Log in
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Dodoma, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Ni kushirikiana na jamii katika kukabiliana na changamoto za Elimu, Demokrasia na Utawala Bora kwa kushirikiana na Serikali ili kuwa na mafanikio yenye tija kwa umma wa wakazi wa Dodoma na Taifa kwa ujumla.

***********************

MED inaamini kuwa Rasilimali za nchi zikitumika vyema na kwa mfumo shirikishi; pamoja na mgawanyo sawa wa Rasilimali mafanikio chanya yatapatikana kwa wananchi wote wa Tanzania.

Latest Updates
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) added a News update.
MCT YAAHIDIWA MSAADA KUHAMIA DODOMA Na. MED Media Unit – Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi amelishauri Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhamia Dodoma na kuahidi kusaidia juhudi za baraza hilo ili lihamishie... Read more
February 14
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) added 4 News updates.
Mtaa wa One Way maarufu kwa biashara mbalimbali ukiwa kimya kutokana na maduka kufungwa kuhusiana na mgomo wa wafanya biashara.
February 12
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) added 7 News updates.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utawala bora kwa wanafunzi wa shule za Wilaya ya Chamwino yanayoendeshwa na MED kwa uhisani wa Oxfam.
February 11
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) updated its Team page.
TIMU YA MED 2011Mr. Davis Makundi - Cordinator – ... Read more
February 11
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) updated its Projects page.
MIRADI MIPYA YA MARAFIKI WA ELIMU DODOMA (MED) 2014Mradi wa Haki Zangu Sauti Yangu/My Rights My Voice(MRMV) 2014. Mradi wa vipindi vya Radio 2014. Mradi wa Youth 2 Youth... Read more
February 11
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) added a News update.
Kitaifa – Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka ... Read more
May 27, 2013
Other Websites
Sectors
Location
Dodoma, Tanzania
See nearby organizations
Dira (Mission)

Ni kuwa na Dodoma yenye mazingira Bora ya Elimu, Utawala Bora, Demokrasia ya kweli kwa wananchi wote na mfumo bora na imara wa mawasiliano ndani ya jamii.

Dhamira (Vision)

Kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusiana na changamoto za Elimu, Demokrasia na Utawala Bora na namna ya kushirikiana na Serikali na jamii kuzikabili changamoto hizo ili kuleta mafanikio chanya kwa manufaa ya umma.