Respondent: | LINDI SUPPORT AGENCY FOR WELFARE |
---|---|
Time Submitted: | 8 Ukuboza, 2011 at 13:56 EAT |
Introduction
LINDI SUPPORT AGENCY FOR WELFARE
LISAWE
KUJENGA UWEZO NA UELEWA WA JAMII JUU YA UMILIKI NA MATUMIZI YA ARDHI KWA WANAWAKE KATIKA KUJILETEA MAENDELEO WILAYA YA LINDI.
FCS/MG/1/11/128
Dates: SEPT 15 - DECEMBER 15 | Quarter(s): Robo ya 1 |
PRISCA YOHANA UNGA
P.O. BOX 1053 – LINDI
0784683528 – 0755683528
P.O. BOX 1053 – LINDI
0784683528 – 0755683528
Project Description
Policy Engagement
Mradi wetu unakidhi malengo kulingana na maeneo tuliyochagua:-
- Kulingana na tafiti za awali maeneo tuliyochagua kutekeleza mradi huu ngiyo tuliyoyakuta yana migogoro mingi ya ardhi na baada ya kuanza mradi huu migogoro imeanza kutatuliwa kulinganisha kwa taarifa za utekelezaji toka kwenye kata hizo
- Tumetoa mafunzo kwa kata mbili (2) kwa washiliki 40. tumewasaidia wanawake 2 wenye kesi tofauti kuhusu ardhi kuwapeleka kwenye shirika la Lindi Women Paralegal Aid Centre (LIWOPAC) linalojishughulisha na utoaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto na wamesaidiwa na kufanikiwa kupata haki zao

Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Lindi | LINDI MJINI | MIKUMBI | MIKUMBI | 16 |
MITANDI | MITANDI | 16 | ||
MWENGE | MWENGE | 16 | ||
WAILESI | WAILESI | 16 | ||
MATOPENI | MATOPENI | 16 | ||
RAHALEO | RAHALEO | 16 | ||
MTANDA | MTANDA | 16 | ||
NACHINGWEA | NACHINGWEA | 16 | ||
MBANJA | MBANJA | 16 | ||
MINGOYO | MINGOYO | 16 | ||
Lindi | LINDI VIJIJINI | KITOMANGA | KITOMANGA | 16 |
NYANGAO | NYANGAO | 16 | ||
NACHUNYU | NACHUNYU | 16 | ||
MTAMA | MTAMA | 16 | ||
NYENGEDI | NYENGEDI | 16 | ||
MIPINGO | MIPINGO | 16 | ||
RONDO | RONDO | 16 | ||
NAHUKAHUKA | NAHUKAHUKA | 16 | ||
SUDI | SUDI | 16 | ||
MNOLELA | MNOLELA | 16 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 60 | 400 |
Male | 30 | 400 |
Total | 90 | 800 |
Project Outputs and Activities
viongozi 50 wa Serikali za mitaa katika kata 20 za manispaa na Lindi Vijijini wamepata uelewa juu ya utoaji wa maamuzi sahihi katika upatikanaji wa haki ya kumiliki Ardhi kwa wanawake katika kudai na kutetea haki zao.
wanawake 40 wa manispaa na Lindi vijijini wamepata mafunzo ya siku 3 juu ya sera na sheria ya Ardhi No 4 & 5 ya mwaka 1999 haki na wajibu wao katika kudai na kutetea haki zao za kumiliki Ardhi
wanawake 40 wa manispaa na Lindi vijijini wamepata mafunzo ya siku 3 juu ya sera na sheria ya Ardhi No 4 & 5 ya mwaka 1999 haki na wajibu wao katika kudai na kutetea haki zao za kumiliki Ardhi
Mafunzo ya siku moja kwa viongozi 50 wa Serikali za mitaa Manispaa na Lindi Vijijini kuhusu wajibu na majukumu yao katika kutoa maamuzi ya haki kwa masuala ya Ardhi
Mafunzo ya siku 3 kwa wanawake 320 wa Manispaa na Lindi vijijini juu ya sheria ya Ardhi Na 4& 5 ya mwaka 1999 na wajibu wao katika utekelezaji wa mradi
Mafunzo ya siku 3 kwa wanawake 320 wa Manispaa na Lindi vijijini juu ya sheria ya Ardhi Na 4& 5 ya mwaka 1999 na wajibu wao katika utekelezaji wa mradi
Viongozi 50 wa Serikali za mitaa katika kata 20 wamepaa mafunzo juu ya utoaji wa maamuzi ( viongozi wa manispaa 25 mafunzo yalifanyika CWT tarehe ................... ) Viongozi wa Lindi Vijiji 25 mafunzo yalifanyika tarehe ................... katika ukumbi wa ................. Nyangao.
Masuala yaliyoshughulikiwa wakati wa mafunzo ni:-
1. Maana ya Ardhi kwamba ni raslimali ya msingi katika uhai na maendeleo ya binadamu, wa nyam, mimea na viumbe vyote. Na kila mwanachi ana haki ya KUPATA KUTUMIA na KUITUNZA.
2. Pia walifundishwa sheria ya Ardhi No 4 na 5 ya mwaka 1999, kwamba imegawanyika katika maeneo matatu
Ardhi ya Jumla - Hii inasimamiwa na sheria No 4 ya mwaka 1999 hasa ya mjini.
Ardhi ya Vijijini - inasimamiwa na sheria No 5 ya 1999
Ardhi ya hifadhi – Imetegwa kwa madhumuni maalumu - misingi, Mbuga za wanyama, hifadhi ya maji n.k
3. HAki ya kumiliki ardhi, mtu akitimiza miaka 18 anaweza kumuliki ardhi,
4. Wajibu wa viongozi katika masuala ya Ardhi: mada hii ngiyo ilikuwa muhimu ni mada mama kwa viongozi tajwa ilihusu ni jinsi gani kama kiongozi anapaswa kushulikia masuala ya utatuzi wa migogoro ya Ardhi vyema, ugawaji, na usimamizi usio na pingamizi kwa jamii . Pia viongozi wanatakiwa kuhakikisha kwamba nafasi ya mwanamke katika kupata kutumia na kugawa ardhi kutakuwa sawa na kwa masharti yaleyale kama ilivyo haki ya mwanaume.
- mafunzo ya Awanu ya II mafunzo haya yalifunguliwa rasmi na katibu tawala wa Wilaya Lindi. Mafunzo yalihudhuria wanawake (4) wa kata za mikumbi, mitandi na matopeni katika manispaa ya Lindi mafunzo katika manispaa ya Lindi mafunzo yalihusiana na SERA NA SHERIA YA ARDHI. Yaliyojiri katika mafunzo hayo ni:- Maana ya Ardhi – washiriki walifunza kwamba Ardhi ni vitu vyote ambavyo vipo juu na chini ya uso wan chi pamoja na mimea iliyoota juu yake, isipokuwa madini gesi mna mafuta. Pia walijifunza SERA YA TAARIFA YA ARDHI – huu ni mwongozo au azimo namna ya kumiliki na kuendeleza ardhi nchini pia walijikfunza kifungu cha 3 (2) cha sheria ya ardhi ya 1999 kimewekwa bayana katika kuhakikisha nafasi ya mwanamke inalindwa.
MAFANIKIO YA MAFUNZO.
- Baadhi y washiriki wenye matatizo ya Ardhi walionyesha kuchemka na kuanza mara moja kufuatilia haki zao.
- Kesi mbili (2) tulizipeleka kitengo cha Sheria LIWOPAC nazo zikatolewa ushauri na kupelekwa kwenye kala husika.
- Kesi moja ilikuwa ni ya ufuatiliaji wa hati benk ya NMB ambayo iliwekewa rehani ya mkopo wa nyumba hiyo tayari imepatikana.
- Kesi moja ni ya kunyang’anywa kwa shamba la urithi na shemeji yake pia hii inaendelea kufuatiwa.

HAKUNA TOFAUTI
Tshs 4,025,700/= zilitumika
Project Outcomes and Impact
A. kuongezeka kwa upatikanaji /umiliki na matumizi ya Ardhi kwa wanawake wa Wilaya ya Lindi kutoka asilimia 30 ya sasa ili kuleta maendeleo kwa wanawake na jamii kwa ujumla ifikapo 2014
- Washiriki 40 wana uelewa juu ya upatikanaji wa Ardhi.
- Viongozi 50 wa Serikali za mitaa Manispaa na vijiji wana uelewa kuhusu wajibu na majukumu yao katika kutoa maamuzi ya haki kwa masuala ya Ardhi.
- Baadhi ya wajumbe waliopatwa na mikasa ya migogoro ya ardhi walianza ufuatiliaji.
- Wawili walifika LISAWE na kesi zao zilipelekwa LIWOPAC kwenye msaada wa sheria.
- Mmoja hati yake ilikuwa NMB ambayo iliwekwa poni na merehemu mumewe na hati ameipata.

Kwa kutumia waandishi wa habari gazeti la Habari Leo la tarehe ........... limewaasa viongozi / maafisa wa Ardhi Lindi ambao wamekuwa naurasimu mkubwa katika utoaji wa Ardhi na hati, suala ambalo husababisha hati yao ya msingi ( kwa vile ujumbe huu umefika kwa wahusika tunahisi mabadiliko yatafanyika.
Hakuna tofauti zozote
Lessons Learned
Explanation |
---|
Jamii yetu ya Lindi ina matatizo mengi na hutofautiana kwa uzito uliopo, endapo mashirika yasiyo ya serikali hayatafanya tafiti/ojiano ya karibu nao, maendeleo endelevu hayatakuja kwa kasi kama tunavyotarajia. - Tumeona suala kubwa lililopo ni uelewa mdogo wa masuala ya sera na sheria zetu zinazotulinda. Jamii inashindwa kufuatilia rasilimali zao hususani Ardhi kutokana na kutoelewa mchakato mzima wa upatikanaji. Lakini waweshaji wamejitahidi kuwaelewesha na wamewaahidi washiriki kuwasaidia pale wanapokwama. |
Urasimu ni mwingi unaofanywa namaafisa Ardhi/ kamati za Ardhi kwamba mwenye nacho ndiye anayepatiwa huduma (viwanja & hati) LISAWE tumeliongelea na kusisistiza sana wakati wa mafunzo ya viongozi wakiwemo maafisa Ardhi wenyewe kwamba waondokane na tabia kandamizi ili jamii hususani mwanamke afaidi matunda ya nchi yake hasa suala la upatikanaji wa hati miliki. |
Maeneo yanayosubiri kupimwa ni mengi, lakini jamii imejenga bila kupimiwa bila sababu za msingi – tumewasihi Halmashauri wapime maeneo hayo na wawakilishi walengwa hatimaye wapate haki zao za kupata hati miliki. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Baada ya mafunzo washiriki walipanga mpango kazi na mara moja walianza kutekeleza kwenye kata zao kuelimisha kwa njia ya mkutano tatizo likajitokeza kwamba kila mkutano uliofanyika walimtaka mwana LISAWE akajibu maswali ya kuhusu umiliki wa Ardhi kwa wanawake | Wanachama walijitahidi kuhudhuria mikutano hiyo na kujibia maswali yaliyohusu Ardhi |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Masha Mtwara – Mtwara Action for Self Help Activities. | Tuliomba na tulimpata mwezeshaji mwenye uelewa wa sera na sheria ya Ardhi No. 4 & 5 ya 1999 |
LIWOPAC | Ni Shirika lenye ktengo cha sheria ambapo kesi za migogoro ya ardhi zilizoibuka kabla ya mafunzo tumezipeleka huko. Baada ya mafunzo kesi mbili tumezipeleka huko kwa ajili ya usuluhishi |
HALMASHAURI YA MJI (MANISPAA) | Tuliomba na tulimpata Afisa Ardhi mwezeshaji wa pili. Washiriki au walengwa wa mradi wa awamu ya kwanza walikuwa ni watumishi wa Halmashauri (Viongozi_ Halmashauri waliotoa idhini ya kufanya mafunzo |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Mafunzo ya siku ya tatu kwa wanawake wa manispaa juu ya sheria ya Ardhi No. 4&5 ya mwaka 1999 na wajibu wao katika utekelezaji wa mradi kwa washiriki 40 | DEC2011 | FEB 2012 | |
Kufanya mikutano 2 ya ufuatiliaji wa mradi wa mwaka katika kata 10 (mmoja kabla ya miezi 6 na mingine kabla ya mwaka 1 | FEB |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | 15 | 150 |
Male | 10 | 100 | |
Total | 25 | 250 |
(No Response)
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
TAMASHA | 22 - 23 Nov 2007 ARUSHA | Umuhimu wa mchakato nchi tano za Africa mashariki uwe unatokana na ari ya wananchi wa nchi za Africa mashariki ambazo ni Tanzania, kenya, Uganda, burundi na Ruanda | Kuwahabarisha wanachama wa LISAWE juu ya mada husika ilivyolengwa na jinsi gani mchakato huu utafanywa ili swala hililiwe shirika kwa jamii yenyewe |
TAMASHA LA BUNGENI TAMASHA | 29 - 1 JULY 2008 DODOMAVOV 2008 | Juhudi za kuimarisha uhusiano baina ya AZAKI na BUNGE. Kuhamasisha wabunge na jamii watambue mchango mkubwa wa Asasi za kiraia katika kuchangia maendeleo ya Taifa. Kufahamu kuwa shughuli za FCS ni pamoja na kuzijengea uwezo Asasi za kiraia Kuhamasisha utendaji wa kiwango cha juu kwa Asasi za Kiraia katika kuhudumia jamii husika. | Midahalo mbalimbali ilifanyika kwa kuongozwa na Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali (w) Lindi LINGONET tuliunganishwa na wabunge ?jamii Asasi imekuwa imara kiutendaji. inajifanyia tathimini ya mara kwa mara kwa kutumia dodoso za the Foundation hatimaye tumepata tuzo ya ASASI BORA mara 2 |
TAMASHA | 26 - 28 2010 ZANZIBAR | Jinsi ya kuimarisha demokrasia nchini hususani katika masuala mazima yanayohusiana na uchaguzi | Utoaji wa Elimu kwa jamii (raia makini) |
TAMASHA | 21 - 23 /2011 | Wajibu wa Azaki katika kushirinikiza Serikali na wananchi kushiriki katika shughuli za kimaendeleo Uzingatiaji wa masuala la jinsia kwa kipindi cha miaka 50 | Kutoa mrejesho ndani ya Shirika Kuelimisha jamii kwa kutumia fursa zilizopo |
Attachments
« Back to report