Log in
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Dodoma, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MED inatafuta volunteers awa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya nafasi ya Afisa Programme. Volunteer atafanya kazi katika ofisi za MED zilizoko Mkoani Dodoma. Majukumu makuu ya Afisa huyo ni kuandika miradi na kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo kwa kushirikiana na maafisa wengine wa MED.

Itapendeza zaidi kama mhusika atakuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na miradi mbalimbali ya kijamii hasa kwa kuzingatia kuwa MED imejikita zaidi katika miradi ya Elimu, Demokrasia na masuala ya Utawala Bora.

Mawasiliano yafanyike kwa:-

Mratibu wa MED, S.L.P. 3388 Dodoma, Simu: 0759815044/0718 36 22 777 au E-mail: rafiki.elimu@yahoo.com, makundi2001@yahoo.com