Log in
Nuru Halisi

Nuru Halisi

Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Nuru Halisi ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na kuelimisha na kitetea jamii. Katika kuelimisha jamii shirika limijikita zaidi katika masuala ya:
Utunzaji wa mazingira,
Elimu kwa vijana kuhusu madawa ya kulevya,Ukimwi na namna ya kumjenga kijana na kumtoa katika fikra potofu za kukata tamaa na badala yake kuwapa elimu ya namna ya kukuza rasilimali walizo nazo ili kuondokana na umaskini.

Msikwao-Kuwatafuta msikwao popote walipo na kuweza kuwaweka katika hali yao ya kawaida au kuwarudisha makwao.