Envaya

Foundation for Civil Society

FCS Narrative Report

Respondent: THE LIFE HOOD OF CHILDREN AND DEVELOPMENT SOCIETY
Time Submitted: 19 Kamena, 2011 at 21:20 EAT

Introduction

THE LIFE HOOD OF CHILDREN AND DEVELOPMENT SOCIETY
LICHIDE
USHURIKISHAJI JAMII KATIKA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
FCS/MG/2/08/008
Dates: (No Response)Quarter(s): 2011
BENSON A. MWANG'OMBOLA
S.L.P. 416,
SUMBAWANGA
MOBILE:+255754647359
E-mail:baswile@yahoo.com

Project Description

(No Response)
Kuboreka kwa maisha ya watoto yatima na walio katika mazingira magumu
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
RukwaSumbawangaKalambaziteMshani
Kalambazite
Mrombo
Kilembo
Tentula
RukwaIkozi
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female193(No Response)
Male72(No Response)
Total265844

Project Outputs and Activities

1.Uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa kutunza na kusaidia watoto yatima na walio katika mazingira magumu
2.Ongezeko ya watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi wanao andikishwa shule na kujiunga na masomo ya sekondari
3.Jamii kuanzisha mfuko wa huduma za jamii.
(1).Maandalizi ya mradi. (2)Mafunzo kwa kamati za huduma ya watoto yatima katika kata 3 na kila kata vijiji 3 na washiriki 160 katika makundi 3 na kila kundi washiriki 40. (3). Mafunzo kwa akina mama walea watoto yatima. (4) Kutengeneza na kusambaza vipeperushi. (5) Kufanya mikutano ya hadhara 120. (6) Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya mradi
1. Kata ya Kalambazite tulitoa mafunzo kwa kamati za kutoa huduma za huduma za watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi washiriki wapatao 43 mnamo tarehe 28-30/01/2010 na tarehe 01/02/2010 tulitoa mafunzo kwa akina mama walea watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi washiriki 39
2.Kata ya KipetaTarehe 21-3/02/2010 mafunzo kwa akina mama walea watoto yatima washiriki 42 na tarehe 24-27/02/2010 tulitoa mafunzo kwa kamati za huduma ya watoto tatima washiriki walikua watu 32
3. Tarehe 07-09/08/2010 tulitoa mafunzo kwa kamati ya kutoa huduma za watoto yatima na walio katika mazingira magumu na tarehe 19-21/08/2010 tulitoa mafunzo kwa akina mama walea watoto yatima
3. tarehe 19-21/20210 tulitoa mafunzo kwa kati ya kutoa huduma kwa watoto yatima washiriki

Tofauti zilizojitokeza ni tulishindwa kufanya shughuli zetu kwa wakati kutokana na hali ya hewa baadhi ya maeneo mvua iliharibu miundo mbinu na kufanya barabara kutopitika
Kiasi cha TSH. 21,382,000 Zilitumika

Project Outcomes and Impact

Kuboreka kwa maisha ya watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi
1.Kamati za vijiji zimepat elimu na kuwa na uelewa. 2. Vijiji na kata kuanzisha mifuko ya huduma za watoto yatima na walio katika mazuingira magumu
Ni kuwepo ushirikiano na viongozi kuanzia ngazi ya wilaya hadi kijiji na kupanga mikakati ya pamoja na kugawana majukumu kila taasisi katika kushughulikia watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi
Baadhi ya viongozi wa serikali za vijiji kamati zilipokusanya michango kutoka kwa wananchi waliweza kutumia michango vibaya na swala hili tumelifikisha ngazi ya wilaya kwa kuchukua hatua.

Lessons Learned

Explanation
Kuwa ukishirikisha jamii katika mipango na utekelezaji jamii inatoa ushirkiano mzuri.
Tumejifunza kuawa miradi mingine inakwama kufanikiwa ni kutokana na viongozi kuweka maslahi yao mbele kwanza kuliko walengwa
Tumejifunza kuwa kufanya mradi kipindi cha uchaguzi utekelezaji wake unakuwa mgumu kutokana na wanasiasa kutotoa ushirikiano kuogopa kutochaguliwa na wananchi.
Tumejifunza kuwa kumbe watoto wengi wanapenda kwenda shuleni lakini wanashindwa kutokana na kutokuwa na mahitaji muhimu ya shuleni pamoja na sare.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Baadhi ya viongozi kutotoa ushirikiano mzuriTuliitisha kikao cha viongozi wa ngazi ya Halmashauri, kata na madiwani wa maeneo tunayofanyia kazi pamoja na DAS kama mgeni rasmii na kikao kilikuwa na mafanikio kwa kuwa kila mtu alijitambua udhaifu wake na tumepanga mikakati ya pamoja na kila mtu amepewa majukumu atakayotekeleza kuhusu watoto yatima na walio katika mazingiraa hatarishi.
Mabadilikoya hali ya hewaHaya yalikuwa juu ya uwezo wetu
Kutopewa fedha kwa wakati Liko juu ya uwezo wetu
Kuwepo kwa miundo mibovuLiko juu ya uwezo wetu
Kupanda kwa mafuta wakati tunaandika bajeti na kutuma Foundation bei ilikuwa Sh.1,300/= na tulipoanza utelelezaji mafuta bei ikawa Sh.2.200/= na kufanya gharama ya mradi kuathiri baadhi shughuliTulitoa taarifa FCS na tukaamua kupunguza baadhi ya safari lakini bila kuadhiri utekelezaji mradi
Kutokuwa na vitendea kazi kama gari nako kumechangia kulefusha muda wa utelelezaji kwa kuwa tunategema magari ya kuazima kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya. anapokuwa na shughuli nyingi kwake tunasubiri hadi zipungue ndipo anatupa gariTaasisi yetu ni changa, lakini tunamikakati ya kutafuta usafiri wetu wa kutuwezesha kutufikisha mahali mradi ulipo kwa wakati.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya SumbawangaAnashiriki kwa kutoa wataalamu na usafiri tunapohitaji.
Watendaji wa kata, madiwani na serikali za vijijiWanashiriki kusimamia utekelezaji wa mradi
WananchiWanashiriki katika kutekeleza mradi
Walimu wa shule za msingi na sekondari Wanashiriki katika utambuzi wa watoto walio katika mazingira hatarishi
Akinamama walea watoto yatima Wanauelewa mzuri wa wajibu wao na kuondoa unyanyasaji kwa watoto yatima.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Ufuatiliaji na kuimarisha kamati za vijiji shughuli za utekelezaji mradiwa kwanza

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale407(No Response)
Male437(No Response)
Total844(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale196(No Response)
Male72(No Response)
Total268(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Tamasha la tuzo la asasa zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa miradi iliyofadhiliwa na FCS na tulipata cheti2006/2007 AICC Arushakuwa waangalifu na kutekeleza miradi kwa makini kufuatano na mlivyoombeaUtekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi yetu
Usimamizi wa fedha na utekelezaji wa mradi2009 Dodoma Hotelkusimamia fedha kwa makini na kutekeleza miradi kwa kufuata mpangokazi na shughuli kama mlivyopanga na kuweza kutekeleza mradi kwa ufanisiImetusadia kutekeleza mradi miradi yetu mbalimbali kwa ufanisi
Usimamizi wa fedha za miradi na utekelezaji2006Ukumbi wa maaskofu kurasini Dar es SalaamUsimamizi wa fedha na miradi namna kutekelezaIlitusaidia sana kwa kutupa mwanga mzuri ambao ndiyo inatusaidia na sasa katika kutekeleza miradi mbalimbali.

Attachments

(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report