Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kuzishawishi taasisi za fedha kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wakulima
Latest Updates

SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA added 3 News updates.
Wananchi wakiwa wanaisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Njwayo, kwenye sherehe ya jumuiya ya wazazi iliyoadhimishwa kiwilaya katika kijiji cha Luheya, kata ya Chaume.
May 6, 2015

SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA added 2 News updates.
Washiri wa mafunzo ya elimu ya biashara (wajasiamali) ambayo yaliandaliwa na SHIMASETA, kwa ufadhili wa The International Labour Organization (ILO). Wajasiliamali hao kutoka kata 5 za Chaume, Luagala, Mkonjowano, Lienje na Litehu. Read more
September 16, 2014

SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA added 4 News updates.
Aliyesimama ni Ndg. Ally N. Ndingo, mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba akifunga mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society mwaka 2012 Read more
September 9, 2014
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA created a History page.
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA (SHIMASETA) ni Asasi ya kiraia iliyoasisiwa mwaka 2008, na kuanza shughuli zake mnamo mwaka 2009. Ofisi za makao makuu, zipo katika kijiji cha Chaume, Kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara - Tanzania. Shimaseta ni shirika lisilo la kiserikali ambalo halilengi kupata faida "Azak" lililosajiliwa... Read more
November 28, 2013
SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA created a Team page.
1. JUMA A. KULYAMBA - Mwe/kiti 2. MOHAMEDI A. NAMULYACHI - Katibu 3. EMENGELIANA MWIHUMBO - Mweka hazina 4. MOHAMEDI H. NANTEMA - Afisa mipango
November 28, 2013
Sectors
Location
Tandahimba Chaume, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations