
Ni kushirikiana na jamii katika kukabiliana na changamoto za Elimu, Demokrasia na Utawala Bora kwa kushirikiana na Serikali ili kuwa na mafanikio yenye tija kwa umma wa wakazi wa Dodoma na Taifa kwa ujumla.
***********************
MED inaamini kuwa Rasilimali za nchi zikitumika vyema na kwa mfumo shirikishi; pamoja na mgawanyo sawa wa Rasilimali mafanikio chanya yatapatikana kwa wananchi wote wa Tanzania.
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa
Washirika.
MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote. – Kwa sasa washirika wa MED ni:- – OxfarmGB
HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
UWEZO.net ya jijini Dar es...
Soma zaidi
1 Oktoba, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa
Timu.
TIMU YA MED 2011 –
Mr. Davis Makundi - Cordinator – –
– ...
Soma zaidi
1 Oktoba, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza
Habari.
MCT YAAHIDIWA MSAADA KUHAMIA DODOMA Na. MED Media Unit – Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi amelishauri Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhamia Dodoma na kuahidi kusaidia juhudi za baraza hilo ili lihamishie...
Soma zaidi
14 Februari, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza
Habari 4.
Mtaa wa One Way maarufu kwa biashara mbalimbali ukiwa kimya kutokana na maduka kufungwa kuhusiana na mgomo wa wafanya biashara.
12 Februari, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza
Habari 7.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utawala bora kwa wanafunzi wa shule za Wilaya ya Chamwino yanayoendeshwa na MED kwa uhisani wa Oxfam.
11 Februari, 2014
Ni kuwa na Dodoma yenye mazingira Bora ya Elimu, Utawala Bora, Demokrasia ya kweli kwa wananchi wote na mfumo bora na imara wa mawasiliano ndani ya jamii.
Kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusiana na changamoto za Elimu, Demokrasia na Utawala Bora na namna ya kushirikiana na Serikali na jamii kuzikabili changamoto hizo ili kuleta mafanikio chanya kwa manufaa ya umma.