Aliyesimama ni Ndg. Ally N. Ndingo, mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba akifunga mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society mwaka 2012
Maoni (1)
Washiriki wa mafunzo ya PETS wakiwa katika majadiliano kuhusu ufuatiliaji wa rasilimali za umma.
Katibu mtendaji wa SHIMASETA Ndg. Mohamedi Amri Namulyachi akitoa utangulizi kwa washiriki wa mafunzo ya PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa FCS
Mkuu wa wilaya ya Tandahimba Ndg. Panaciano Nyami, akifungua mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS yaliyoandaliwa na Asasi ya SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society 2012.