Respondent: | Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania |
---|---|
Time Submitted: | 12 Oktoba, 2011 17:36 EAT |
Utangulizi
Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
CMMUT
Uboreshaji wa Utunzaji wa Misitu na Vyanzo vya Maji katika Milima ya Uluguru
FCS/MG/3/091
Tarehe: August-Octoba | Kipindi cha Robo mwaka: NNE |
ELIBARIKI KWEKA
Maelezo ya Mradi
Sera
Kuhamasisha wananchi ili kuinua uelewa wao juu ya kuhifadhi misitu na vyanzo vya maji ni maswala ya Sera.Mradi huu ulilenga kutoa mafunzo kwa wananchi ili wawe na uelewa kwamba kuhifadhi misitu kutawaondoa katika umaskini uliotopea.
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Mvomero | Mlali na Doma | Doma ,Kihondo,Msongozi,Mkata,Melela,Mlali, Peko,Manza,Homboza,Kiperaza, | 5770 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 47 | 2755 |
Wanaume | 73 | 3015 |
Jumla | 120 | 5770 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali sasa wanafahamu umuhimu wa kuhifadhi na utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji.`
Ufuatiliaji na tathmini ya matokeo ya mafunzo na midahalo iliyofanyika.
Waratibu wawili kutoka CMMUT wakifuatana na afisa misitu wa wilaya ya Mvomero walitembelea vijiji 9 vya Tarafa ya Mlali ili kufuatilia matokeo ya mafunzo yaliyokwisha fayika.
Shughuli zimefanyika kwa wakati wake
Tshs. 3,800,000/=
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Ufuatiliaji umefanyika vizuri na kwa ushirikiano.Kwa kuwa tulikuwa tunataka kuona matokeo ya mafunzo,ni kweli kuna mafanikio ya kutosha sana,maana wanavijiji walianzisha vikundi vya mazingira na wakaanzisha vitalu vya miche ambayo kwa sasa ipo tayari kupandwa shambani.
Hakukuwa na mabadiliko
Mabadiliko yatakayotokana na upandaji wa miti tutaanza kuyaona miezi minne ijayo
N/A
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Katika kuutembelea viijiji,tumeona kuwa wananchi wako tayari kama wakielekezwa na kuwezeshwa katika utekalezaji wa shughuli yeyote ya maendeleo |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Hakukuwa na changamota wakati huu wa ufuatiliaji |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Katika utekelezaji wa shghuli ya ufuatiliaji,mara zote tumeshirikiana na wataalam wa idara ya misitu ya wilaya ya Mvomero | Tulitembea wote kama ilivyopangwa na ukweli Afisa misitu yeye ndiye alikuwa na jukumu la kuelezea mambo ya utaalam katika utunzaji wa vitalu vya miche na jinsi ya kuipanda miche hii mashambani |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Shughuli za utekelezaji wa mradi kama ilivokuwa imepangwa itakuwa imekamilika.Kilichobaki ni kuandika taarifa ya mwisho wa mradi husika. |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Kupata takwimu hizi sasa hivi siyo rahisi mpaka wakati wa sensa au tupange kuzipata takwimu hizi kwa kupitia mradi maalum
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku | Februari,2010 | Jinsi ya kujaza fomu ya maombi kwa usahihi na usimamizi wa mradi husika na fedha. | Mkataba ulisainiwa na kupata ruzuku |
Viambatanisho
« Rudi nyuma kwenye ripoti