Kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali ya yanayohusu UKIMWI, MADAWA YA KULEVYA, UTUNZAJI WA MAZINGIRA, na elimu kwa vikundi vya vijana na kinamama. Kuwatafuta msikwao popote walipo na kuwakutanisha na ndugu zao na wengine kuwaunganisha na wenzao na kuwapa mbinu za kujitegemea kwa kuwaanzishia miradi midogo midogo na kuwaendeleza kadri ya uwezo wa shirika.
Amakuru agezweho

Nuru Halisi yongeyeho 57 Amakuru agezweho.
DIWANI WA GONGO LA MBOTO NA MSTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA ILALA MH JERRY SLAA AKIPOKEA ZAWADI YETU KAMA ISHARA YA KUTUPONGEZA KWA UWAJIBIKAJI WETU MZURI
28 Kamena, 2011
Nuru Halisi yashyizeho Amakuru agezweho.
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni
Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa... Soma ibindi
22 Ukuboza, 2010
Nuru Halisi hari ibyo yahinduye kuri Ikipe paje.
Abubakar Saleh – Executive secretary. – Bernadetha Bageni – Chairperson – Philipo Mtoro – Community Relation officer – Wema Semwenda – Accoutant – Liberatus Mlay – Member – Edger Ndamwesiga... Soma ibindi
18 Ukwakira, 2010
Nuru Halisi yashyizeho Amakuru agezweho.
Mwezi August na september Nuru Halisi imetoa mafunzo kwa mama na baba lishe katika maeneo ya mazizini-Ukonga, Mafunzo hayo yalihudhuriwa na watu 32 na yalihusisha viongozi wa Kata ya Ukonga kitengo cha afya. Pamoja na kutoa elimu hiyo ya namna ya kutunza vyakula katika hali ya usafi, pia walipatiwa elimu ya namna ya... Soma ibindi
18 Ukwakira, 2010
Ibyiciro
Aho uherereye
Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Dar es Salaam, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye