Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

If "Other", provide details:

MiDA Tanzania being a new organization did not manage to monitor the details of the beneficiaries to teh level of the details provided. The organization only managed to capture the details of the beneficiaries to the basic level. In the future the new project will capture the details as stipulated in this report.
Hawa ni wawakilishi wa wanawake na wanaume waliohudhulia mkutano wa utetezi na uhamasishaji
Kwa wakati huu siyo rahisi kupata takwimu hizi.Ila wakati mwingine kwa kuwa sensa itakuwa imefanyika tutaweza kupata takwimu hizi.
Kupata takwimu hizi sasa hivi siyo rahisi mpaka wakati wa sensa au tupange kuzipata takwimu hizi kwa kupitia mradi maalum
Moja kwa moja ke 16, me 44, Wasio wa moja kwa moja ke 51, me 9
Kwa wakati huu ni vigumu kupata takwimu sahihi. Tutakapoanza utekelezaji wa mpango mkakati wa ASASI wa miaka 5 tutawezakupata takwimu hizi zote.
Takwimu hizi kmf.walemavu yaani viziwi,wasioona,albino na walemavu wa viungo ni vigumu sana kuzipata maana hata ofisi ya kata haina takwimu hizi Tutazamie katika sensa ijayo au CMMUT itafute utaratibu wa kufanya utafiti na kupta takwimu sahihi na muhimu kama hizi.
« Previous questionNext question »

« Back to report