Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

B. Eleza kwa kifupi mradi wenu unakidhi namna gani malengo ya eneo muhimu ulilochagua hapo juu.

In this project CODECOZ intends to continue with Awareness Raising program on Environmental management in West District of Zanzibar; the area which is highly devastated by environmental degradation. The project activities will include:-
1. Meetings for community leaders and
2. Open forums for the members of the community of the remaining 29 Shehias of the districts which were not covered in the previous project.

Further more the organisation intends to develop 5 years Strategic Plan which will enhance the organisations capability of performing day to day activities.
This project ‘’ The sustainable Pangani River Basin water supply and resources management entails to improve community access to adequate clean and safe drinking water by increasing the awareness of 56 local and central Government and development partners on the water sector reform progress by January 2010.

Empower the awareness of 80,150,102 and 50 wards development committee members, family households, Community water users associations and training of trainers TOTs, from the four wards of Muheza District, Magoroto, Majengo, Lusanga and Ngomeni respectively on water Supply and Resources Management, health and sanitation and financial book keeping, with major focus on the water source tree protection and planting around the water source
Mradi huu una malengo ya kujenga na kuongeza uwezo wa Asasi za Kiraia (AZAKi) za wilaya 5 za Mkoa wa Lindi za; Liwale, Ruangwa, Nachingwea, Kilwa na Lindi. Mradi unawezesha kujenga uwezo wa viongozi wa AZAKi katika uendeshaji na uendelezaji wa asasi zao kiufanisi kwa kufanya mafunzo kwa viongozi wa AZAKi kimuundo, kiutendaji na kiuendeshaji (Organizational Development). Mradi unawezesha viongozi kutambua dhana na dhima ya AZAKi kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya watu tangu wakati kabala ya ukoloni, wakati wa ukoloni, baada ya uhuru na hatimaye ndani ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Pia kuangalia Dira, Dhima, Malengo, Maadili na mambo mengine muhimu kwa ajili ya kuwezesha AZAKi kuendeshwa na kuendelezwa kwa ufanisi.

Vile vile mradi unalenga kuinua na kuboresha uelewa wa AZAKi na jamii kuhusu michakato mbalimbali ya kisera na maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Michakato hiyo ni pamoja na uandaaji wa mipango na bajeti za maendeleo, utungaji wa sheria ndogondogo na utoaji wa maamuzi mbalimbali. Imedhamiriwa na kukusudiwa kwamba kwa kufanya hivyo itawezesha kuongeza na kuboreka kwa uelewa na ushiriki wa AZAKi na jamii kiujumla katika michakato husika ya kisera, kisheria na maendeleo kiujumla. Pia kuimarisha na kuboresha ushirikiano na mahusiano baina ya AZAKi kwa upande mmoja na Serikali kwa upande mwingine ili kuhakikisha kwamba wananchi wakiwa walengwa wakuu wa michakato yote wanawezeshwa kupunguza umaskini uliokithiri na kujiletea maendeleo endelevu.
Mradi wetu utakapokamilika wanachama na viongozi watakuwa na uwelewa mkubwa juu ya asasi na utawala bora

Wanachama na viongozi wataelewa uandishi wa michanganuo ya miradi na usimamizi wa fedha
Wanachama na viongozi wataandaa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
1. Strategic direction and course of action of the organization with comprehensive vision and mission developed.
2.Strengthened capacity of financial officer and executive committee members on proper management of fund and other organizational resources.
3.Enhanced capacity of executive committee to monitor and evaluate the outputs of their work and project progress.
4.Strengthened capacity of the organization in mobilizing organizational and financial resources.
Mradi huu ulilenga kuelimisha Asasi wanachama kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kwa bahati mbaya fedha zilichelewa kwa hiyo uelimishaji ulifanyika baada ya uchaguzi kwisha.

LENGO LA MRADI
Kuelimisha jamii kupambana na Rushwa.

LENGO MAHKUSUSI ( SPECIFIC OBJECTIVES )
I. Kutoa mafunzo kwa viongozi wa wanachama 30 wa UNGOKI juu ya kupambana na Rushwa.
II. Wanachama viongozi 30 baada ya kupata mafunzo kwenda asasi zao kuelimisha
wanachama wao.
III. Wanachama wote kwa ujumla wao kutoa elimu kwa jamii katika nafasi mbalimbali juu ya
kupambana na Rushwa.
Mradi huu ulilenga katika kuimarisha uwezo wa utendaji wa wanachama pamoja na viongozi ili kuimarisha shughuli za asasi hii katika kuhudumia jamii. Katika mradi huu wanachama walijifunza jinsi ya kutimiza majukumu yao na pia namna ya kubuni na kutekeleza miradi ya asasi.
MRADI WETU UNASHUGHULIKIA SERA SHIRIKISHI JAMII YA MISITU ,KUONGEZA UELEWA KWA JAMII JUU YA SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998.
Mradi wetu unakidhi Malengo ya eneo tulilolichagua hapo juu kama ifuatavyo:-
1. Mradi wetu umefanikiwa kuongeza uelewakwa wanawake juu ya haki ya mwanamke kumiliki ardhi sambamba na matakwa ya sera ya maendeleo kwa wanawake kifungu cha 3(2) na 4.2(b) kwamba mwanamke anahaki ya kumiliki na kutumia ardhi kama ilivyo kwa mwanaume.
2. Pia mradi wetu umeongeza uelewa kwa wanawake juu ya sheria ya ardhi Namba 5 ya 1999 ya ardhi ya vijiji.
Mradi ulilenga kujenga uwezo na uelewa kwa watu wenye ulemavu wakiwamo walemavu wa ngozi pamoja na jamii kiujumla kuhusu Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu ili watambue haki na wajibu wao katika michakato ya maendeleo. Mradi umetekelezwa katika Kata 5 za Manispaa ya Lindi ambazo ni; Mingoyo, Ng'apa, Makonde, Ndoro na Msinjahili zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi. Mradi umewezesha na kusaidia kuongezeka kwa uelewa wa watu wenye ulemavu wakiwamo walemavu wa ngozi (Albino) na jamii kiujumla kuhusu haki na wajibu wa watu wenye ulemavu katika michakato ya maendeleo kwa mujibu wa Sera husika. Mradi ulitekelezwa kwa kuendesha mafunzo ya kujenga uwezo na uelewa kuhusu Sera ya Taifa ya Watu Wenye Ulemavu iliyofanyika mnamo tarehe 03 - 05/01/2011 na kushirikisha walemavu, watendaji wa kata, vijiji/mitaa na madiwani wapatao kati ya 42 hadi 45 kutoka katika maeneo ya utekelezaji wa mradi idadi ambayo ni ziada ya watu kati ya 6 hadi 9 ikilinganishwa na idadi iliyokusudiwa ambayo ni walengwa 36. Mradi pia ulifanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa mradi katika maeneo husika kwa kuwashirikisha walengwa na wadau wa mradi wapatao 20 na kufanya tathmini shirikishi wadau ya mwisho wa utekelezaji wa mradi ili kubaini mafanikio, mapungufu, changamoto na mipango ya baadae ya kuendeleza matunda ya mradi husika.
Kwanza kabisa mradi unakidhi malengo katika eneo hili la sera kwa kuwa mradi ulilenga/unalenga kusimamia utekelezaji wa Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000 ili kuongeza uelewa katika ngazi ya Wilaya kwa kutoa mifano hai ya unyanyasaji wa jinsia waliopitia wanawake mbalimbali na namna ambavyo bado jamii nyingi hasa vijijini zinavyoendelea kumnyima haki mwanamke katika nyanja mbalimbali kutokana tu na jinsia yake na si uwezo wake wa kiutendaji. Mradi umekidhi lengo la sera kwa kuwa mradi umetoa fursa kwa wanawake walionyanyasika kupitia hali ngumu kutoa uzoefu mbele ya majukwaa ya ushawishi na mifano hiyo kuwa chachu ya kutengeneza /kuweka mikakati ngazi ya wilaya kupambana na hali hiyo. Aidha mradi umekidhi haja kwa kuwa ufafanuzi juu ya sera na wajibu wa viongozi wa kata, wawakilishi wa wananchi na viongozi wa dini na asasi walijengewa uwezo wa uelewa wa sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000.
Kutoa elimu kwa viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji juu ya uwazi na uwajibikaji kuhusu rasilimali za umma.
Kuboreka kwa maisha ya watoto yatima na walio katika mazingira magumu
Mradi huu unakidhi malengo muhimu ya eneo tulilochagua kwa sababu inalenga vipengele muhimu vya utawala bora kama vile utoaji elimu juu ya haki za wanawake katika jamii na uwajibikaji wa viongozi wa ngazi mbalimbali za vijiji na wilaya kwa ujumla katika kuwashirikisha wanawake kwenye masuala ya maendeleo yao.
Mradi huu unakidhi kwa kuwawezesha wananchi kuondokana na woga waliokuwa nao wa kuogopa kuwahoji watendaji na viongozi wao kuhusu utendaji na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kijamii na za maendeleo pale wanapoona mambo yanakwenda kinyume na matarajio yao
Uhamasishaji na mafunzo ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU inatekeleza sera ya ukimwi kuhusu kudhibiti maambukizi mapya ya VVU. Jamii ikihamasika na kuelewa kuhusu maambukizi ya VVU itaona umuhimi wa kujizuia kupata maambukizi mapya na hivyo sera ya kudhibiti ukimwi itakuwa imetekelezwa kwa vitendo. Ufahamu wa jamii kuhusu maambukizi ya ukimwi ukiwa mdogo itakuwa vigumu kutekeleza sera husika.

Sera inatungwa na chombo cha serikali lakini wabia wa kutekeleza sera ni jamii kupitia aassi za kijamii kama wadau wa utekelezaji miradi ya jamii, hivyo ARV ESUPAT GROUP kama asasi ya kijamii ina wajibu na lengo la kutoa mchango kwa jamii katika kukidhi mahitaji, matakwa na malengo ya sera ya tafa ya kudhibiti maambukuzi mapya ya VVU.


Mradi umelenga kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma kwa watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi na UKIMWI ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu na kuchangia shughuli za maendeleo. Mradi umeboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi na UKIMWI. Pia jamii imeelimishwa na kuhamasishwa vya kutosha kuhusu athari za unyanyapaa kwa watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi na UKIMWI. Vilevile mradi umesaidia kuwezesha Serikali za vijiji, watendaji wa serikali za mitaa na jamii kiujumla kutambua na kuzingatia mahitaji ya watu wanaoishi na VVU/UKIMWI katika uandaaji wa mipango na bajeti za maendeleo katika maeneo yao.

Mradi umetekeleza shughuli mbalimbali katika kufanikisha malengo yake ikiwa ni pamoja na:-

1. Watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani kwa watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wapatao 64 toka kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini wamepatiwa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu namna ya kuhudumia wagonjwa na waishio na VVU/UKIMWI..

2. Watu waishio na VVU/UKIMWI wapatao 40 toka kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini wamejengewa uwezo kuhusu uelimishaji na uhamasishaji jamii kupiga vita unyanyapaa kwa watu waishio na VVU/UKIMWI.

3. Kufanyika kwa mikutano 8 katika kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini ya uelimishaji na uhamasishaji jamii juu ya umuhimu wa utoaji huduma kwa wagonjwa na kupiga vita unyanyapaa kwa watu waishio na VUU/UKIMWI.

4. Mdahalo wa wadau 60 wa maendeleo na wanaojishughulisha na vita dhidi ya VVU/UKIMWI na unyanyapaa umefanyika na kushirikisha wadau toka kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini.

5. Wadau 20 wameshirikishwa katika ufuatiliaji na tathmini ya maendeleo ya utekelezaji wa mradi

6. Wadau 34 wa kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini wameshiriki tathmini ya mwisho wa utekelezaji wa mradi.
By have SWEAT with capacity to attain its mission and goals, the communities aimed to be empower through good governance and accountably will be reached and empowered.
The project aims to strengthen the capacity of Youth Development Society (YODESO) to effectively participate in budget process and advocate for increased participation of Wete youth in the local government planning and budget process to ensure the priorities of youth and community (the poor and marginalized) are heard in the budget and monitor the execution of budget to ensure there is accountability to improve community livelihood. The project enhance budget analysis skills among Youth Development Society members and staff to scrutinize the budget to insure community development priorities are heard and advocate for people centered budget The project also build the advocacy and lobbying skills among the Youth Development Society members, staff and selected staff from 3 youth organizations in Wete to undertake meaningful advocacy on budget and development issues to bring significant changes The project in addition recruit youth volunteers and develop their understanding of the budget process and mobilize other fellow youth to participate in the budget process, understand the duties, responsibilities of their local government and community members so as to work together to bring community development The project also build the capacity of youth and YODESO to monitor the execution of budgets and undertake PET in the health sector of in Wete District (a learning-by-doing exercise) as a starting point for youth to learn issues of public expenditure and hold government officials to account for public resources to bring community development In the long run the project will improve transparency and accountability in local government and limit opportunities for corruptions created by lack of people understanding issues of budget and particularly execution part (expenditure)
In this project CODECOZ intends to continue with Awareness Raising program on Environmental management in West District of Zanzibar; the area which is highly devastated by environmental degradation. The project activities will include:-
1. Meetings for community leaders and
2. Open forums for the members of the community of the remaining 29 Shehias of the districts which were not covered in the previous project.

Further more the organisation intends to develop 5 years Strategic Plan which will enhance the organisations capability of performing day to day activities.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti