Wananchi wakiwa wanaisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Njwayo, kwenye sherehe ya jumuiya ya wazazi iliyoadhimishwa kiwilaya katika kijiji cha Luheya, kata ya Chaume.
Mbunge wa jimbo la Tandahimba, Mh. Juma Abdallah Njwayo akiwahutubia wananchi katika sherehe ya jumuiya ya wazazi iliyoadhimishwa kiwilaya kijijini Luheya, kata ya Chaume wilayani Tandahimba April 11 2015.
Washiri wa mafunzo ya elimu ya biashara (wajasiamali) ambayo yaliandaliwa na SHIMASETA, kwa ufadhili wa The International Labour Organization (ILO). Wajasiliamali hao kutoka kata 5 za Chaume, Luagala, Mkonjowano, Lienje na Litehu.
Kkutoka kushoto ni Mratibu Elimu kata ya Chaume Ndg. Carolina F. Namkoko, Ndg. Juma A. Kulyamba, Mw/kiti wa SHIMASETA, Ndg. Jafari M.Mtamba Mw/kiti wa Kijiji cha Chaume, Ndg. Abdallah H. Luheko Mw/kiti wa kitongoji cha Tupendane.
Aliyesimama ni Ndg. Ally N. Ndingo, mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba akifunga mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society mwaka 2012
Washiriki wa mafunzo ya PETS wakiwa katika majadiliano kuhusu ufuatiliaji wa rasilimali za umma.
Katibu mtendaji wa SHIMASETA Ndg. Mohamedi Amri Namulyachi akitoa utangulizi kwa washiriki wa mafunzo ya PETS, yaliyoandaliwa na SHIMASETA kwa ufadhili wa FCS
Mkuu wa wilaya ya Tandahimba Ndg. Panaciano Nyami, akifungua mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma PETS yaliyoandaliwa na Asasi ya SHIMASETA kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society 2012.