Envaya

large.jpg

BW.PHILIPO AKIWA NA KIKOMBE

large.jpg

BW.PHILIPO(kushoto)MJUMBE WA NYUMBA KUMI BW.HAMISI MAZIKU(katikati)na mdau mwingine wakiwa na kikombe

large.jpg

KILAMMOJA ALIDAI KULIBEBA KOMBE HAKIKA ILIVUTIA SI KIFANI

large.jpg

KATIBU WA NURUHALISI TAIFA AKIWA NA MJUMBE WA NYUMBAKUMI WAKIWAWAMESHIRIKI FURAHA YETU SIKU HIYO

large.jpg

DIWANI NA MASTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA ILALA MH. JERRY SLAA ALISHIRIKIANA NASI

large.jpg

DIWANI WA GONGO LA MBOTO NA MSTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA ILALA MH JERRY SLAA AKIPOKEA ZAWADI YETU KAMA ISHARA YA KUTUPONGEZA KWA UWAJIBIKAJI WETU MZURI

large.jpg

MADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MNAZIMMOJA DAR

large.jpg

HALAIKI INAYOTAKA KUJIFUNZA MENGI KUHUSU MAZINGIRA NA RASILIMALI ZAKE

large.jpg

HALAIKI INAYOTAKA KUJIFUNZA MENGI KUHUSU MAZINGIRA NA RASILIMALI ZAKE WAKIWA NA NURUHALISI

large.jpg

CHETI KAMA ISHARA YA UTAMBUZI WA KAZI YETU