| MED inatafuta volunteers awa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya nafasi ya Afisa Programme. Volunteer atafanya kazi katika ofisi za MED zilizoko Mkoani Dodoma. Majukumu makuu ya Afisa huyo ni kuandika miradi na kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo kwa kushirikiana na maafisa wengine wa MED. – Itapendeza zaidi kama mhusika atakuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na miradi mbalimbali ya kijamii hasa kwa kuzingatia kuwa MED imejikita zaidi katika miradi ya Elimu, Demokrasia na... | TO seeks Volunteers go out from inside or outside the country for the position of Programme Officer. Volunteer will work in offices located in Dodoma WITH. The main responsibilities of the deputy is to write projects and oversee implementation of projects in conjunction with other officers of Med. – Itapendeza more like a character will have enough awareness regarding various social projects given that TO is based more on projects of Education, Democracy and Governance issues.... | Edit |