Envaya

Foundation for Civil Society

FCS Narrative Report

B. Mabadiliko yaliyoletwa na Mradi

• Draft bylaws for conservation and protection of environment in their areas formulated.

• They were really moved by the training and many started acting immediately (Mwanakwerekwe, Kiembe Samaki cleanup activities and Fuoni Kibondeni are evident to this)
A total of 52 Community leaders, and district authorities comprising of 21 and 31 males and females Respectively were engaged and empowered on one day Water sector Reform process and development from Lusanga, Majengo, Ngomeni and Magoroto wards of Muheza District by May 2011.

Increased numbers of Trees Planted along the Water Source from the last Quarters 11,254 to 12,913 in the Quarter 4 making a total 24,167 in Magoroto and Lusanga Wards of Muheza District by June 2011.

There was an reduced number of cases of Cholera , Diarrhea, typhoid, dysentery from 102,242,154 and 372 to 26,78,54 and 116 cases respectively From Majengo, Magoroto, Lusanga and Ngomeni wards of Muheza District by the end June 2011( Teule District Hospital Annual Report 2010).

A total of 17, Ventilated improved pit latrines were constructed but missing a target of 60, that was planned for by the end of the project in Lusanga, Ngomeni, Majengo and Magoroto Wards of Muheza district by the end of June 2011.

A total of 500 Community members Consisting of 158 males 341 females were reached through TOTs Training outreaches in Lusanga, Majengo, Ngomeni and Magoroto Wards of Muheza district by June 2011


Increased number of trained Training of Trainers ( TOTs) on water Resources and financial management Management from 0-53 in Comprising of 19 and 34 Male and females respectively from Lusanga, Magoroto, Ngomeni and Majengo wards of Muheza district by the end June 2011
1. Uwezo na uelewa wa AZAKi juu ya dhana ya SAM umeongezeka.

2. Ushiriki wa AZAKi na wananchi katika michakato ya maendeleo umeongezeka na kuboreka.

3. Uwezo wa wananchi kufuatilia uwajibikaji wa kijamii kwa viongozi na watendaji wa Halmshauri za wilaya/manispaa unaimarika na kuboreka.

4. Ushirikiano na mahusiano baina ya wawakilishi wa AZAKi umeboreka.

5. Mahusiano na ushirikiano baina ya viongozi/watendaji wa Halmashauri za wilaya/manispaa na Wawakilishi wa AZAKi katika michakato ya maendeleo vimeimarika na kuboreka.
Viongozi na wanachama wamefahamu Uandishi wa michanganuo ya miradi na kuitengeneza Bajeti.
1. Strategic direction and course of action of the organization with comprehensive vision and mission developed.
2. Strengthened capacity of financial officer and executive committee members on proper management of fund and other organizational resources.
3.3. Enhanced capacity of executive committee to monitor and evaluate the outputs of their work and project progress.
4. Strengthened capacity of the organization in mobilizing organizational and financial resources.
Viongozi 30 wamepata mafunzo juu ya madhara ya Rushwa na wamefanya mikutano kuelimisha asasi zao. Asasi zao kwa njia mbalimbali wanatoa elimu kwa jamii. Jamii sasa wanajitahidi kulinda haki zao zisijitahidi kulinda haki zao zisihujumiwe kwa Rushwa.
Maswala ya Rushwa yanazungumzwa sana katika mikutano ya viongozi wa Serikali. -
-wanachama 20 wa SADEF wamepata mafunzo juu ya utunzaji wa fedha
-Wanachama 20 wa SADEF kwa kushirikiana na watalaam wametengeneza miongozo ya Asasi
-wanachama 20 wa SADE wameandaa kanuni za fedha kwa ajili ya Asasi yao
-Wanachama 20 wa SADEFwametambuaa kwamba ili kudhibiti fedha za asasi ni lazima kuwa na kanuni zilizo wazi katika mapato na matumizi
-wanachama wa SADEF wametengeneza mwongozo wa mgawanyo wa majukumu katika asasi.
-wanachama wa SADEF wametabua kwamba kufanya kazi kwa kuzingatia mgawanyo wa majukumu kunaongeza mafanikio
-Wanachama 20 wa SADEF wamepitia muongozo wa fedha, mgawanyo wa majukumu.
-wanachama wa SADEF wamepitisha miongozo ya fedha. mgawanyo wa kazi
-Wanachama wa SADEFwametambua kwamba kuzingatia mgawanyo wa majukumu na kuheshimu taratibu mbambali katika asasi kunachangia katika maendeleo ya asasi.
-Wanachama 20 wa SADE wamepata mbinu mbalimbali za jinsi ya kubuni na kusimamia utekelezaji wa miradi ya asasi
Kila mwanachama wa SADef ameshiriki katika kuandaa mradi ambao tumeupeleka katika ofisi ya rais , sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma
-Kabla ya mafunzo miradi ilikuwa inaandikwa na watu 2, lakini baada ya mafunzo wanachama wote wameanza kuchangia wakati wa kuandaa miradi
-Wanachama 20 wa SADEF wameelewa mfumo wa kufanya ufuatiliaji na tathimini katika shughuli mbalimbali za asasi
-Wanachama wa SADEF wamebuni na kutengeneza zana mbalimbali za kutumia katika kufanya ufuatiliaji na tathimini kwa miradi mbalimbali
-Wanachama wa SADEF wametumia zana walizobuni katika kufanya ufuatiliaji na tathimini za miradi katika vijiji
-Wanachama 20 wa SADEFwameelewa kanuni na taratibu za kuendesha asasi
-wanachama wa SADEF wameandaana kutengeneza kanuni za kazi katika asasi
-Wanachama wa SADEF wameanza kufanya kazi kwa kuzingatia mgawanyo kwa mujibu wa kanuni za kazi za asasi
-Wanachama 20 wa SADE wameelewa juu ya mpango mkakati na wametengeneza mpango mkakati wa asasi
-Wanachama wa SADEF kwa kushirikiana na watalaam wametengeneza mpango mkakati wa SADEF2011-2015
-wanachama wa SADEF wanaamini kufanya kazi kimpango mkakati kutaleta tija katika asasi
-Wanachama20 wa SADEF wamefanya ufuatiiaji na tathimini ya mradi na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa mradi
-wanachama wa SADEF wamebaini kuwa mafunzo waliyopata yamewawezesha kutambua mambo muhimu katika kuendesha asasi
-Mwanachama wa SADEF sasa anatambua nafasi yake katika kutumikia asasi
-SADEF kwa ufadhili wa the Foundation for civil society tumenunua Komputer, printer, digital camera na karatasi ream1
-SADEF sasa badala ya kupeleka kazi zetu zikachapwe kwenye stationary za watu tunachapa wenyewe katika ofisi zetu
-Uchapaji wa kazi mbalimbali za asasi unafanyika katika ofisi zetu
KUONGEZEKA KWA UELEWA WA JAMII JUU YA SERA YA MISITU YA MWAKA 1998
KUPATA UELEWA WA SHERIA YA MISITU NAMBA 14 YA MWAKA 2002 ,
KAMATI ZA MAZINGIRA KUFANYA KAZI KWA KUJIAMINI NA KUJUA KUWA NI SEHEMU YA SERIKALI YA KIJIJI .
1. Wanawake wameelewa na wametambua haki yao ya msingi ya kumiliki ardhi
2. Wanajamii wa kata ya Lugarawa na Mundindi wameanza kumilikisha ardhi kwa watoto wote sawa wa kike kama wanaume
Kuongezeka kwa uelewa wa watu wenye ulemavu na jamii kiujumla kuhusu haki, wajibu, nafasi na fursa zilizopo na kuwazunguka za kujiletea maendeleo kwa mujibu wa sera.

2. Kuongezeka na kuboreka kwa ushiriki wa watu wenye ulemavu katika michakato ya sera na maendeleo kwenye ngazi tofauti za msingi katika jamii.

3. Kuboreka kwa ushirikiano kati ya taasisi za Serikali, Asasi Zisizo za Serikali, viongozi wa dini na asasi nyinginezo dhidi ya asasi za watu wenye ulemavu.

4. Kupungua kwa vitendo vya unyanyapaa tofauti dhidi ya watu wenye ulemavu kutoka kwa jamii inayowazunguka.

5. Kuongezeka kwa idadi ya uandikishaji shule watoto wenye ulemavu walio chini ya umri wa miaka mitano (5) katika maeneo tofauti ya halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
- Mabaraza ya kata yamejiongezea uelewa na kwa sasa wametambu wajibu wao katika kutekeleza sera kwa vitendo katika kata zao.
- Wanawake kuwa na ujasiri katika kueleza changamoto walizokutana nazo dhidi ya vitendo vya unyanyasaji kjinsia.
-Wanawake wametambua wapi wapeleke kesi zao dhidi ya vitendo vya unyanyasaji kijinsia na sasa wameanza kuripoti vitendo wanavyotendewa vya unyanyasaji.
- Kuwekwa kwa mpango maalumu wa kuiomba serikali utunge sheriaitakayotoa adhabu kali kwa wanaume na wanawake wanaotekeleza familia zao. ( Mapendekezo ya wadau wa mradi)
Kumekuwepo na uwazi baina ya viongozi wa kata, watendaji wa kijiji na jamii kwa ujumla
Taarifa za mapato na matumizi zimewekwa katika mbao za matangazo
Idadi ya wananchi kuhudhuria mikutano ya vijiji na vikundi imeongezeka
1.Kamati za vijiji zimepat elimu na kuwa na uelewa. 2. Vijiji na kata kuanzisha mifuko ya huduma za watoto yatima na walio katika mazuingira magumu
Wanaume wamekuwa na mwitikio mkubwa katika kutambua na kuheshimu wanawake na haki zao kwani wao wenyewe wamekuwa hodari katika kuendesha mafunzo vijijini juu ya kuheshimu wanawake na haki zao, wameonyesha dhamira njema katika kutetea haki za wanawake ,badiliko hili si la kawaida kwa wanaume wa kabila la kinyakyusa ambalo kiwango cha mfumo dume ni kikubwa.
- Wananchi wameuliza maswali na kueleza kero zinazowakabili bila woga
- Wananchi wamedai midahalo kama hii iandaliwe mara kwa mara ili watu wengi wapate fursa ya kushiriki
- Wananchi wameeleza kuwa utaratibu uliopo sasa wa Wabunge kutembelea sehemu mbalimbali (sio nyingi) hautoi mwanya wa kuuliza maswali na kero zao maana unakuwa wa kimsafara- kufika, kusalimia na kuwashukuru kwa kuchaguliwa na kufanyiwa sherehe fupi ( na watu wa chama chake) na kuondoka kwenda vijiji vingine
- Wananchi wamesema mikutano ya kijiji huwa haiitishwi, huu umewapa fursa ta kueleza shida zao. Wanadai mikutano.
-Baadhi ya Wabunge, MAdiwani na watendaji wa Halmashauriwamesema wamesema wamefaidika kukutana na wananchi kutoka vijiji mbali mbali kwa mara moja na kupata maoni na kero zao pia wao watafikisha taarifa mbalimbali kwa wenzao kwa urahisi
- Mikutano hii imezidi kuimarisha mahusiano na mashirikiano kati ya wananchi, Azaki, wawakilishi na watumishi wa Halmashauri
Jamii katika kata za Unga Limited na Sokoni 1 wamehamasika na kupata elimu na kuchukua hatua ya kupima VVU/ UKIMWI wengi wamebadili tabia na kuacha tabia hatarishi, unyanyapaa umepungua na watu wanajitoleza kwa hiari kupima VVU.
1. Kuongezeka kwa idadi ya watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wanaojitokeza katika vituo vya kutolea huduma za matibabu toka 130 (2009) hadi 360 (2011).

2. Kuongezeka na kutumika kwa watu waishio na VVU/UKIMWI katika kuelimisha na kuhamasisha jamii kujitokeza kupima VVU/UKIMWI, kutoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani na kupiga vita unyanyapaa kwa waishio na VVU/UKIMWI..

3. Kupungua kwa kujinyanyapaa wenyewe miongoni mwa watu wanaoishi na VVU/UKIMWI na jamii kiujumla.

4. Watu waishio na VVU/UKIMWI wapatao 10 wamewezeshwa kuwa watoa ushauri nasaha katika vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya vilivyopo katika Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini.
THE ORGANIZATION NOW HAVE THE CAPACITY TO DELIVER SERVICES TO ITS TARGET GROUPS.
Outcome 1:
Increased participation of youths (YODESO) to undertake budget analysis, tracking, and advocacy for increased budget transparency and accountability in Wete district by September 2011.

Outcome 2:
Increased Youth involvement in local government Planning and budget Process to increase transparency and accountability in Wete District by September 2011
1. Gained knowledge and experience in formulating Strategic Plan
2. Acquired skill on facilitating Strategic Planning
3. Sensitized on how to think strategically
4. Produced draft document of CODECOZ Strategic Plan.

« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti