing bank reconsiliationPetty cash form is inplace
Project Design and Management September 2011Shairing of experience on how to run the projectMonitoring form improved
Type of EventWhenLessonsActions Taken
TAMASHA22 - 23 Nov 2007 ARUSHAUmuhimu wa mchakato nchi tano za Africa mashariki uwe unatokana na ari ya wananchi wa nchi za Africa mashariki ambazo ni Tanzania, kenya, Uganda, burundi na RuandaKuwahabarisha wanachama wa LISAWE juu ya mada husika ilivyolengwa na jinsi gani mchakato huu utafanywa ili swala hililiwe shirika kwa jamii yenyewe
TAMASHA LA BUNGENI

TAMASHA
29 - 1 JULY 2008 DODOMAVOV 2008Juhudi za kuimarisha uhusiano baina ya AZAKI na BUNGE.

Kuhamasisha wabunge na jamii watambue mchango mkubwa wa Asasi za kiraia katika kuchangia maendeleo ya Taifa.

Kufahamu kuwa shughuli za FCS ni pamoja na kuzijengea uwezo Asasi za kiraia

Kuhamasisha utendaji wa kiwango cha juu kwa Asasi za Kiraia katika kuhudumia jamii husika.
Midahalo mbalimbali ilifanyika kwa kuongozwa na Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali (w) Lindi LINGONET tuliunganishwa na wabunge ?jamii

Asasi imekuwa imara kiutendaji. inajifanyia tathimini ya mara kwa mara kwa kutumia dodoso za the Foundation hatimaye tumepata tuzo ya ASASI BORA mara 2
TAMASHA26 - 28 2010 ZANZIBAR Jinsi ya kuimarisha demokrasia nchini hususani katika masuala mazima yanayohusiana na uchaguziUtoaji wa Elimu kwa jamii (raia makini)
TAMASHA21 - 23 /2011Wajibu wa Azaki katika kushirinikiza Serikali na wananchi kushiriki katika shughuli za kimaendeleo

Uzingatiaji wa masuala la jinsia kwa kipindi cha miaka 50
Kutoa mrejesho ndani ya Shirika

Kuelimisha jamii kwa kutumia fursa zilizopo
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG)Juni - Julai, 2011Jinsi ya kutekeleza mradi kiufanisi na kusimamia fedha za ruzuku kwa kuzingatia taratibu na sheria za fedha.Kutekeleza mradi sawa na mpango wa utekelezaji shughuli kwa kuzingatia taratibu na sheria za matumizi ya fedha.
Tamasha la Asasi za Kiraia 2011Novemba, 2011Umuhimu wa kubadilishana habari na taarifa tofauti za kisera, kisheria na maendeleo na utaandaaji.Kuziunganisha Asasi za Kiraia zenyewe pamoja na wadau wengine wa maendeleo kama vile; Serikali, Waandishi wa Habari n.k.
Mafunzo ya Uandaaji Mpango MkakatiJuni, 2011Jinsi ya kutayarisha Mpango Mkakati wa Asasi za KiraiaKuandaa rasimu ya Mpango Mkakati wa LANGO pamoja na Mipango mikakati ya Miandao ya AZAKi ya wilaya kwa kushirikiana na wanafunzi waliokuja kufanya mazoezi kwa vitendo kutoka Chuo Kikuu Dar (UDSM).
Mafunzo ya Uandishi wa Matokeo Bora ya Shughuli za AZAKi na utunzaji wa taarifa za shghuli/miradi.Aprili, 2011Jinsi ya kukusanya taarifa, kuzichambua na kuandika Matokeo Bora ya shughuli na miradi inayotekelezwa na AZAKiKuzishirikisha AZAKi kutambua na kuzingatia umuhimu wa kukusanya taarifa, kuzichamnua na kubainisha Matokeo Bora yaliyopatikana. Pia kuandaa rasimu ya Mradi ili kuombea ufadhili wa kujengea uwezo AZAKi katika uandishi wa Matokeo Bora
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG) 2009Maarifa, mbinu na stadi za kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kwa ufanisi.Kutumia maarifa, mbinu na stadi zilizotolewa kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kiufanisi.
Mikutano ya Upashanaji Habari za Ruzuku toka FCS2005 na 2008Jinsi ya kuandaa na kuwasilisha maandiko miradi yenye sifa, vigezo na ubora unaohitajika na kukubalika na FCS na wadau wengine Kuendeleza jitihada za FCS kujenga uwezo wa AZAKi changa juu ya uandishi wa miradi yenye ubora na vigezo stahili.
Matamasha ya AZAKi 2009 na 2010Umuhimu wa kufanya kazi kwa umahiri na ubunifu mkubwa ili kupata ufanisi na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.Kuhamasisha AZAKi kuwa wabunifu na kuchapa kazi kwa umahiri na ustadi mkubwa ili kupata mafanikio makubwa.
Maonesho ya AZAKi Bungeni2006,2007,2008,2009Umuhimu wa kufanya kazi karibu na wabunge ili kuwashawishi mabadiliko katika sera na sheria mbalimbaliKuwashawishi baadhi ya wabunge kuwa karibu na AZAKi ili wasaidiwe katika kutambua na kukabiliana na changamoto za maendeleo katika majimbo yao.
Mafunzo ya kubadilishana uzoefu wa kusimamia miradi ya ruzuku ya kati (MG)2011Kubadilishana maarifa na stadi, ujuzi na uzoefu tofauti katika kusimamia Fedha za Ruzuku ya Kati (MG), Mafanikio, Changamoto na mbinu za utatuzi zilizotumika.Kuwezesha asasi nyingine kupata maarifa na stadi, ujuzi na uzoefu katika kusimamia Fedha za Ruzuku ya Kati (MG)
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Usimamizi wa ruzukuOctober ,2011Namna ya kubadilishana uzoefu wa masuala ya Usimamizi wa fedha.Mkutano wa pamoja na kamati tendaji pamoja na watendaji ili kutoa mrejesho wa maagizo na mafunzo yaliyotolewa.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage Your Grants Training.June 20111.Project management
2. Project financial
management
Knowledge gained was used in managing the project.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Jinsi ya Kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya mahesabu.Nov, 2010Uendeshaji miradi na utunzaji wa vitabu vya mahesabu Vitabu vyote vinavyohusu miradi na mahesabu vimefunguliwa na vinatumika
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage your grantDecember 2008How to manage grants and reportTAYODEA applied skills gained from the training which lead organization to do better in supervision of its projects
fundraising2008How to write fundable proposalsWe used the skills to fund raise from other Donna and local funding, the fundraising programme was well succeeded as we get new 3 Donna and expand new internal sources of fund
Organizational development 2009Formation and life cycle pf organizationWe did small changes in TAYODEA in terms of structure, we help other organization to restructure their structure, like Usambara Club and other big organization in Tanga like Press club, WOLEA, paralegal etc
Annual forum 2008/9/10learn from other organization from all over TanzaniaNet working with other organization, like Haki Elimu, Haki kazi, etc. Got new partiners
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa RuzukuFebruari,2010Jinsi ya kujaza fomu ya maombi kwa usahihi na usimamizi wa mradi husika na fedha.Mkataba ulisainiwa na kupata ruzuku
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Manage Your Grant Training.June 20111. Foundation for Civil Society (FCS) wants stakeholders to manage project under acceptable standard.Managed the project in line with the FCS's criteria.
2. If you fund organisations without building their capacities first can lead to improper utilisation of resources.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Usimamizi wa RuzukuFeb 2011Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabuTumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010 Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Utunzaji wa kumbukumbu za fedha
Feb,2011
Nov. 2010Utunzaji wa vitabu vya fedha Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Type of EventWhenLessonsActions Taken
mafunzo ya usimamizi wa ruzuku2009namna bora ya kusimamia ruzuku zinazotolewa kwa faida ya walengwa.utunzaji wa hesabu na kumbukumbu za fedha zamradi.kuandaa vitabu vyote muhumu vya kutunzia mahesabu.
mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathmini2010umuhimu wa kufanya tathmini na ufuatiliji wa mradi
wakati gani unaotakiwa kufanya ufuatiliaji
njia bora za kufanya tathmini
kuandaa na kutekeleza taratibu nzuri za kufanya tathmini na ufuatiliaji wa shughuli za mradi.
Type of EventWhenLessonsActions Taken
----
----
----
Type of EventWhenLessonsActions Taken
information session July 2007 and September 2009How to write proposal for fund from FCSThree proposals sent to FCS and funded
Annual forum 2009 and 2011experience exchange from other organization Improving TASCO work according what we lent positively from others and from presentations made by facilitators
Manage your grantDecember 2010How to manage project and reporting positive supervision of the project and addthere with the skills we got from training
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabuTumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Utunzaji wa kumbukumbu za fedhaF eb,2011Utunzaji wa vitabu vya fedha ,,
Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa RuzukuFebruary,2010JInsi ya kujaza fomu ya maombio ya ruzuku kwa usahihi na usimamiozi wa miradi na fedhaKusaini mkataba wa kupata ruzuku
« Previous questionNext question »

« Back to report