Mikakati ya Baadaye ya MED ni:- – Kuwa na Kituo cha Radio FM kwa ajili ya Elimu kwa jamii kanda ya Kati.
Kuwa na Jarida huru kwa ajili ya upashanaji habari.
Kuwafikia wananchi walio pembezoni na kuwaelimisha.
Kuboresha dawati la Elimu na Demokrasia kwa makundi yote ya Jamii.
Kuimarisha Klabu za Marafiki wa Elimu
Kushirikiana na TAKUKURU katika kutoa Elimu ya Kuzuia Rushwa.
Kuwa na... | (Not translated) | Hindura |