Log in
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na  inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.

Latest Updates
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION added 2 News updates.
July 14
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION updated its Volunteer page.
KWA WADAU WA MAENDELEO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA... Read more
February 20
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION added a News update.
DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT. – Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na... Read more
December 2, 2017
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION created a Home page.
kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.
August 3, 2017
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION added 7 News updates.
tunafanya kwa pamoja
July 7, 2016
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION updated its Projects page.
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION.Inakaribisha wabia wa maendeleo kwa jamii katika kufanya nao kazi ili kufikia lengo la kuanzishwa kwa asasi.Miongoni mwa shughuli ambazo asasi inafanya ni; – UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HIFADHI YA MAZINGIRA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.DAKEDEO Kwa... Read more
July 7, 2016
Sectors
Location
WAMI DAKAWA, Morogoro, Tanzania
See nearby organizations