What are your plans for the next Quarter reporting period?
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
The second quarter is set aside for planning of a new project that will be submitted to The Foundation for Civil Society in July, 2012. This is because MiDA Tanzania had a project only for one quarter, from January to March, 2012. | Final Reports submission in Marchk, 2012 | ||
Exploration of other funding opportunities. |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuendesha mafunzo kwa Watendaji wa vijiji&kata 96 kwa awamu 2 ya siku 2 juu ya wajibu wao na mfumo wa uandaaji wa mipango na bajeti za miradi ya maendeleo | V | ||
Kufanya ufuatilaji wa maendeleo ya utekelezaji wa mradi | V | V |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kufanya PETS katika Sekta ya Elimu katika Wilaya mbili za Mkoa wa Morogoro katika kata 22 | januari | Febru | Machi |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Regional youth parliament Assembly and election of Regional level leaders | v |
December 29, 2011 at 3:09 PM EAT via MAENDELEO YA JAMII NA UHIFADHI WA MAZINGIRA ZANZIBAR (CODECOZ):
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
no activity |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Mafunzo ya siku ya tatu kwa wanawake wa manispaa juu ya sheria ya Ardhi No. 4&5 ya mwaka 1999 na wajibu wao katika utekelezaji wa mradi kwa washiriki 40 | DEC2011 | FEB 2012 | |
Kufanya mikutano 2 ya ufuatiliaji wa mradi wa mwaka katika kata 10 (mmoja kabla ya miezi 6 na mingine kabla ya mwaka 1 | FEB |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kufanya zoezi la ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na raslimali za umma (PETS) za sekta ya barabara za serikali za mitaa katika miradi 18/30 ya halmashauri 6 za wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi ifikapo Juni, 2012. | xxxxxxx | xxxxxxx | |
Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya maendeleo ya utekelezaji wa mradi katika halmashauri 6 za wilaya/manispaa za Mkoa wa Lindi ifikapo Juni, 2012. | xxxxxx | xxxxxxx | |
Kugharamia masuala ya kiutawala na uendeshaji wa shughuli za mradi. | xxxxxxx | xxxxxxx | xxxxxxx |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuendesha mafunzo ya siku 2 kwa wawakilishi 30 wa AZAKi wa wilaya ya Kilwa juu ya dhana ya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamii (SAM) ifikapo Desemba, 2011. | XX | XX | |
Kufanya ufuatiliaji na tathmini shirikishi ya maendeleo ya utekelezaji mradi katika wilaya ya Kilwa ifikapo Desemba, 2011. | XX | XX | XX |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kufanya tathmini na warsha itakayojumuisha wadau mbalimbali katika kutathmini mradi uliofanyika | X | X | X |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
N/A | |||
N/A | |||
N/A | |||
N/A | |||
N/A |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuandika Taarifa ya kumalizika kwa mradi na kujiweka sawa kwa ajili ya kutafuta raslimali ili kuendesha ASASI ikiwa ni pamoja na kuomba ruzuku kwa kipindi kijacho |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Pangani District | V | ||
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Handeni District | V | ||
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Kilindi District | V |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Shughuli za utekelezaji wa mradi kama ilivokuwa imepangwa itakuwa imekamilika.Kilichobaki ni kuandika taarifa ya mwisho wa mradi husika. |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Since the project was of three months, hence, No planned activities for the next quarter. A new project proposal has already developed for the mini grant. |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kutoa mafunzo juu ya utunzaji wa rasilimali za shirka na aina zakumbukumbu ya fedha na taratibu za manunuzi kuthibiti uharibifu na kuongeza uwajibikaji. | October | ||
Kundika taarifa ya mwisho | October |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Mpango uliopo ni kufanya mkutano wa pamoja wa tathmini ambao utajumuisha wadau mbalimbali katika wilaya ya Rungwe ili kutahmini mafanikio na mapungufu yaliyojitokeza katika mradi na kwamba tufanyeje. | X | X | X |
Kutoa ripoti ya utekelezaji kwa wadau mbalimbali wa shangwe | x |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Conducting public sector service providers performance and assessment citizen report card | Ougust 2011 | ||
conducting bi annual PETS in Muheza and Korogwe Districts | September 2011 | ||
Monitoring and evaluation | End of September 2011 |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Uibuaji na uandikaji wa miradi kwa viongozi na wanachama | Septemba |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kwa ujumla Shughuli muhimu itakayofanyika ni ufuatiliaji wa yale tuliyojipangia katika warsha--MONITORING | XXXXXXXXX | XXXXXXX | XXXXXX |
« Back to report