Envaya

Foundation for Civil Society

FCS Narrative Report

B. Mabadiliko yaliyoletwa na Mradi

Increased awareness of a total of 16,519 community members comprising of 7,806 and 8,713 Males and Females respectively from Mabawa, Ngamiani kusini,Ngamiani Kati, Mwanzange Msambweni, Makorora,Duga, Chumbageni reached through community Audio Visual shows, sensitization materials campaighnand monitoring and Evaluation March 2011.

Increased awareness of 700 community members consisting of 279 and 421 male and female community members respectively by march 2011

Increased girls access to secondary school education out of 4,493 students admitted in secondary school for the education 2010/2011 a total of 2059 and 2,434 were boys and girls respectively ( Tanga city education office report 2010/2011 report)

Increased number of women held elective civic seats, out of 33 elective civics seats, nine are women held elective seats by October 2010
1. JUMUIYA IMEWEZA KUANDAA MIRADI MENGINE NA KUIOMBEA KATIKA TAASISI NYENGINE MBALIMBALI ZA KUSAIDIA KAMA UN HABITAT, USSHF NA UBALOZI WA KANADA.

2. JUMUIYA IMEWEZA KUTUMIA UTARATIBU BORA ZAIDI WA KUTOA NA KUTUNZA FEDHA.

3. JUMUIYA IMEWEZA KUZAA WAZO LA KUIFANYIA MAREKEBISHO KATIBA YAKE ILI KUIBORESHA ZAIDI.

4. JUMUIYA IMEANZA KUFANYA SHUGULI ZAKE KWA KUFUATA MPANGO MKAKATI ULIOTAYARISHWA KUPITIA MRADI HUU.
Asilimia 75 ya wajumbe wa kamati za shule hawakufahamu majukumu na wajibu wao hasa katika suala la umililiki ya shule .baada ya utekelezaji wa mradi wajumbe wamefahamu nafasi zao katika kusimamia shughuli za maendeleo ya shule kitaaluma na kimiundo mbinu.

Walimu wakuu na wajumbe wa kamati za shule wamefahamu umuhimu wa kuwa na mipango ya maendeleo ya shule hivyo kila shule zilizopata mafunzo wameweka mikakati ya kuwa na mpango ifikapo Julai 2011.

Wajumbe wa kamati wameelewa wajibu wao wa kufuatilia mapato na matumizi ya Fedha na Rasilimali za shule na kijiji na wametambua kuwa ni haki yao kujua. Hivyo baadhi ya wajumbe wameanza papo kwa papo kuuliza mapato ya shule toka kwa walimu wakuu wao wa shule zao.

Pamoja na hilo wajumbe wa kamati za shule wameanza kuulizia mipaka ya shule zao na namna watakavyoweza kufanya upimaji wa ardhi ya shule zao.
1. VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI WAMEANZA KUTAMBUA MCHANGO WA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI KATIKA MAENDELEO YA JAMII.
2. WASHIRIKI MBALIMBALI KATIKA MRADI HUU HASA WAWAKILISHI WA MADHEHEBU MBALIMBALI NA WANASIASA WAMETAMBUA KUWA NAO PIA KWA NAFASI YAO WANAWAJIBIKA KATIKA KUSIMAMIA NA KUHIMIZA ELIMU WILAYANI LINDI.
3.WANAFUNZI WENGI WAMEJITOKEZA KUANDIKISHWA NA KUVUKA MALENGO MWAKA 2011 KATA YA MINGOYO.
4. USHIRIKI WA JAMII UMEONGEZEKA KATIKA KUSIMAMIA UANDIKISHWAJI NA KUHIMIZA MAHUDHURIO KUTOKANA NA WAZAZI KUJITOKEZA WENYEWE KWENYE OFISI ZA WENYEVITI NA VITONGOJI KUANDIKISHA WATOTO BILA KUSUBIRI WALIMU WAWAFUATE MAJUMBANI KAMA HAPO AWALI.
5.BAADHI YA SHULE WAMEANZA UTARATIBU WA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA ILI KUPUNGUZA UTORO NA KUHIMIZA MAHUDHURIO.

.
1. 4 Leaders and 13 Members acquired improved skills and knowledge in prepataion and management of Administrative and Financial Regulation and Laws which have a link to running of the Organisation
Kanuni za fedha zimetungwa na zinatumika ndani ya asasi
kanuni za manunuzi na ugavi zimetungwa na zinatumika.
kila kiongozi anajua wajibu wake na mipaka ya uongozi wake pia hakuna muingiliano wa kiutendaji.
wanachama wameanzisha miradi ya ufugaji kuku na kufyatua tofari.
Asasi inafahamika katika ngazi ya wilaya kata hadi wilaya.
-Kupatikana na kutumika kwa vitabu vya fedha katika mitandao ya wilaya ya Bahi.
-Kuongezeka kwa idadi ya wanachama na viongozi wenye uelewa kuhusu uandaaji wa andiko la mradi.
-Vikao vinaitishwa kwenye vikundi na kupungua kwa migogoro miongoni mwa wanachama na viongozi wa vikundi.
The project have just started,it is three months now since starting,leaflets and t-shirts carrying messages of Social Accountability Monitoring have been distributed
1.Ingawaje ni mapema ,Zipo ishara za kupata mafanikio makubwa kwani tatizo kubwa ilikuwa ni uwelewa mdogo kwa wananchi,viongozi na watendaji wa serikali juu ya haki na fursa za kiuchumi kwa watu wa jamii yenye ulemavu. Baada ya Mafunzo kutolewa na MODEO,zipo ahadi nyingi juu ya kutoa fursa sawa kwa watu wenye ulemavu,ikiwemo kuwapatia mikopo ,kuwalipia ada katika shule za sekondari na vyuo vya ufundi –VETA kuendeshea biashara zao. Kupitia Halmashauri ya wilaya Kilosa mfuko wa kusaidia wasio jiweza

1.1 Halmashauri ya wilaya kilosa imeahidi kusaidia mikopo kwa vikundi vyote vya wajasiriamali ya jamii ya watu wenye ulemavu.
2.-Hadi sasa zaidi ya miradi mipya 4 ya jamii ya watu wenye ulemavu imekwisha ibuliwa: a) Mradi wa ufugaji wa mbuzi na kuku katika kata ya Msowelo, Mashamba darasa ya kilimo cha matunda na mboga mboga chini ya dhana ya kutekeleza kilimo kwanza katika kata ya Magole tayari vimeanzishwa.

2.1 Zaidi ya walemavu 6 wamekwisha ibuliwa kutoka majumbani ,ambapo walikuwa wamefichwa kutokana na hali zao za ulemavu,hali iliyo changiwa na mila potofu
3.Idadi ya kero za watu wenye ulemavu zinaendelea kushughulikiwa moja ikiwa ni ahadi zilizo tolewa na MH.Mbunge wa Jimbo la Kilosa kupitia katibu wake Nd.ADAM MBONYE, ame ahidi kusaidia vikundi vyote vya jamii ya watu wenye ulemavu kupitia fedha za mfuko wa Jimbo CDF.
3.1 Serikali za vijiji na vitongoji zimeahidi kutoa kipao mbele kwa jamii ya watu wenye ulemavu.Sasa hivi kila kamati katika muundo wa kamati za vijiji na vitongoji walau mjumbe mmoja sharti awe ni mlemavu
3.2 Upo muhutasari wa kero wa jamii za watu wenye ulemavu uliowasilishwa kwa viongozi wa serikali za vijiji,vitongoji,Diwani na kwa MH.Mbunge wa jimbo la Kilosa.


Viongozi kuwa na kumbukumbu za hesabu pamoja na kuwa uandaaji wa miradi endelevu
It is expected at the end of the project the organization will;
Have three years strategic plan
Be able to account financial performance
Be able to write good proposal f funding
•Viongozi kutambua wajibu wao katika kushiriki katika kupanga na kusimamia utekelezaji wa Mipango na Miradi ya Asasi
•Viongozi,Wanachama, Watumishi na wadau kutambua mchakato wa uaandaji wa Mpango Mkakati
•Kuongezeka kwa Kiwango cha uwajibikaji wa Watumishi, Viongozi na Wanachama katika majukumu na Shughuli za Asasi
Vijana 40 waliongezewa uelewa katika sera ya maendeleo ya vijana na stadi za maisha katika kipindi cha utekelezaji wa taarifa hii wameweza kufikia vijana wenzao 369 kutoka kata 12 za mradi Manispaa ya Temeke.
kuna usimamizi mzuri wa miradi
utawala ndani ya asasi upo wazi
kumekua na taratibu za utumishi na mikataba ya kazi imewekwa kwa wanachama wote.
tumetengeneza kanuni za fedha na zina tumika sasa

> Wana METI wamebaini vigezo vya utawala bora katika asasi za kijamii na mafunzo haya yamesaidia kurekebisha vifungu vya katiba ya asasi vinavyopingana na utawala bora. Aidha wamefahamu majukumu na haki zao katika asasi pamoja na sifa za kiongozi bora.
> Kwa upande mwingine mafunzo yamejenga uwezo wa wana METI katika uandishi wa miradi fanisi
> Aidha mafunzo yamewasaidia wana METI kupata uwezo wa kuandaa mpango mkakati wa asasi
> Kwa upande wa fedha, watendaji wake sasa wanajua kanuni zinazoongoza katika kusimamia na kudhibiti fedha za asasi. Asasi imeweza kuandaa fomu za kutumia katika kudhibiti mapato na matumizi ya fedha za asasi. Sasa kuna utenganisho wa majukumu katika masuala ya fedha.
Kwa ujumla uelewa wa viongozi na wanachama wa wana METI umejengwa na kukuzwa kwa kiwango kizuri
-Taarifa za miradi kuwa wazi kwa wahusika
-Azaki kushirikishwa kwenye masuala ya serikali kama wadau wa maendeleo
-Mipago ya bajeti kushirikisha asasi za kiraia
1.Developing of financial regulation manual
2.Amendment of constitution including vision,mission and target beneficiaries.
3.To form new organization structure.
4.To increase knowledge and skills to 10 members of organization on organization development,financial management monitoring and evaluation
Baadhi ya mabadiliko yaliyoletwa na mradi ni pamoja naserikali kukubali kushiriki katika mada balimbali zilizokuwa zikitolewa na mradi huu.

Hamasa zaidi kwa wananchi kutaka kushiriki kwenye vipidi ambapo wengi walituma maombi kwa njia ya simu, e-mail au kufika moja kwa moja ofisini wakitaka kushirii na kuwasilisha masa zao.
1.Recovery of Mount Uluguru Forest cover will be realized
2.Seasonal rains will be realized in proper times
3.An increased agricultural output will be realized
4.Flow of water in rivers and streams will increase
All 134 elected members of youth parliament are members of ward development committees in their repective wards. Its early to see the big change now as the election was just completed in this February 2011.

« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti