Envaya

NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE

DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA

  • Osha vyombo kwa maji safi na sabuni
  • Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa usafi
  • chemsha au tibu maji yote ya kunywa na kutengenezea juisi ya wateja na yafunikwe wakati wote
  • Mpe mteja wako chakula kikiwa cha moto
  • Weka chombo chenye maji na sabuni kwa kunawia mikono kwa wateja wako
  • Nawa mikono kwa maji yanayo tiririka na sabuni baada ya kutoka chooni na kabla ya kuandaa chakula
  • Tayalisha chakula katika mazingira safi
  • Osha matunda na mbogamboga zisizo chemshwa kwa maji salama

Epuka na pia usichangie kuenea kwa kipindupindu mteja wako akifa kesho utamuuzia nani?

TUNZA AFYA YA MTEJA WAKO.

 

 

22 Desemba, 2010
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Nuru Halisi alisema:
Mchakato huu ni endelevu na huu ni mwanzo tu.Hivyo tunawaomba wadau wote wa sekta ya AFYA wajitokeze ili tushilikiane na serikari yetu katika kufanikisha suala hili.
22 Desemba, 2010
Nuru Halisi alisema:
Jamii bado inaitaji kuelimishwa zaidi kuhusu utunzaji wa mazingira pamoja na AFYA za walaji hivyo tunaitaji kuungana pamoja yaani JAMII,SERIKARI na ASASI ili kufanikisha hayo.
22 Desemba, 2010

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.