Respondent: | WINGS ENVIRONMENT AND EDUCATION TRANSFOMATION UNITY |
---|---|
Time Submitted: | 2 Werurwe, 2012 at 12:27 EAT |
Introduction
WINGS ENVIRONMENT AND EDUCATION TRANSFOMATION UNITY
WEETU
UFUATILIAJI WA RASILIMALI ZA UMMA (PETS)
FCS/MG/10/208
Dates: April 1,2011 hadi Juni 30,2011 | Quarter(s): 1 |
MODESTI JOSEPH MKUDE
P.O.BOX 6692
MOROGORO - TUSHIKAMANE
P.O.BOX 6692
MOROGORO - TUSHIKAMANE
Project Description
Governance and Accountability
Mradi unalenga kuiwezesha jamii/ wanachi kuimarisha misingi ya utawala bora na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma kwa kujenga uwezo wa kufuatilia fedha na rasilimali za umma na pia kufanya zoezi la ufuatiliaji wa matumizi hayo ili kusimamia na kuwawajibisha watendaji katika sekta ya elimu Wilayani Mvomero na Morogoro Vijijini na kuongeza ufanisi na ubora wa sekta kwa ujumla.
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Mvomero na | Doma,Melela, | Sewe,Mtipule, | |
Morogorgo ( V) | Mlali,Mzumbe, | Mela,Melela, | ||
Kisemu,Mkuyuni | Mongwe,Manza, | |||
Langali,Bunduki, | Yowe,Mifulu, | |||
Tchenzema, | Masanze.Ubiri, | |||
Kikeo,Kibati, | Lubungo,Bumu, | |||
Maskati,Tawa, | Mhonda,Kisala | |||
Mvomero,Kanga | Lusanga,Konde | |||
Hembeti,Mvuha, | Diongoya,Kunke | |||
Mtibwa,Mhonda, | Turiani,Mlaguzi | |||
Diongoya, | Mlumbiro,Kiroka | |||
Sungaji,Kiroka. | Mtamba,Uponda | |||
Milawilila,Gonja | ||||
Kitungwa,Ndole | ||||
Kilegezi,Changa | ||||
Kibuko,Lungo, | ||||
Kanga,Dihinda | ||||
Diovuva,Maskati | ||||
Kinda,Langali, | ||||
Tengero,Pinde | ||||
Maguruwe,Luale | ||||
Bunduki,Vinile | ||||
Masalawe,Kibati | ||||
Mgudeni, | ||||
Mkuyuni, | ||||
Kisimagulu, | ||||
Mvomero, | ||||
Hembeti. | 4000 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 700 | 2000 |
Male | 600 | 2000 |
Total | 1300 | 4000 |
Project Outputs and Activities
Zoezi la Ufuatiliaji wa Awali limefanyika na kufanikiwa katika kata 22 za Wilaya ya Mvomero na Morogoro (V) na matokeo yake kuwekwa bayana.
Kuunda timu ya kufanya mafunzo ya utafiti wa PETS.Washiriki 50 walipatiwa mafunzo na kushiriki katika kufanya PETS na walipatiwa toka eneo la Mradi.
Masuala yaliyoshughulikiwa wakati wa utekelezaji ni Washiriki walipata mafunzo na walitengeneza dodoso za kutumia wakati wa kufanya ufuatiliaji,mafunzo yalifanyika Morogoro Manispaa mwezi wa sita.
Katika shughuli hii hakuna tofauti zozote zilizojitokeza.
Usafiri Wajumbe 500,000/=
Chakula na Vinywaji kwa Washiriki ni 2,100,000/-
Malazi na Posho ya Kujikimu 5,000,000/-
Honoraria kwa wawezeshaji 1,600,000/-
Malipo Ukumbi 800,000/-
Note Book 50,000/-
Markpen 24,000/-
Maskin tape 8,800/-
Posho ya Mratibu 600,000/-
Posho ya Mtunza Fedha 600,000/-
Pango la Ofisi 450,000/-
Usafiri kwa shughuli za uendeshaji 699,000/-
Mawasiliano 75,000/-
Jumla kuu ni sh.12,506,800/=
Chakula na Vinywaji kwa Washiriki ni 2,100,000/-
Malazi na Posho ya Kujikimu 5,000,000/-
Honoraria kwa wawezeshaji 1,600,000/-
Malipo Ukumbi 800,000/-
Note Book 50,000/-
Markpen 24,000/-
Maskin tape 8,800/-
Posho ya Mratibu 600,000/-
Posho ya Mtunza Fedha 600,000/-
Pango la Ofisi 450,000/-
Usafiri kwa shughuli za uendeshaji 699,000/-
Mawasiliano 75,000/-
Jumla kuu ni sh.12,506,800/=
Project Outcomes and Impact
Mafunzo yalifanyika Morogoro Manispaa na watafiti 50 walipatiwa Mafunzo.
Asilimia 100 ya wajumbe waliopewa mafunzo wameweza kutengeneza dodoso za kuwawezesha kufanya ufuatiliaji wa PETS.
Wajumbe waliopewa mafunzo walikuwa hawajui mbinu za kumuingilia mtu na kuongea naye lakini walipopata mafunzo haya walielewa vizuri na wakaenda kufanyia kazi.
Tuliweza kufanya Igizo la jinsi ya kufanya mahojiano na wajumbe walifanya vizuri kabisa.
Wajumbe waliopewa mafunzo walikuwa hawajui mbinu za kumuingilia mtu na kuongea naye lakini walipopata mafunzo haya walielewa vizuri na wakaenda kufanyia kazi.
Tuliweza kufanya Igizo la jinsi ya kufanya mahojiano na wajumbe walifanya vizuri kabisa.
Uwezo wa wajumbe katika kuhoji maswali umeongezeka na hata sehemu zile walizotoka wameweza kuhojiwa sana.kuhusu kufanya dodoso.
Wajumbe wengi walikuwa hawajawi kufanya utafiti na mbinu za kutumia katika kukusanya hizo data,yani walikuwa hawajawahi kujengewa uwezo wa kuthubutu kuhoji na hadi mtu akakupa taarifa zake bila kumuudhi wala ugomvi wa aina yoyote.
Lessons Learned
Explanation |
---|
Wananchi wakijengewa uwezo wanaweza kufanya utafiti uliokuwa mzuri kabisa. |
Ufuatiliaji wa PETS unaweza kufanywa na wananchi wa kawaida kabisa ila pale watakapojengewa uwezo tu. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Mawasiliano | Baadhi ya wajumbe ilikuwa vigumu kuwapata kutokana na mawasiliano waliyotuachia hivyo ilitulazimu kutumia vijiji jirani ili kuwafikishia ujumbe. |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Watendaji wa kata,waratibu elimu kata na Watendaji wa Vijiji | Kutusaidia kufikisha ujumbe kwa wajumbe ambao walikuwa wanahitajika kwenye mafunzo na tukashindwa kuwapata kwa namba zao walizotuachia. |
Mashirika mengine yasiyo ya Kiserikali yanayofanya kazi katika Mkoa wa Morogoro | Walitusaidia kupata wawezeshaji wa Semina hii. |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kufanya PETS katika Sekta ya Elimu katika Wilaya mbili za Mkoa wa Morogoro katika kata 22 | januari | Febru | Machi |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) |
Washiriki wa mafunzo ni 50 kutoka kata 22
Events Attended
(No Response)
Attachments
(No Response)
« Back to report