Fungua
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Dodoma, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka (unknown language) kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri

Mikakati ya Baadaye ya MED ni:-

  • Kuwa na Kituo cha Radio FM kwa ajili ya Elimu kwa jamii kanda ya Kati.
  • Kuwa na Jarida huru kwa ajili ya upashanaji habari.
  • Kuwafikia wananchi walio pembezoni na kuwaelimisha.
  • Kuboresha dawati la Elimu na Demokrasia kwa makundi yote ya Jamii.
  • Kuimarisha Klabu za Marafiki wa Elimu
  • Kushirikiana na TAKUKURU katika kutoa Elimu ya Kuzuia Rushwa.
  • Kuwa na matamasha ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuelimisha na kuburudisha.
  • Kutengeneza na kusambaza Video Clips za kazi na reports za MED kupitia mtandao.