Log in
Nuru Halisi

Nuru Halisi

Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Tanzania

Kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali ya yanayohusu UKIMWI, MADAWA YA KULEVYA, UTUNZAJI WA MAZINGIRA, na elimu kwa vikundi vya vijana na kinamama. Kuwatafuta msikwao popote walipo na kuwakutanisha na ndugu zao na wengine kuwaunganisha na wenzao na kuwapa mbinu za kujitegemea kwa kuwaanzishia miradi midogo midogo na kuwaendeleza kadri ya uwezo wa shirika.
Latest Updates
Nuru Halisi added a News update.
ENVAYA WAMETUTEMBELEA OFISINI KWETU LEO
May 30, 2012
Nuru Halisi added 57 News updates.
DIWANI WA GONGO LA MBOTO NA MSTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA ILALA MH JERRY SLAA AKIPOKEA ZAWADI YETU KAMA ISHARA YA KUTUPONGEZA KWA UWAJIBIKAJI WETU MZURI
June 28, 2011
Nuru Halisi added a News update.
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa... Read more
December 22, 2010
Nuru Halisi updated its Team page.
Abubakar Saleh – Executive secretary. – Bernadetha Bageni – Chairperson – Philipo Mtoro – Community Relation officer – Wema Semwenda – Accoutant – Liberatus Mlay – Member – Edger Ndamwesiga... Read more
October 18, 2010
Nuru Halisi added a News update.
Mwezi August na september Nuru Halisi imetoa mafunzo kwa mama na baba lishe katika maeneo ya mazizini-Ukonga, Mafunzo hayo yalihudhuriwa na watu 32 na yalihusisha viongozi wa Kata ya Ukonga kitengo cha afya. Pamoja na kutoa elimu hiyo ya namna ya kutunza vyakula katika hali ya usafi, pia walipatiwa elimu ya namna ya... Read more
October 18, 2010
Sectors
Location
Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations