Envaya

SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA

Tandahimba Chaume, Tanzania

Kuzishawishi taasisi za fedha kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wakulima

Mabadiliko Mapya
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeongeza Habari 3.
Wananchi wakiwa wanaisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Njwayo, kwenye sherehe ya jumuiya ya wazazi iliyoadhimishwa kiwilaya katika kijiji cha Luheya, kata ya Chaume.
6 Mei, 2015
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeongeza Habari 2.
Washiri wa mafunzo ya elimu ya biashara (wajasiamali) ambayo yaliandaliwa na SHIMASETA, kwa ufadhili wa The International Labour Organization (ILO). Wajasiliamali hao kutoka kata 5 za Chaume, Luagala, Mkonjowano, Lienje na Litehu. Soma zaidi
16 Septemba, 2014
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeongeza Habari 4.
Aliyesimama ni Ndg. Ally N. Ndingo, mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba akifunga mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society mwaka 2012 Soma zaidi
9 Septemba, 2014
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeumba ukurasa wa Historia.
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA (SHIMASETA) ni Asasi ya kiraia iliyoasisiwa mwaka 2008, na kuanza shughuli zake mnamo mwaka 2009. Ofisi za makao makuu, zipo katika kijiji cha Chaume, Kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara - Tanzania. Shimaseta ni shirika lisilo la kiserikali ambalo halilengi kupata faida "Azak" lililosajiliwa... Soma zaidi
28 Novemba, 2013
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeumba ukurasa wa Timu.
1. JUMA A. KULYAMBA - Mwe/kiti 2. MOHAMEDI A. NAMULYACHI - Katibu 3. EMENGELIANA MWIHUMBO - Mweka hazina 4. MOHAMEDI H. NANTEMA - Afisa mipango
28 Novemba, 2013
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA imeongeza Habari 19.
25 Novemba, 2013
Sekta
Sehemu
Tandahimba Chaume, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu